Recent content by mkuu wa kijiji

  1. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Nauliza kuhusu Lyamungo Sec

    Si kweli
  2. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Nauliza kuhusu Lyamungo Sec

    Sina taarifa sana lakini ni shule ya Zamani sana Baba yangu alisoma hapo na Babu yangu pia kabla ya Tanzania kupata Uhuru
  3. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Kama ulivyoelezea, Zanzibar ina haki ya kumiliki ardhi hapa bara kama taasisi nyingine yoyote. Zanzibar ni sehemu ya TANZANIA wanetu!!!
  4. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Kuuza Ulezi wa kupima na bakuli
  5. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar kuchukua na kumiliki eneo Bagamoyo ambalo liko Tanganyika ni kinyume na katiba ya Zanzibar

    Si vibaya Tanzania visiwani kuwa na Eneo Tanzania bara. Mbona Dar es salam ina maenei Iringa, Mbeya na Dodoma.Mbona raisi katokea Visiwani?Punguzeni kujitoa ufahamu
  6. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Mitume na manabii ni wagonjwa wa akili waliochangamka?

    Topic changamfu Kwa ajili ya afya ya akili
  7. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Duka la Fred Vunjabei lavunjwa ngazi Zanzibar

    Sheria haikufuatwa iko barabarani
  8. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna Maduka yanayotumia uchawi, yanavyoweza kumpumbaza mteja

    Sijaona jibu zuri. Duka lenye watu wa market wazuri ni zaidi ya Wachawi. Mchawi akasome
  9. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa mpaka India na China; India yalalamika China kubadilisha majina ya maeneo mpakani

    America ina hofu sana ya kupitwa Kwa sasa , China inakuwa vizuri na mwendo ni wa uhakika. India inakuwa vizuri kiuchumi pia. Zote hizi tegemeo kiuchumi Kwa mambo mengi USA. Na USA Kwa sasa itasambaratisha chumi hizi zote Kwa njia wanazoona inafaa Kwao, Wanaanza na Lugha ya Taiwani lakini tatizo...
  10. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua anatoa kauli kama za Hayati Magufuli. Ndiye ataleta machafuko Kenya

    Ni zambi kubwa kutomkamata Raila , hata kama fujo itatokea lakini Raila aonje mkono wa sheria, apelekwe Arusha kama Nairobi imeshindikana.
  11. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Nani aliwadanganya watu jela kuna mambo ya kubakana?

    Nimekakaa jela, ila kugongwa Rungu ni mtu mwenyewe na tabia hiyo alianzia Mtaani akaenda nayo Gerezani na Kugonga Rungu pia hivyo hivyo
  12. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Umeme wa solar

    Pata fundi Mzuri akushauri . Karibu Nyegezi Solar
  13. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Mama Mkwe anataka majina yangu matatu

    Kizazi cha kipuuzi sana hiki
  14. mkuu wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

    Mwakipande,Mwasyakafuka,Nk
Back
Top Bottom