Recent content by Mkuu

  1. M

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Huyu jamaa mimi ninaona hata Uraia wake ni wautata kidogo TUMEVAMIWA
  2. M

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Ninaona january makamba alifaa zaidi sindio waungwa?
  3. M

    Cuf

    Ndugu ninaona kama sikufahamu umekusudia nini au na maana UPINZANI ni kupinga kila kitu? sijui kama tatufaka kwa namna hiyo bro
  4. M

    Salma Kikwete: Ni nani?

    mhh sallalaaaa kopa, mashuzi, or sabahi kikwete?
  5. M

    Who cares about Zanzibar?

    Makambaaaaaaaaaa mtaji mwengine upo hapa kwa mmakonde
  6. M

    mchezaji huyu wa taifa stars afundishwe adabu;akome kutuzalilisha watanzania

    Hilo ndio tatizo kubwa kwetu sisi wadanganyika tunao vizuri vya wenzetu kuliko vya kwetu dogo kacheza vizuri mpeni shavu sio kumponda kwasababu kacheza na akina drogba lakini nilize kitu munamfaham droba kwa nyodo au ndio hivyo tena?wabongo bado tuko nyuma kweeeeeli bado tunawafagilia wageni...
  7. M

    Maombolezo ya Kawawa na Rais Mpirani

    Jamani si munasema mh Rais wetu hana maamuzi mazito?si munamuona au mulitaka..... lakini kweli mmkjj hata matanga bado hayajaisha chozi la kinfiki alilolimwaga halija kauka
  8. M

    Hotuba ya JK ya Mwaka Mpya 2010

    Hii hoyuba ni ya rais wa tanganyika au tanzania? kwani mh sijamsikia kugusia tatizo la umeme kule visiwani au mchango wowote aliotoa kwa lile koloni letu kule
  9. M

    Makamba Hajatulia! - Warioba

    Kama kuna mtu hajatulia ni huyo mkuu mwenyewe ambaye anaetuletea huo uoza mashemeji na marafiki na wacheza bao pamoja tatizo la kulipa fazila ndio hilo na kupenda ujiko kwa raisi wetu
  10. M

    Kikwete: Tutawajibu wanaotusema!

    Lakini jamani si munajua tena matatizo ya uzuri?waangalieni ma model wetu wanavyo ishia nasisi hatukuchagua kiongozi tulichagua model hayo ndio matokeo yetu Lakini kijana ndio mtaji analipa kwa mujibu wa mzee jangala [makamba] sasa tunatakanini tena?
  11. M

    Mh. Rais Kikwete Akiwa Ziarani Jamaica: Picha ya kukumbukwa!

    Musiwalaumu hawa watu jamaji inaonyesha bembea enizao zilikuwa kwa wahindi tu si unamuona mkuu anavyo iyogopa kang'ang'nia kama luba
  12. M

    Mh. Rais Kikwete Akiwa Ziarani Jamaica: Picha ya kukumbukwa!

    Kwa hakika urais umefika ulipokuwa unatakiwa
  13. M

    Habari moto moto cuf marufuku znz!

    Huyu kijana katumwa na mh shamuhuna?
  14. M

    Habari moto moto cuf marufuku znz!

    Huyu jamaa katuma na Shamuhuna nini? Mwanasiasa machahari wa zenj
  15. M

    Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

    Kiongozi Imara hawezi kusema vitisho vya kijinga namna hiyo kikwete hana uwezo wa kuongoza nchi na tunaona mimi ninamuunga mkono lipumba kuwa anataka aonekane mwema kila upande na hali hiyondio inato mfanya atuchekee tu sisi hatuki kuuziwa uzuri muheshimiwa
Back
Top Bottom