Hivi Precision Air mna akili kweli?

Hivi Precision Air mna akili kweli?

Kuna wakati usafiri wa anga sio urgent kama tunavyoamini. Una haraka, unakata ndege ambayo unajua utawahi kama mipango yako ulivyoiset badae unakuja kuambiwa ujinga kama huo, kero sana
 
Umenisikitisha sana.
Kwa hiyo unakubaliana na hizi overbookings kama za ngorika na unatuaminisha it is a standard procedure?

Ulichosikitika kutoka kwangu ni kipi? Nimefanya vibaya kuelezea sababu za overbooking!? Au hujaelewa? Nilichofanya ni kuelezea sababu za overbooking, sijatetea kwamba ni jambo zuri. Kwamba ni jambo ambalo linafanywa purposely, na lengo lake ndilo hilo. Sio issue ya bahati mbaya.
 
Nahisi kama sijaelewa hii maelezo yako mkuu...

Yaani wateja wa Precision hadi wanapoenda airport wanakuwa bado hawajaconfirm safari zao (bookings zao)?

Wanachosema wao ni kua sio kila anaefanya booking basi atasafiri sababu mara nyingi kunakuaga na "No Show" hivyo kujikuta wakienda pungufu.

Sasa basi overbooking hua inakuwepo kwa ajili ya ku-cover hizi "No Show". Labda tatizo ni kua issue nzima ya No Show in uncertain tu, hivyo inaweza iwepo au isiwepo. Ikitokea wote mmekuja ndio matatizo kama haya hutokea.
 
Mkuu,
Ndege inaweza kuchukua abiria tuseme 42 kwa hizi ATR ndogo. Sasa kwenye kuuza tickets ya ndege hiyo waweza kuta wameuza mpaka tickets 45 wakitegemea sio wote watakao-comfirm. Naonaga wanafanya hivi zaidi kwa routes za asubuhi.

Shida inakuja pale ambapo wame-confirm wote kua watasafiri. Hapo ndo linakuja swala la alie check-in mapema ndo anapata siti, aliechelewa anarushiwa ndege inayofuata. Na sometimes wanaombeaga kwa shirika lingine then watakatana wenyewe.
 
Duh!!!

Huu utaratibu mbona umekaa kijanja hivi...

Kwa kawaida mashirika ya ndege yaliyostaarabika, tiketi hutolewa sawasawa na idadi kamili...

Kwa watu wanaozidi huwa wanapewa tiketi zile za standby na huwa wanajua kabisa kuwa nafasi yao ya kusafiri itategemea watu wataocancel safari zao...

Kwa mantiki hii hata mtu akikosa kusafiri anajua kabisa ni kwa vile alikuwa na standby ticket na atahamishiwa ndege ya mapema inayofuata...

Yes,
Hivyo ndivyo ilivyotakiwa. Sasa kwa PW overbooking kwao normal issue, na tickets zote zinakua na status sawa.

Ingawa kuna kipindi walikua wakipiga simu kwa mteja ili a-confirm but still ukifika airport kama umechelewa unaambiwa ndege imejaa.
 
Jerrymsigwa

Mkuu,
Simple.
Huna haja ya kulalamika.
File a lawsuit ukidai fidia ya damage caused.
Calculate how much you have lost by you delaying your destination. Hizo case zipo sana. Na huwa wanalipa
 
Last edited by a moderator:
Wanachosema wao ni kua sio kila anaefanya booking basi atasafiri sababu mara nyingi kunakuaga na "No Show" hivyo kujikuta wakienda pungufu.

Sasa basi overbooking hua inakuwepo kwa ajili ya ku-cover hizi "No Show". Labda tatizo ni kua issue nzima ya No Show in uncertain tu, hivyo inaweza iwepo au isiwepo. Ikitokea wote mmekuja ndio matatizo kama haya hutokea.

It's not logic kucover no show kwa overbooking. Ni tamaa ya pesa mzee.
Kwanza abiria akiwa no show hasara sio ya mwenye ndege cause ye anakuwa ameshakamua revenue yake. Hasara inakuwa ya msafiri. Sasa airliner hawezi pata hasara kwa sababu anakuwa ameshapata revenue yake. Anaweza kupeleka ndege Hata kwa abiria watano. What's the worry?
Wanachofanya Mara nyingi ni speculation tu which leads to overbooking hakunaga kingine.
Tamaa ya kupata hela zaidi
 
Nadhani NO SHOW Airliner wata-refund some amount
 
Mhmmm ukiwa na haraka zako usiwaze kuhusu hawa precision, wanafanya mambo kienyeji sana.
 
Jerrymsigwa

Pole sana mkuu,

Yani bora kupanda basi kuliko kurely on hawa watu. Tafuta thread za Precision air huku ndani uone experience za watu zilivyo mbaya na hili shirika!
 
Jerrymsigwa

Mkuu,
Simple.
Huna haja ya kulalamika.
File a lawsuit ukidai fidia ya damage caused.
Calculate how much you have lost by you delaying your destination. Hizo case zipo sana. Na huwa wanalipa

Hiyo damage si wakati wote unaweza kuilipa hata kama ni kwa approximation, hivi ulishajiuliza;
1. Unaenda msibani
2. Unaenda katika interview ya kazi ya maana
3. Unaunganisha safari ya nje
4. Una presentation ya kibiashara
5. Unaenda kufanya session na wanafunzi or so?

Mbaya zaidi inaweza kuwa safari isiyo ya kikazi halafu umebeba 'perishable' things na unaahirishiwa ndege kwa sababu za kijinga na vitu vyako kuharibika!
 
I wouldn't advise anyone to go for Precision Airline, yaani they are so not precise.
 
Last edited by a moderator:
Jerrymsigwa

Akhsante Kwa Kutujulisha Kuwa Unapanda Ndege. Kweli Kuku Mgeni Hakosi Kamba Mguuni. Mbona Siwasikii Mkilalamika Kimbinyiko Bus Limesitisha Safari au Treni Ya Bara Imekwama au Lori Ulilotegemea Kuomba Lifti Kuelekea Kyela Limepata Pancha?
 
Last edited by a moderator:
eRRymsigwa

Bora upande air tz kuliko huo uchafu wa prec air ni wababaishaji na sometime unaweza kuwa unatoka dar kuja mwanza ukapitishwa znz na safar ikaahirishwa
 
Last edited by a moderator:
eRRymsigwa

Mkuu bora upande air tz kuliko huo uchafu wa prec air mara nyingine unaweza kuwa unatoka dar kwenda mza ukapitishwa znz na safar ikaahirishwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom