Salma Kikwete: Ni nani?

Nadhani huyu mama kwao ni Singida kama sikosei!

ni kweli kwao ni lindi ila babake mzee Rashid (wanamwita Kawawa wanashabihiana kwa urefu na marehem) anakaa rufiji villa ya Tibaigana unaingia kulia kama unatoka dar km kama 8 hivi. Bibi yake salma ni wa iringa mhehe na babu yake ni mshirazi so sgd usipakazie mkuu
 
Salma Kikwete ni first lady, ana haki ya kikatiba ya kupewa ulinzi kwa nafasi yake. Hata waliotangulia walikuwa wakipewa ulinzi. Ila hilo la kupewa taarifa za maendeleo ya mkoa/wilaya si sahihi, kwani yeye hana MAMLAKA ya kutoa maamuzi. Taarifa za maendeleo hazitolewi kama hadithi, lakini kwa kumsomea huyo mama ni sawa na kusoma hadithi. Anachokifanya sasa hivi ni kampeni ya kumsaidia mumewe.

Acha uongo usio na musingi. Haki ya Kikatiba ameipata wapi? Unayo katiba yetu? kama huna sema tukutumie na utuonyeshe ni wapi mke wa Rais katajwa na kupewa haki na majukumu.

Huu ni udhaifu wa nchi kiasi kwamba mama huyu sasa naye anawafokea watendaji wa Serikali na kutoa maagizo.

Hapo nyuma tuliwahi kueleza jambo hili na kuonyesha wazi kwamba yaonekana hata mumewe hana control naye. Anafikia hatua Waziri anamuwakilisha mke wa Rais! STUPIDITY!

Ukiliangalia kwa undani jambo hili, utaona ni kwa sababu ya madaraka na immunity aliyopewa Rais. Hayo yanawafanya baadhi ya watu wanaowinda favour kuwatukuza watu walio karibu na Rais. Wajomba, mashemeji, vimada na hata vimada vya marafiki wa Rais, wote utawaona walifanya mambo mengi kwa authority.

Mke wa Rais kulindwa ni halali lakini siyo kutoa maagizo ya kiutendaji, kila wakati akiwa safarini. Hata hivyo mtu kama huyu ni rahisi kutoa magizo yaliyopinda.
 
Mie nataka kujua pia hapa jana nimeona Mkuu wa Mkoa wa Mara akisoma Risala mbele ya mama Salma nikajiuliza maswali mengi kichwani bila majibu
Kwani anakazi gani katika nchi mpaka asomewe hiyo Risala ?

First Lady wewe kweli mkali ... yaani Mkuu wa Mkoa anakusomea risala?
 
Mie nataka kujua pia hapa jana nimeona Mkuu wa Mkoa wa Mara akisoma Risala mbele ya mama Salma nikajiuliza maswali mengi kichwani bila majibu
Kwani anakazi gani katika nchi mpaka asomewe hiyo Risala ?
First lady jamani mie naona nikuulize wewe kwa nini wajina wako anafanya hivyo jamani? Talk to her please first lady she will hear you...
 
Mama huyu anatafuta cheo serikalini katika awamu hii ya pili. Namshauri abakie na ujasiriamali kwani unamfaa.
 
Hi guys

Binafsi nadhani kama anachokifanya kina manufaa kwa taifa la tanzania sidhani kama kuna tatizo, no matter who she is!

Kuna wabunge na mawaziri wengi tu wanatakiwa kufanya kazi za maendeleo lkn ni rubish tu.

Wanasema;

Great Minds Discuss Ideas;
Average Minds Discuss Events;
Small Minds Discuss People.

Tuache kumdiscuss mama salma kama yeye tuangalie ni maendeleo gani anayafanya kwa taifa.

Hizi ni views zangu tu!


Regards
 
Mimi huwa namwita mama kihelehele.

Yeye ni first lady sawa. Lakini hawajawahi kuapa kikatiba kama kiongozi sasa kupewa taarifa au kufanya kazi za kiserikali si ndio hayo hayo? anavunja katiba na sheria zetu. Ni sawa na wale matapeli niliowahi kusikia wakijiita madaktari na kuingia theatre kufanya operation! unategemea nini kitatokea? Any way tuko katika nchi ya majaribio ya kinyozi. Kila anayejfunza kunyoa anajaribu kwetu. Wadhani tutafanyaje?

