Recent content by mkwezi kidonda

  1. M

    Hivi Precision Air mna akili kweli?

    eRRymsigwa Ndugu precicion cha mtoto. Nenda fastjet uone majanga.
  2. M

    Kiwanja tulichonunua kumbe ni cha mpenzi wa zamani wa mke wangu

    Mkuu pole kwa kukwazika. Fanya kile ambacho moyo wako umeridhia. Ila nenda kafanye dna kwani yawezekana jamaa katoa eneo ambalo watoto wake (ambao unaamini kuwa ni wako) wataishi kwa kuwalea wewe.
  3. M

    CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

    Wakuu . Tukumbuke kuwa wakati mwingine its principle. Tukumbuke mfano tu kipindi cha uhai wa kanumba , Ray alioneka kwenye chati ila ioikuwa ni kwa kivuli cha kanumba. ( kwa Ray kujipambanisha na Kanumba) chati yake ilipanda na kuonekana . Leo kanumba hayupo where is Ray? Hivyo kwa Zzk...
  4. M

    CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

    Mkuu The Boss . Ndio yaweza kuwa assumptions ila huwezi ukaacha chama kiende mrama kwa kumkaribisha zzk kwenye ukawa , wakati unafahamu kuwa Act wataweka nguvu zao kwenye majimbo muhimu ya Chadema. Huku wakijisahau ktk majimbo mengine ambayo cChadema (ukawa) watagombea na kuongeza idadi. Hivyo...
  5. M

    Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

    Mimi nilivyomuelewa mengi . Alimaanisha kuwa ni hatari kwa maisha yake kwa kuwa anaweza akatokea mfanyakazi yeyote wa vyombo vya usalama ambae atadhani kuwa rais anataabishwa na mengi kisha kwa nafasi yoyote atakayoipata akamdhuru mengi. Kumbe kwa hali halisi kukaa kimya kwa ikulu pengine ni ktk...
  6. M

    Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Dah!!! Huyo dada ni ndugu yako nini? Haiji katika akili . Kama ameshindwa kwenda hospitali atakwenda kijijini kumuuguza kama mzazi wake kweli?
  7. M

    Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Mkuu piga chini chukua aliyekujali. Unaonekana mungu wako yupo karibu sana. Kwani maisha ni kufaana na sio kufaa. Ila waweza peleka harusi mbele na kufuata utaratibu unaofaa.
  8. M

    Jinsi ya Kujitoa kwenye Dhuluma za Vodacom

    Mimi kabla ya kujiunga huwa naweka off mobile data. Kisha napokuwa tayari nimejiunga na uhuru internate naweka on. Hapo huwa hawanipati tena. Hii tatizo lilinikumba mno mpaka nikapata akili hiyo.
  9. M

    Sijui nianzie wapi?

    Mkuu pole kwa mtikisiko wa ndoa yako. Ni hivi iwapo amekuwa na mchezo huo mara nyingi . Hiyo itakuwa ni tania yake ila kwa kuwa ni mkeo vuta subira kwa kutomsamehe mapema . Tumia muda huu kumpeleleza iwapo atakuwa amebadilika aidha kwa miezi sita. Tafuta house girl wa kati ya umri wa miaka 25...
  10. M

    Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

    Huyo bado muda wa kula maisha anao hana cha kujutia. We tafuta wa mid 30 kisha uone mtiti wake.
  11. M

    Msaada engine 1NZ-FE

    Tafuta fundi wewe . Wengine wanajifunza kwenye gari yako. Nahene?
  12. M

    Zimwi lakata kamba, laanza kuwatafuna waliolifuga

    Mpendwa umekwisha ambiwa ni zimwi laweza kula vilevile , si ni Zimwi?
  13. M

    Nimeumia sana

    Umezaa nae ama amakuzalisha?
Back
Top Bottom