Msaada kuhusu cheki za bank

Msaada kuhusu cheki za bank

Are you sure idoyo?! Niliona ajabu kidogo CRDB kutoa cheque book for saving account kwahiyo nikatembelea website yao... Cheque Book si sehemu ya Saving Accounts benefits!
View attachment 356968
Sikuridhika na hiyo content kwahiyo nikaenda Live Chat! I got a similar answer:
View attachment 356972
bukoba boy, and probably idoyo, are you sure kama akaunti zenu ni saving account?! Remember, kama nilivyoandika kwenye gazeti hapo juu, zipo baadhi ya benki ambazo hufungua PERSONAL CURRENT ACCOUNT contrary to vile tulivyozoea kwamba current accounts ni kwa wafanyabiashara! Mfano mzuri wa hizo bank ni NMB pamoja na United Bank of Africa. Akaunti za kawaida karibu zote pale NMB ni current accounts.

nakwambia from experience. cheque books za savings account zipo na ni 'open' unless u decide to cross! savings accounts za CRDB zinaanza na 01J2, 02J2, 03J2. for TZS, USD, and EUR respectively, current accounts zinaanza na 01J1, 02J1, 03J1 kwa mfumo wa zamani.

kuhusu personal current account hata CRDB zipo, 01J1, 02J1, 03J1
 
Mhhh that is totaly new for me for really,labda kuna branch na branch zinazotoa hizo huduma kwa crdb in particular kwa hizo benki nyingine sina uhakika
 
bank nzima inafanya hivyo. ni arrangements tu. ni kama zile kadi zao za gold zinazotoa mpaka 3M kwa siku wakati kadi za kawaida ni 1M,
 
Jamani Mimi tatizo langu ni kuwa kuna mtu namdai milioni nne na alitakiwa kunipa toka tarehe 28 mwezi wa pili ila toka hiyo siku ananiambia cheki inasumbua anasema kuwa cheki iliandikiwa CRDB na pesa anaenda kutoa NBC sasa NBC ndio wanamsumbua na walimpa siku tatu na amefuatilia bila mafanikio sasa Leo ameniambia amekwenda benki kuu je ili suala la keshi kuna ukweli wowote mwenye ufahamu wa hii ishu anisaidie tafadhari
 
Umepigwa
 
Back
Top Bottom