TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

Tatizo lako una kaujeri jeuri flani hivi. You need to have a spirit of humbleness in you if you want to go further in your political career.

Mimi nimekuuliza wewe unajuaje hao wabunge wanafanya kama ulivyodai wanafanya. Wewe ukanijibu unajua. Kunijibu kuwa unajua hujajibu swali langu. Jibu swali, wewe umejuaje wanafanya hivyo? Siyo swali gumu hili.

And does it matter if you are clean or not? Of course it does. You can't be throwing all these stones while you live in a glass house.

And don't get it twisted. I know good and well that two wrongs don't make a right.

Zitto ndo zake hizo. Anadhani kuwa anaelewa kuliko watu wote duniani. He gat some issues.
 
Naomba nijinukuu nikichangia hii hoja.

TUsisahu kitu kimoja hapa...mwakyembe anasema kuna mambo walificha kulinda heshima ya serikali..wasiwasi wangu hili scandal ni la serikali nzima ya JK....mana kama kuna vitu vilifichwa kulinda heshima ya serikali, ni vitu gani hivyo wakati vilivyotolewa tu vilitosha waziri mkuu kujiuzulu? vingetolewa na hivyo vilivyofichwa? nadhani JK angejiuzulu...pole sana Lowasa, umetolewa kafala ilhali mlikuwa wengi hata na swaiba wako JK...we hukumbuki wakati wa mjadala mkali, JK alipotoka ziara ya marekani alithibitisha kukutana na wamiliki wa kampuni ya RICHMOND, lakini baadae akina mwakyembe wanasema Richmond ni kampuni hewa!..., Mbona Kamati ya Mwakyembe haikumuhoji Rais kujua hao aliokutana nao Marekani na kuzungumza nao ni akina nani?...Pole sana EL......mlikuwa wengi, lakini ilikuwa zamu yako.

Kinachonishangaza ni hiki cha Wabunge na kamati za Bunge kudai kuwa wanafanya mambo mengine kwa kuinusuru Serikali au kulinda heshima ya Serikali.

Sasa najiuliza, wao kama mhimili wa Tatu wa Serikali kwa mujibu wa Katiba, inakuwaje wnaonea haya makosa ya Serikali kwa gharama za jasho na kodi za Mwananchi wa Tanzania?

Leo hii wanapigana vikumbo Bungeni kuilaumu Serikali kuwanyanyasa na kuwakosea heshima kwa kuhojiwa na TAKUKURU, lakini wao ni wepesi kuionea huruma Serikali Kuu na kuilindia heshima!

Huu ni unafiki na mbaya zaidi ni undumilakuwili ambako kunafikia kulifanya Bunge letu lionekane kama ni wapiga mhuri kwa matakwa ya Serikali Kuu na Chama kinachotawala na zaidi ni kuwa Bunge letu bado halijawa huru na kua na uwezo wa kuidhibiti Serikali.

Nikisema kuwa Wapiganaji wanapigania nini au kuhoji kelele za kung'ang'ania koo moja na simfumo mzima mbovui wa kiutendaji, naambiwa sina akili au nikae kimya!

Ndio maana leo hii Pinda na Sitta wanatishana, ndio maana mwaka jana na juzi Lowassa na Sitta walitishana na ni kutokana na Bunge kushindwa kuwajibika na kujilinda kwa kutumia Katiba kwa kuogopa mkao wa Kikao cha Chama.

Leo hii isingekuwa Wahisani kuhoji kilichotokea Dodoma wakati wa kikao cha mwishi cha NEC ambacho kilimsulubisha Sitta, Serikali na CCM wasingetoa kauli za kujisahihisha au kusema Spika wa Bunge (ambaye Kikatiba ni mhimili mkuu na mtu mwenye hadhi yake) hakuwekwa kwenye kikaango na kudiriki kuwasuta Wabunge wake wenyewe kwa kushindwa kulizungumzia suala la taratibu za Kibunge ndani ya Bunge.

Hata hili suala la posho za Wabunge kwenye vikao au wao kuwa ni wajumbe wa bodi na kupata posho mara mbili ni mtego ambap Wabunge wenyewe wamejiwekea na wanaanza kunaswa kama Paya.

Ikiwa Spika anadiriki kudai eti kupewa Posho ya ziada ni Utamaduni wa Kitanzania na hivyo kuihalalisha na ukikimbuka zile kauli zake za kusema Wananchi wakihongwa na Mafisadi wapokee hongo, je unadhani Spika na Bunge wana heshima gani tena au uwezo gani kuidhibiti Serikali?

