Jinsi ya Kujitoa kwenye Dhuluma za Vodacom

Jinsi ya Kujitoa kwenye Dhuluma za Vodacom

mm kuna siku nilikuwa nawaulizia kwa nn hawanipi mkipo wa m-pawa wakati nina akiba ya kutosha kwenye m-pawa.
Najikuta kastama care ananiambia huna salio la kutosha kwenye account yako ya m-pawa .Nikamuuliza unauhakika kuwa cna salio kwenye m-pawa?
akasema clioni wakati huo nina kama kilo 3.
Nikamwambie ebu angalia vzuri.Ndo kushutuka anasema nimeiona nilihis kufa kufa.
Pale pale nikawambia natoa pesa zangu nahamia airtel money.
 
Hivi nyie voda mnadhani tunaiba fedha? maana mimi sijawahi kujiunga na huduma zenu za SPORT news,na za global news nawashangaa mnanikata hela kunitumia ushenzi wenu. Ninajitoaje?
 
Mimi kabla ya kujiunga huwa naweka off mobile data. Kisha napokuwa tayari nimejiunga na uhuru internate naweka on. Hapo huwa hawanipati tena. Hii tatizo lilinikumba mno mpaka nikapata akili hiyo.
 
Kuna utapeli mwingine wa Magic Voice, unajikuta umeungwa tayari huko wakati hujawahi kuomba hiyo huduma.
 
(1)Vunja Laini tupa Jalalani, (2) Hama Mtandao.
 
Hivi nyie voda mnadhani tunaiba fedha? maana mimi sijawahi kujiunga na huduma zenu za SPORT news,na za global news nawashangaa mnanikata hela kunitumia ushenzi wenu. Ninajitoaje?
Mkuu nenda 7 'Huduma extra', ukifika click kama sikosei 6 alafu ujigogondoe na hao mbwa.
 
Simu inakuwa ipo offline na hujajiunga na huduma yoyote inayolipiwa fedha.

Unaweka salio eg TShs 1000, na kujaribu kununua bundle labda ya TShs 1000 inasema salio halitoshi.
Ukiangalia salio unakuta limepungua pengine hadi kubaki TShs 870 huku ikiendelea kupungua kadri dakika zinavyokwenda.
Kwa Voda kuwapata huduma kwa wateja ni ngumu sana.

Naomba msaada namna ya kujiepusha na dhuluma au wizi huu hasa ukizingatia laini inayotumika ni muhimu kwa shughuli zako na kuibadilisha haiwezikani.

Pia, kwa anayejua namna ya kujitoa kwenye hizi huduma sijui nipashe habari, nyimbo, alert nk ambazo huja kama kirusi.

NB:
Nawashukuru Airtel maana wao unanunua moja kwa moja bundle kutoka AirtelMoney na hivyo huwezi kwa namna yoyote kuibiwa fedha yako.

Mimi nilichokifanya kwa TIGO ni hiki hapa

Kwanza kabisa nina line ambayo ni line mama line ya maisha yangu na kazi zangu hii line huwa siweki voucher wala kununua kifurushi labda nipokee na kutoa tigo pesa tu

Ninayo line ya matumizi ya kupiga na kwa matumuzi ya internet na wanaponipandishia gharama ya vifurushi kwa line hii au siku wakiniibia salio hua wala sihangaiki nao ninachokifanya nawakopa TIGO NIVUSHE natoa ile pesa kama ni 10 thousands au 15 then naachana na hiyo line halafu nasajili line nyingine ambayo itakua na ofa nyingi na vifurishi vya bei rahisi baada ya miezi kadhaa watapandisha tena gharama ya vifurushi then mzunguko unajirudia tena

SHENZI SANA HAWA
 
Simu inakuwa ipo offline na hujajiunga na huduma yoyote inayolipiwa fedha.

Unaweka salio eg TShs 1000, na kujaribu kununua bundle labda ya TShs 1000 inasema salio halitoshi.
Ukiangalia salio unakuta limepungua pengine hadi kubaki TShs 870 huku ikiendelea kupungua kadri dakika zinavyokwenda.
Kwa Voda kuwapata huduma kwa wateja ni ngumu sana.

Naomba msaada namna ya kujiepusha na dhuluma au wizi huu hasa ukizingatia laini inayotumika ni muhimu kwa shughuli zako na kuibadilisha haiwezikani.

Pia, kwa anayejua namna ya kujitoa kwenye hizi huduma sijui nipashe habari, nyimbo, alert nk ambazo huja kama kirusi.

NB:
Nawashukuru Airtel maana wao unanunua moja kwa moja bundle kutoka AirtelMoney na hivyo huwezi kwa namna yoyote kuibiwa fedha yako.
Namna ya kujitoa
 
Back
Top Bottom