suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
pole sana,mlee mwanao basi huyo jamaa mweke kapuni tu
Had akamtafta kwa.id tofaut bado anampenda ataweza kumweka kapun kweli
pole sana,mlee mwanao basi huyo jamaa mweke kapuni tu
Sperm donors wanashika kasi!!!!
pole mteme, fanya yako umlee mwanao unamfatafata wa kazi gani mtu mwenyewe hana msaada kama shida ni rungu mbona yapo mengi...
Pole kumbe tupo wengi... Kung'uta vumbi uendelee na maisha!
Shangaa anavokomaa na hcho kimoja utadhani kimenakshiwa na dhahabuHata mimi ninalo rungu
roho imeniuma sana
nimezaa na aliyekua mchumba wangu, kutokana na matatizo ya hapa na pale hatukubahatika kufunga ndoa japo tuliachana vibaya lakini nilijipa moyo tu.
nilipojifungua nilimtaarifu alinipa hongera japo hakuhudumia wala matimizi hakutoa ila alitoa jina na hatukuwasiliana tena na ni miezi 2 sasa.
kabla alikua anamtoto wa miaka 7 alizaa na mwanamke mwingine na walisha achana pia.
leo nimetumia acount ya mtu mwingine fb nimechart nae mpaka kafikia kunitaka uchumba katika kukibali nikamwelezea story feki ya maisha na yeye akaniambia.
kilichoniuma hamtambui mtoto wangu kasema anamtoto mmoja tu!!!
nimeumia sana mungu shahidi sijawahi kumsaliti na yeye analijua hilo sikuwahi kabisa kumchanganya na mwanaume mwingine mungu wangu wa mbinguni ni shahidi.
hata kama mimi hanitaki kwa nn asimtambue mtoto wake? asimtunze sawa lakini ajue ni mtoto wake. nimeumia sana jmn!!!
Shangaa anavokomaa na hcho kimoja utadhani kimenakshiwa na dhahabu
Mama pita mtu ulishajua kabisa amekupotesea tayar kumtafta fb kwa id tofaut inahu nini????
Jamani ht kumpa chance ya kuita jina la mtoto sidhani km alistahili.
Inawezekana kajaribu kashndwa hasa ukizingatia ndo kwanza miezi miwili toka ajifungue,by the way time,pain and tears will heal her ajipe muda tu, nothing hurt forever
Mama pita,samahani kama ntakuwa nimekuchanganya,sio wewe uliyewekaga thread Kuwa unatafuta baba mlezi atakayekuwa tayari umpe mtoto akishazaliwa,na wakati huo ulikuwa na ujauzito wa miezi 8?na tukakushauri cha kufanya,sio we we kweli? Mi sio mfukunyuaji mzuri wa thread zilizopita ila kumbukumbu zangu zinaniambia kama ni we we!kama nimejichanganya utanisamehe!
Mchezo wanaupenda lakini matokeo hawayataki. Hiki kizazi kina wazimu sana.
Ova