Recent content by MkuyuMkubwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA

    Haya ni sehemu ya aliyoyasema kijana kafulila kwenye press conf. TAMKO LA DAVID KAFULILA KUHUSU UAMUZI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ULIOZUA UTATA NCHINI. 1.0 UTANGULIZI Kwanza niwashukuru wanahabari kwa kuchag kuja kunisikiliza mimi niliye mdogo sana kimamlaka katika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    Nipo UDOM.....au hupendi kusikia chadema ikiambiwa ukweli? ndio maana kafulila anakataza vikao vya chadema kufanyika geto kweli.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    Sisemi kwamba kijana makini ni kafulila tu. hapana. CHADEMa ina vijana wengi makini...wakiongozwa na zitto, mnyika, halima,nk....kila mmoja na mapungufu yake lakini wanaweza kufanya kitu kikubwa katika nchi yao..muhimu wajue tu kwamba tatizo la chama chao ni MBOWE.....Kafulila ni kijana mwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    TUKO PAMOJA KAFULILA KATIKA HILI...kwani sio mtu ukienguliwa kwenye nafasi yako....basi unahama!...Mimi najua hunifahamu, lakini nimekuwa nikifuatilia makala zako mara kwa mara. usirudi nyuma...ni kweli CHADEMA inakabiliwa na changamoto nyingi lakini bado inahitaji vijana kama wenye upeo wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    Nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi Kafulila anasema "Ninakipenda sana chama changu, ninamheshimu sana Dr Slaa...najua tatizo la msingi halijapatiwa jibu..Ninatafakari! " .nikajiuliza kama tatizo la Kafulila ana mgogoro na Mbowe au CHADEMA? maana kafukuzwa na Slaa lakini bado anaonesha imani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

    Hivi CCM ifanye nini ili mjue imeshaanguka? Tanzania hatuna chama tawala. ni makundi tu ya kila mtu na iwake ndo yanatawala hapa. hakuna chama tawala....wengi mnafikiri ili CCM ianguke ni mpaka waondoke madarakani kisheria. hawawezi kuondoka madarakani kwasababu hakuna viongozi wala chama...
  7. M

    JamiiForums Tanzania NI Dk SALIM PEKEE ALIYE MSAFI CCM

    Inasikitisha kwamba chama tawala kimejaa mafisadi....Nakubaliana na hoja zote za makombora waliorushiana wabunge wa CCM kwenye kikao cha mzee mwinyi...nimetafakari sana kuhusu uchafu huu. sasa sioni cha wapiganaji wala mafisadi. sasa sioni tofauti ya Lowasa na Mwakyembe, wala Sitta na Chenge...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    FIELDMASHALL TUACHE USHABIKI KTIK HILI MWAKYEMBE IS WRONG 1. Slaa kamwambia leo, kwanini wenzake wote, yeye slaa, shelukindo, na wabunge wenzake wamekubali kuhojiwa yeye akatae? 2. We unajenga hoja kwamba Mwakyembe yuko sahihi kukataa kuhojiwa kwa simu...hiyo sio hoja....TAKUKURU hawakutaka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    PONJOLI, SHANGAZI NA MASHOGA ZAKO ACHENI KUBADILISHA MJADALA.MWAKYEMBE IS WRONG ON THIS...KAMA SHELUKINDO KAHOJIWA MWAKYEMBE ANAOGOPA NINI? Wakuu mjadala wa kama ni halali au sio halali mwakyembe kuhojiwa naona unapoteza mwelekeo baada ya mashabiki wa mwakyembe kuanza kutapata na hoja mufilisi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    Acha watu tujadili hoja. Zitto katoa hoja dhidi ya hoja ya Mwanakijiji...tunapaswa kuchangia kwa hoja...ama tunaunga mkono kwa kutoa hoja, au tunapinga kwa kutoa hoja! sio mambo ya MASANILO ya kutuletea mipasho humu ya ohh!!eeeh!...jenga hoja! huwezi ondoka jukwaa la siasa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    MASANILO-"Wabongo tunapenda kupongeza mno hata ujinga sisi ni kupiga makofi tu!" Jamani punguzeni chuki. alichozungumza zitto ni hoja, na hoja hujibiwa kwa hoja, sio mipasho mnayotuwekea hapa....hili ni jukwaa la siasa. kama hamna hoja ya kuchangia eneo hili mnafungua maeneo mengine.JF...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji chama kipya?

    Hongera kwa wazo MM.Mwanakijiji. Nakubaliana na hoja kwamba vyama hivi tulivyonavyo vimeshindwa kukidhi matarajio ya watz....suluhisho kubwa ninaloliona mimi sio kuanzisha chama kipya....suluhisho ni wajitokeze watu kama 10 tu wenye dhamira ya kweli ya kulibadili taifa hili. Condition kubwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mitaa, chadema yafanya kweli kigoma

    Kumradhi NONO...unajua sikulenga huko...nimesema ni kosa walofanya kisiasa kwasababu CCM walidhani kwa kujitahidi kufanya baadhi ya mambo ndani ya jimbo hilo labda ingekuwa hoja ya wao kujipendekeza kwa watu wa jimbo hilo....lakini wananchi wameichukua tofauti ingawa ndio usahihi, kwani wanasema...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mitaa, chadema yafanya kweli kigoma

    CCM inapaswa kujuta kujenga barabara mbili za rami ndani ya jimbo la zitto, huku majimbo mengine hayajapata barabara tangu uhuru...hapa wamefanya kosa kisiasa...nilikuwa kigoma kikazi wiki mbili zilizopita...hoja ni hiyo tu!....wanataniana...kitendawili....tega! serikali imejenga barabara ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji chama kipya?

    Tatizo sio wananchi. tatizo ni vyama havijapata viongozi sahihi....mwaka 1995, upinzani chini ya mrema ulifanikiwa kushinda asilimia43 ya kura za urais, asilimia 40 za kura za ubunge...kumbukeni hii ilikuwa miaka3 tu tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe...na labda kwa taarifa tu ni kwamba jijiji...
Back
Top Bottom