Njia pekee ni kuhama nyumba, kisha mnapachoma hapo nakwenda kuanza maisha mapya, ni aheri mkabaki wachache bila zimwi kuliko kuwa wengi huku zimwi likiwatafuna...
Earthmover, unachakaza vichwa vyetu! Zimwi Muhongo au Werema? Manaa Tumbili Kafulila aliyafukuzia sana haya mazimwi.
Mpendwa, kula kichwa au kumeza kichwa...navyojua kichwa hakiliwi !!!!Mbaya zaidi linaanza kula kichwa.....
Mfugaji amefikia hatua hapati hata watu wa kumsaidia kuiba kura, kwahiyo ameamua kuvuruga uchaguzi
Kibuyu!!!!!!
Hivi unadhani waliosema kuwa 'Ningejua huja baada ya kukosea' walikuwa wajinga? Wamelikoroga wenyewe wacha walinywe
Mfugaji amefikia hatua hapati hata watu wa kumsaidia kuiba kura, kwahiyo ameamua kuvuruga uchaguzi
Mpendwa, kula kichwa au kumeza kichwa...navyojua kichwa hakiliwi !!!!
....Mpendwa umekwisha ambiwa ni zimwi laweza kula vilevile , si ni Zimwi?