Recent content by Mkwaja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini zana zetu zimekuwa siri?

    Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani mmiliki wa huu ulimwengu/dunia?

    Mungu ni mmiliki wa nyote vilivyomo duniani na mbinguni.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu cheki za bank

  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Zanzibar atoa siku 14 walioharibu mikarafuu yake kujisalimisha, vinginevyo atasoma Albadir

    Uiawi hadharani aibu sana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa turns 70: Bado ni "think tank" wa CHADEMA?

    Wewe una miaka mingapi? Akili yako fupi kweli huwezi linganisha uumri na uongozi. Pitia viongozi wa Africa umri wako.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Salaam kwa Mh. Edward Lowassa na wenzake

    Na kweli nimepoteza mda wangu kusoma post ndefu, isiyo na maana yoyote. Umri mwingi huondoa hadi akili mtoa mada baki ucheze na wajukuu, ushapitwa na wakati. El ndio jibu.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu (50+yrs) anafanya mapenzi na houseboy wake (below 18yrs)

    mleta mada ni ------ mapenzi hayana uumri.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa Tajiri na ukakosa Elimu ni Maradhi makubwa sana

    Ww msomi wa darasa. Bakhresa ni msomi wa vitendo,anamudu kuendesha biashara ni bingwa. Wasomi wanapiga magoti kwake, kwanini? Yeye ndie msomi mkuu kuendesha biashara si mchezo. Wasomi wengi ni watumwa tu wa wafanya biashara. Wezi kazi katika nafasi zao. Bakhresa wacha chezea huyo mtu kichwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa na mafanikio tunayotaka

    Hata Bakhresa kaishia elimu ya msini hajawahi ajiriwa. Bilionea wa Tz.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ni mgonjwa, hawezi hata kuongea...

    Kolimba, Dr Omari Juma.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna elimu gani juu ya Kupandisha mashetani?

    Heshima kweni wakuu. Nilikuwa nasikia halafu nikajionea mwenyewe. Mtu anapiga kelele, kutetemeka na kusema maneno ya ajabuajabu eti kapandisha shetani. Inakuwaje sipati jibu. Nawaombeni mnielimishe kuhusu hili karibuni wakuu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar: Hatutaunda tena Serikali ya Kitaifa Zanzibar

    Hivi huyo mama anamiliki danguro?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada:Jinsi ya kupika mkate wa Mofa

    wapendwa wapishi mbona mko kimya. Jitokezeni mnisaidie pls.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada:Jinsi ya kupika mkate wa Mofa

    wapendwa wapishi mbona mko kimya. Jitokezeni mnisaidie pls.
  15. M

    JamiiForums Tanzania 'Wali' kwa lugha ya Kiingereza

    Naomba msaada kwa kingereza wali unaitwaje?.
Back
Top Bottom