mchezaji huyu wa taifa stars afundishwe adabu;akome kutuzalilisha watanzania

Weren't Tanzanians complaining about Maximo not including undisciplined players?

This kind of behaviour is exactly why Maximo was absolutely right.
Our main problem is that we are emotional lot and dont usually analyse issues.
Katika inchi hii hata aje kocha wa aina hatofanikiwa kutokana na mindsets za TFF,WANAMICHEZO NA WAPENZI. Tunapenda quick fix. Bila kuwa na discipline ya hali ya juu hakuna mchezaji ambaye atatamba proffessionally. Kuna ethics katika kila fani. Hebu fikiria yaliyomkuta Tiger woods na athari ya upuuzi alioufanya ambao umemporomosha hadhi kimataifa na kimapato.
 
Hilo ndio tatizo kubwa kwetu sisi wadanganyika tunao vizuri vya wenzetu kuliko vya kwetu dogo kacheza vizuri mpeni shavu sio kumponda kwasababu kacheza na akina drogba lakini nilize kitu munamfaham droba kwa nyodo au ndio hivyo tena?wabongo bado tuko nyuma kweeeeeli bado tunawafagilia wageni mpaka leo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom