Tunaona na kuvitumia vitu vya wazungu kama magari, TV, Simu, silaha na vinginevyo vingi tu. Waswahili nasikia nao wana, ungo wa kusafiria pia wana silaha kama, usinga, tego, mkweche, puju, zongo mwangeni, na kadhalika.
Kwanini waswahili hawaweki wazi silaha hizo na kuzingiza sokoni?. Mm nahitaji ungo wa kusafiria.
Wadau karibuni.
Kwanini waswahili hawaweki wazi silaha hizo na kuzingiza sokoni?. Mm nahitaji ungo wa kusafiria.
Wadau karibuni.