Kwa nini Mwakyembe aseme waliilindia Heshima Serikali lakini wakamkaba koo Waziri Mkuu? je Waziri Mkuu si Serikali na Kiongozi Mkuu wa Serikali Bungeni?
 
MASANILO-"Wabongo tunapenda kupongeza mno hata ujinga sisi ni kupiga makofi tu!"

Jamani punguzeni chuki. alichozungumza zitto ni hoja, na hoja hujibiwa kwa hoja, sio mipasho mnayotuwekea hapa....hili ni jukwaa la siasa. kama hamna hoja ya kuchangia eneo hili mnafungua maeneo mengine.JF imeenea, ukitaka eneo la mipasho lipo, hapa ni hoja tu, na mwenye hoja anapongezwa....mpuuzi kama wewe usie na hoja unabezwaaa! lete hoja mbadala wa hoja zitto tukupongeze....sio mipasho hiiii,
 
Ungewahi basi kwenye mipasho naona umepotea vile vile!
 
Acha watu tujadili hoja. Zitto katoa hoja dhidi ya hoja ya Mwanakijiji...tunapaswa kuchangia kwa hoja...ama tunaunga mkono kwa kutoa hoja, au tunapinga kwa kutoa hoja! sio mambo ya MASANILO ya kutuletea mipasho humu ya ohh!!eeeh!...jenga hoja! huwezi ondoka jukwaa la siasa.
 
Kaka unajua Mramba alihojiwa na kufikishwa mahakamani akiwa Mbunge? Unajua stori ya yule mbunge wa Morogoro aliyeburuzwa na Landrover la Polisi kwa madai ya Maji? Hawa nani alikuja hapa kuwatetea na kusema tawi la utendaji lisiingilie Bunge?

Kuna tatizo la msingi katika Taifa letu na katika mfumo wa Bunge. Fanya tafiti zako, ni Bunge la Tanzania tu duniani ndilo halina utaratibu wa kudhibiti mienendo ya Wabunge. Nchi nyingine wana mtu anaitwa Kamishna wa mienendo (Office of the Commissioner for standards). Huyu huchunguza mienendo na ile ambayo ni ya kijinai huenda katika jinai na ile ya kimaadili (hili la posho ninadhani ni la kimaadili) linakwenda kamati ya Maadili na kisha Bunge kutoa adhabu.

Mwaka 2004 Sheria ya maadili ilirekebishwa ili Bunge lipitishe 'code of conduct' kwa wabunge. Mpaka leo hatujapitisha. Mwaka 2008 niliwasilisha muswada binafsi ili kuunda code na kisha kuunda ofisi ya Kamishna huyu. Mpaka leo Ofisi ya Spika imekalia muswada huu na kukataa kuupeleka kuwa gazzetted ili ujadiliwe Bungeni.

Hivi MwanaKijiji unajua wabunge wanasafiri kwa mabasi kutoka Dar kuja Dodoma na wanagushi risiti kuwa wanakuja kwa magari yao na wanalipwa. Unajua Wabunge wakiwa hawapo Bungeni au kwenye Kamati wanasainiana posho za vikao?

Tunafanya makosa, halafu hakuna code wala mamlaka ya kutuchunguza halafu tuachiwe. Hapana. Mwanakijiji wewe kwa heshima yako hupaswi kutetea uvunjifu wa maadili.

Waache TAKUKURU wafanye kazi yao. Lazima Wabunge tujue kuwa hatupo juu ya sheria na kwamba tupo accountable na answerable kwa vitendo vyetu (for actions and inactions).

Lkn mheshimiwa Mbunge Zitto,hamna sehemu duniani ambapo posho ukipewa zaidi ya mara 2 huitwa rushwa;hii ni mpya kwangu na landa ndiyo naiona kwa TAKUKURU ya Hosea tu!Kimsingi kosa la Mbunge anayelipwa posho mara 2 huadhibiwa chini ya mamlaka ya Bunge kwenye kamati ya maadili na wala sio mahakamani kujibu kosa la rushwa,kwa mara nyingine tena Hosea kakurupuka!

Ukijumlisha kuwa wabunge wanamkaanga Dr Hosea wiki hii ndipo zaidi uamuzi wake usiozingatia sheria za nchi unakuwa wa kuchefua,na rasmi sasa namuita Dr Hosea kama kiongozi aliye na chuki binafsi na wabunge!
 