Hawa mafirst lady wetu wa awamu kuanzia kwa mzee Mwinyi wamekuwa wakifanya mambo ya ajabu ajabu. Wamekuwa wakigiribu watu kuwaonyesha kuwa waume wao wanafanya mambo mazuri kumbe ni wizi mtupu! Ngoja mwisho wa awamu usikie!
Huenda aliapa hivi
Mimi Salma Jakaya Kikwete naapa nitaitumikia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika cheo cha Fisrt Lady kwa nguvu zangu zote, ee Mungu nisaidie.
Mimi Salma Jakaya Kikwete naapa nitakuwa mtiifu kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na sitatoa siri za baraza la nyumbani, ee Mungu nisaidie.
halafu buluji zinapulizwa
 
Asipewe taarifa ya Maendeleo ya eneo husika maana hataifanyia kazi. Viongozi wetu (maDC, maRC na wengineo) wanapenda kujionyesha kwa mkubwa wao. Hivi mama akija wilayani au mkoani kwako halafu umbanie kesho utakuwa na madaraka hayo? Wanajua sio sahihi lakini wafanyaje?? labda wa kwanza ajitokeze afie wengine
 
Mmh anafuata nyayo za mama Lucy Kibaki wa Kenya,ole wako umuuzi kibarua kinaota nyasi siku hiyo hiyo na kama tunavyojua hapa TZ hatuna viongozi jasiri wanaoweza kuhoji wote ni wapiga filimbi wa Hamelini
 
Mmh anafuata nyayo za mama Lucy Kibaki wa Kenya,ole wako umuuzi kibarua kinaota nyasi siku hiyo hiyo na kama tunavyojua hapa TZ hatuna viongozi jasiri wanaoweza kuhoji wote ni wapiga filimbi wa Hamelini
5050318431459.jpg

Huyu ndio Lucy Kibaki.
 
Mkoa wa Mara, unapata shida ya kuendelea pamoja na historia kubwa iliyo nayo, shida mojawapo ni kupata mkuu wa mkoa wenye sifa stahili ya kuwa mkuu wa mkoa.

Mfano dhahiri wa ombwe la uongozi katika mkoa wa Mara ni aina ya RC aliye madarakani. How on earth ... Mkuu wa mkuu wa mkoa anasoma taarifa kwa First Lady... Inamaanisha huyu RC hajui anawajibika kwa nani!!

Kwa vile First Lady, anaishi nyumba moja moja na mkuu wa kaya, anafikiri kuwa First Lady ni sahihi kupokea taarifa na ataifikisha kwa mkuu wa kaya..... haa haaa. Hii inanikumbusha Lucy Kibaki , anavyowaingilia na hata kuwapiga vibao watendaji wasiojitambua kule Kenya. Huyu mkuu wa mkoa ni aina ya viongozi ambao mke wa kiongozi anaweza akawafanya lolote, kwani ni watupu! tupu! tupu!

Hebu sikiliza alichosema huyu First Lady, anawambia watu wa Tarime waache kuoa wake wengi!!! Ndiyo maana alihitaji ulinzi wa FFU, kwani alikuwa anasema mambo ambayo si kipaumbele kabisa cha watu wa Tarime.
Inamaanisha, huyu First Lady hajui shida zinazowakabili wana Tarime?

Angekuwa First Lady makini na kutumia taasisi yake ya WAMA, angegusia ukosefu wa maendeleo unaotokana na wamama wa Tarime kufukuzwa katika maeneo yao ya ardhi kwa kupisha shughuli za uchimbaji mkubwa wa madini, ukosefu wa amani na jinsi mambo haya yanamwathiri mwanamke wa Tarime. Hawa wamama , wanahitaji msemaji na mtu ambaye anatambua matatizo yao.

Matatizo yao ni kukosa ajira, shughuli endelevu na yeye angewapa moyo na jinsi gani taasisi yake inaleta jambo la faraja au nuru mpya kwao. Lakini First Lady , wetu amefikiri kama mwanasiasa wa kitanzania, ambao huwa hawana lolote la kusema , bali kusema chochote alimradi kasema.

Kama Salma anapinga kuoa wake wengi je anaupinga uislam? Je mbona na yeye yupo katika ndoa ya wake wengi????
 
its an insane!!kumbe tuko wengi ambao hatuelewi mipaka ya uyu mama kwa serikali ya JK,ivi kwanini hatuambiwi na viongozi husika izo gharama ni za mlipa kodi,wafanyabiasahra,NGO yake nk???inanisumbua sana maana najua kikatiba HANA ayo mamlaka ata chembe ya kupewa izo hotuba na kubughudhi ratiba za kazi za kujenga nchi yetu kwa hao watendaji tuliowachagua watutumikie sisi.Tumeingiliwa na vituko vya viongozi na hakuna hata kiongozi mmoja anayeweza kuhoji uhalali wa uyu mama kutalii ivo!ata waziri mkuu nae hola
i hate this:mad:
 
Anapaswa kudhibitiwa anakiherehere sana kuna wakati huwa anataka awe mbele ya Raisi haswa wanapotoka nje ya nchi utakuta anataka kuongoza msafara mbele kabla ya Raisi nadhani watu wa protokali watakuwa wamemshindwa haelewi kitu yule,mapepe mukichwa,tunajua ananafasi yake kama FL lakini hili la kutenda kazi za watendaji wa serikali mimi hapo nitapinga mpaka mwisho hastahili na najua atakuwa ameonywa ila asikii huyo


kweli,ni shida ya kuwa mwalimu bila elimu
ana kichwa hakijatulia kabisaaa,si unajua maskini akipata?au limbukeni akipata?
yaani ni wa kuombea tu uyu mtu maana ukiwaza sana hata hujui umuweke kundi gani anatia aibu SANA
 
Haya wasoma risala ndo akili zao hazina pingili vichwani mwao!!
Afu jamaani mkoa wa mara sio mkoa - nadhani ule mkoa ni nchi nyingine kabisaaaaa!
Maana hata - sheria hawazijui,utaratibu hwajui so hata viongozi waliopo huko wanapelekwa wale wasojua itfaki na utaratibu ss tangu lini mkuu wa mkoa anasoma risala!!??
Huyo mama alitakiwa kuwapa pole wanawake wanaopigwa na waume zao - basi! na hiyo ndo kazi kubwa - kukemea tabia hizo huko tarime sio vinginevyo
Wanabore hawa!!!!

Wewe unawaita watu wa Mara kuwa hawana akili!!!!!! Sasa subiri wajue unakoishi, nakwambia mtachinjwa familia yenu nzima siku si nyingi. Mara hii umeshasahau yaliyotokea Musoma na Tarime !!! Ohoooo, shauri yako mimi simo kabisa kuwa shahidi yako. Si ni sambi sako mwenyewe !!!!
 
kweli,ni shida ya kuwa mwalimu bila elimu
ana kichwa hakijatulia kabisaaa,si unajua maskini akipata?au limbukeni akipata?
yaani ni wa kuombea tu uyu mtu maana ukiwaza sana hata hujui umuweke kundi gani anatia aibu SANA


Jamani tuongee lakini tusivuke mipaka, Sisi ndio tutaonekana wajinga.
 
What about this definition from US



First Lady of the United States is the title of the hostess of the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/White_House"]White House[/ame]. Because this position is traditionally filled by the wife of the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/President_of_the_United_States"]President of the United States[/ame], the title is most often applied to the wife of a sitting president. However, several women who were not presidents' wives have served as first lady, as when the president was a bachelor or widower, or when the wife of the president was unable to fulfill the duties of the first lady herself. In these cases, the position has been filled by a female relative or friend of the president.
 
Wewe unawaita watu wa Mara kuwa hawana akili!!!!!! Sasa subiri wajue unakoishi, nakwambia mtachinjwa familia yenu nzima siku si nyingi. Mara hii umeshasahau yaliyotokea Musoma na Tarime !!! Ohoooo, shauri yako mimi simo kabisa kuwa shahidi yako. Si ni sambi sako mwenyewe !!!!

Huwa hawachinji watu baki....ni wao kwa wao
 
Back
Top Bottom