Hivi huyu Mwakyembe alitaka ahojiwe na Malaika? As long as Dr Edward Hoseah is still in power he is legally a right person to question the legallity of double payments of respective MPs including Dr Mwakyembe! And if PCCB can not question Dr Mwakyembe then, who can it question? Kiburi cha Dr Mwakyembe kitaweka precedent mbaya sana kuhusu utii wa mamlaka ya nchi! Sasa hivi watu wameanza kufikiri kwamba unaweza kuitwa na dola na ukakataa kwa sababu yoyote ile na hautafanywa chochote! Mimi nafikiri Mwakyembe awe arrested afikishwe kunapohusika, ahojiwe, kama atakubali kutoa maelezo kwa kuwa kutoa maelezo ni hiari ila kwenda kwenye mamlaka husika SIO hiari! So, arrest Dr Mwakyembe and bring him to justice, just like any other criminal, for God's sake!
 
MASANILO "Ungewahi basi kwenye mipasho naona umepotea vile vile!"
Yani kwasababu nimekwambia uende kwenye mipasho, ndo unasema ni wahi vile vile! unajua maana yake? unajua ulichokisema hap? yani umemaanisha kuwa wewe tayari upo kwenye mipasho, kwaiyo nami nije!...ndo maana ya neno "vilevile" kwenye sentensi yako.

Acha watu tujadili hoja. Zitto katoa hoja dhidi ya hoja ya Mwanakijiji...tunapaswa kuchangia kwa hoja...ama tunaunga mkono kwa kutoa hoja, au tunapinga kwa kutoa hoja! sio mambo ya MASANILO ya kutuletea mipasho humu ya ohh!!eeeh!...jenga hoja! huwezi ondoka jukwaa la siasa.

Gosh, huwezi jadili kitu wewe ur narrow minded, unapelekwa na upepo.....I am out...endelea kula chabo!
 
Hivi huyu Mwakyembe alitaka ahojiwe na Malaika? As long as Dr Edward Hoseah is still in power he is legally a right person to question the legallity of double payments of respective MPs including Dr Mwakyembe! And if PCCB can not question Dr Mwakyembe then, who can it question? Kiburi cha Dr Mwakyembe kitaweka precedent mbaya sana kuhusu utii wa mamlaka ya nchi! Sasa hivi watu wameanza kufikiri kwamba unaweza kuitwa na dola na ukakataa kwa sababu yoyote ile na hautafanywa chochote! Mimi nafikiri Mwakyembe awe arrested afikishwe kunapohusika, ahojiwe, kama atakubali kutoa maelezo kwa kuwa kutoa maelezo ni hiari ila kwenda kwenye mamlaka husika SIO hiari! So, arrest Dr Mwakyembe and bring him to justice, just like any other criminal, for God's sake!

It not right at all kumkamata Dr Mwakyembe;kisheria TAKUKURU walifanya kosa kubwa la kiufundi la kuwapigia simu wanaotaka kuhojiwa badala ya kuwatumia barua rasmi zenye kuhahakiwa kama wamezipata ili ziingizwe kwenye rekodi za ofisi yao!

Kosa la pili kisheria walilofanya,mtu anayekataa kuhojiwa hawezi kulazimishwa bali ni kupelekwa mahakmanai kujibu shtaka alilokataa kulitolea ufafanuzi na hapo TAKUKURU itabwaga vibaya na hata jaji anaweza akawafukuza kortini maana hamna sheria inayoipa tafsiri kuwa ukichukua posho zaidi ya mara 2 basi inakuwa rushwa!

At all nadhani sasa umefika kwa Dr Hosea na mama Kapwani waombe ufafanuzi wa maana ya kesi ya rushwa,waache kuchemsha kiwazi wazi hivi!
 
Hivi huyu Mwakyembe alitaka ahojiwe na Malaika? As long as Dr Edward Hoseah is still in power he is legally a right person to question the legallity of double payments of respective MPs including Dr Mwakyembe! And if PCCB can not question Dr Mwakyembe then, who can it question? Kiburi cha Dr Mwakyembe kitaweka precedent mbaya sana kuhusu utii wa mamlaka ya nchi! Sasa hivi watu wameanza kufikiri kwamba unaweza kuitwa na dola na ukakataa kwa sababu yoyote ile na hautafanywa chochote! Mimi nafikiri Mwakyembe awe arrested afikishwe kunapohusika, ahojiwe, kama atakubali kutoa maelezo kwa kuwa kutoa maelezo ni hiari ila kwenda kwenye mamlaka husika SIO hiari! So, arrest Dr Mwakyembe and bring him to justice, just like any other criminal, for God's sake!

Hivi kupokea posho mara mbili(kutoka sehemu 2 tofauti) ni Rushwa???,kwa nini TAKUKURU wamhoji Dk. Mwakyembe na wenzake na si Kamati ya Bunge ya Maadili???,lazima kuna kitu hapa.Ni vema TAKUKURU wangeanza kwa kuwahoji wale wote(wabunge) wenye tuhuma za UFISADI/RUSHWA badala ya kukimbilia kuwahoji wabunge wanaodaiwa kupokea posho mara mbili kazi ambayo kimsingi ingefanywa na Kamati ya Bunge.TAKUKURU wamekurupuka katika hili,na wamechemka vibaya mnoooooooooo
 
Kuna zile habari nyingine juu ya Mwakyembe, Zitto kaandika kuwa uchunguzi umeanza tangu mwezi wa pili kwa kuwahoji makatibu wa wizara na mwezi wa Mei wakaanza kuhojiwa Wabunge. Hivyo siyo kitu kigeni kbisa Tanzania. Sema kimekuja kujulikana tu mara Mwakyembe alipogoma kuhojiwa na kama angelikubali si ajabu wala tusingelisikia.....

Kuna watu wengine wanao elewa na kusikia pale akiongea mtu fulani irrespective of what they are saying hata ikiwa ni pumba asilimia 100%.
Hii topic ina ushabiki mno kiasi ambacho wengine hata ukiwaambia lipi bora Mwakyembe kasema basi.

Kwanza wanachofanya TAKUKURU ni "interviews" wala siyo "interrogation".
Wanachoulizwa ni kutoa ufafanuzi kuhusu malipo waliyopokea wakiwa kwenye shughuli rasmi za bunge. SIYO malipo wakati wakiwa waalikwa wa taasisi au idara mbalimbali.

Mbunge anapotembelea taasisi au wizara katika wadhifa wake kama mbunge mathlani kamati ya bunge ya nishati na madini chini ya uenyekiti wa mheshimiwa Shelukindo walipotembelea Tanesco wakiwa wanahoji kuharibika kwa mitambo ya uzalishaji wa umeme hivi majuzi. Kamati ilikuwa imetumwa na bunge kufanya shughuli za bunge na walilipwa malipo ya kujikimu, chakula, usafiri na malazi. Katika hali hiyo mbunge hatakiwi kudai tena malipo ya kukidhi yale ambayo ameshalipwa.

Lakini ikiwa taasisi au idara itakapoaanda warsha au semina au kongamano na kuwaalika au kuwahusisha wabunge, hapo ndipo inabidi iwalipe wabunge na wajumbe wengine malipo ya kukidhi mahitaji yao.

Sasa wabunge wetu wajanja na walafi hawataki wananchi waelewe tofauti kati ya scenario hizi mbili. Na pia kuna wenzetu ambao hawataki kuelewa tofauti iliyo wazi kwa sababu tu hawataki kuelewa kwa misingi ya kishabiki.

Tabia hii ambayo inajitokeza kwa wabunge wetu ni wizi wala siyo rushwa.
Let's call a spade a spade.
 
TAKUKUNGURU ooh sory TAKUKURU wamechemka katika hili,period.
 
Tabia hii ambayo inajitokeza kwa wabunge wetu ni wizi wala siyo rushwa.
Let's call a spade a spade.

Mkuu hapo nilipoweka Rangi ya Mnyama Mkali ndipo ninapokazia huu ni WIZI na wala SIYO rushwa, tena ni kujipatia Pesa kwa Njia ya Udanganyifu
 
Kwanza wanachofanya TAKUKURU ni "interviews" wala siyo "interrogation".
Wanachoulizwa ni kutoa ufafanuzi kuhusu malipo waliyopokea wakiwa kwenye shughuli rasmi za bunge. SIYO malipo wakati wakiwa waalikwa wa taasisi au idara mbalimbali.

ha ha ha .... TAKUKURU wanawafanyia interview wabunge! hiyo ni interrogation mkuu.
 
MASANILO na MKUYU MKUBWA ondokeni kwenye mjadala huu.,,,,mana mwanzoni nimeona mkuyu mkubwa unajenga hoja, ghafla naona umeendekeza upuuuuzi wa MASANILO
 
Hivi kupokea posho mara mbili(kutoka sehemu 2 tofauti) ni Rushwa???,kwa nini TAKUKURU wamhoji Dk. Mwakyembe na wenzake na si Kamati ya Bunge ya Maadili???,lazima kuna kitu hapa.Ni vema TAKUKURU wangeanza kwa kuwahoji wale wote(wabunge) wenye tuhuma za UFISADI/RUSHWA badala ya kukimbilia kuwahoji wabunge wanaodaiwa kupokea posho mara mbili kazi ambayo kimsingi ingefanywa na Kamati ya Bunge.TAKUKURU wamekurupuka katika hili,na wamechemka vibaya mnoooooooooo

Acha kuchemka, Spika 6 mwenyewe ameshawaunga mkono wabunge wenzake kwamba hiyo ni takrima tu, halafu unategemea ataunda Kamati au kutumia Kamati ya Maadili kuwahoji wenzake? Na kama akitaka kuwahoji sasa hivi kuna mtu amewakataza? Spika 6 afanye kazi yake, TAKUKURU nayo ifanye kazi yake! Then life goes on! Kama ni rushwa au la it is subject to interpretation by the court na sio kwenye magazeti!
 
Kaka unajua Mramba alihojiwa na kufikishwa mahakamani akiwa Mbunge? Unajua stori ya yule mbunge wa Morogoro aliyeburuzwa na Landrover la Polisi kwa madai ya Maji? Hawa nani alikuja hapa kuwatetea na kusema tawi la utendaji lisiingilie Bunge?

Kuna tatizo la msingi katika Taifa letu na katika mfumo wa Bunge. Fanya tafiti zako, ni Bunge la Tanzania tu duniani ndilo halina utaratibu wa kudhibiti mienendo ya Wabunge. Nchi nyingine wana mtu anaitwa Kamishna wa mienendo (Office of the Commissioner for standards). Huyu huchunguza mienendo na ile ambayo ni ya kijinai huenda katika jinai na ile ya kimaadili (hili la posho ninadhani ni la kimaadili) linakwenda kamati ya Maadili na kisha Bunge kutoa adhabu.

Mwaka 2004 Sheria ya maadili ilirekebishwa ili Bunge lipitishe 'code of conduct' kwa wabunge. Mpaka leo hatujapitisha. Mwaka 2008 niliwasilisha muswada binafsi ili kuunda code na kisha kuunda ofisi ya Kamishna huyu. Mpaka leo Ofisi ya Spika imekalia muswada huu na kukataa kuupeleka kuwa gazzetted ili ujadiliwe Bungeni.

Hivi MwanaKijiji unajua wabunge wanasafiri kwa mabasi kutoka Dar kuja Dodoma na wanagushi risiti kuwa wanakuja kwa magari yao na wanalipwa. Unajua Wabunge wakiwa hawapo Bungeni au kwenye Kamati wanasainiana posho za vikao?

Tunafanya makosa, halafu hakuna code wala mamlaka ya kutuchunguza halafu tuachiwe. Hapana. Mwanakijiji wewe kwa heshima yako hupaswi kutetea uvunjifu wa maadili.

Waache TAKUKURU wafanye kazi yao. Lazima Wabunge tujue kuwa hatupo juu ya sheria na kwamba tupo accountable na answerable kwa vitendo vyetu (for actions and inactions).

Mdogo wangu, Mheshimiwa Zitto,
Kimsingi nakubaliana na hoja yako ya kuruhusu uchunguzi wa TAKUKURU dhidi ya Wabunge.
Mimi kwa mtazamo wangu nahamasika kupinga uchunguzi huo kufanyika sasa kwani kuna mengi ambayo yanachangia kutokuiamini TAKUKURU ktk hili.

Kwa akili yangu timamu nahisi kana kwamba kuna hila inafanyika hapo kuwadhibiti baadhi ya wabunge ili wasiwe moto mkali kwani huyo HOSEA ambaye ni mtuhumiwa wa kulinda na kupika ripoti ya kuisafisha RICHIMONDULI ndiye anayesimamia uchunguzi huu.

Ningeunga mkono endapo serikali hii inayoagiza kuwachunguza wabunge ingekuwa kwanza imetekeleza japo kwa kuridhisha maazimio mbalimbali ya wabunge ambayo yalitolewa kwa maslahi ya taifa. Lakini kinyume chake inaamua kufight back.

Nakubaliana nawe kwamba kama kuna ubazazi ktk maadili yamekiukwa ni budi kuwajibishana lakini lazma ujiulize usafi wa huyo anayekuwajibisha ingawa kuna usemi kwamba mwizi hushikwa na mwizi mwenziwe lakini si ktk hili. Naamini kila mmoja wetu ana madhaifu yake lakini kama ujuavyo first arrive first served

Nimetoa hoja
 
Back
Top Bottom