Nani aliwadanganya watu jela kuna mambo ya kubakana?

Mr mutuu

JF-Expert Member
Jan 27, 2023
1,994
9,927
Imekuwa ni kawaida kwa jamii yetu mtu akitoka jela(hasa hasa mwanaume) watu kumuuliza kwa utani " vipi wamekuacha salama?" Au kuskia kua jela ukiwa unaoga ukiangusha sabuni usiokote!!! Nimeona kwenye thread ya askari wa Zanzibar 'Rama' watu wengi wanasema akienda jela ataenda kua mke wa watu sijui

Aisee sijakaa jela zote ila katika harakati za utafutaji nimewahi kukaa gerezani 'ghetto' na kwa experience yangu aisee kosa kubwa kuliko lote magereza ni 'kumegana' ... Yaani Bora sijui ukutwe hata umefanya Nini ila sio huo ujinga, hii kitu inapigwa vita kuanzia na wafungwa wenyewe mpaka askari magereza

Kwa ambao hawajawahi ' kufichwa ghetto' aisee usiombe askari magereza sijui mafunzo wanapata wapi Hawa jamaa Wana roho ngumu asikuambie mtu usiombe uingie kwenye 18 zao utakuta kuzaliwa

Jela fanya yote ila mambo ya kulana tigo is a BIG NO maisha yako jela yatakua magumu, Kuna jamaa mmoja alikua na hio tabia akawa anamsumbua dogo mmoja ampe tigo, hapo ni kumuomba maana swala la kusema sijui utambaka mtu ni kitu ambacho hakiwezekani, dogo akawa anamkatalia jamaa kumpa tigo siku jamaa akamshika dogo Tako dogo akaenda kumripoti

Mkuu wa magereza akaita parade jamaa akatolewa mbele, akawaambia askari magereza huyu Kila mkisign in kuingia kabla hamjaanza shift Kila askari anampiga virungu vitano vya ugoko ndo anaanza majukumu yake, aisee jamaa alipigwa mpaka Kuna muda akawa kama kilema, askari wakawa wakimuona hawampigi tena hata wanacheka tu wanamwambia ' we mfir**ji tutakuja kukuua"

Sisemi kwamba hayo matendo hayapo ila ni kwa watu kutaka wenyewe na wafanye siri sana Yani wasijulikane, hivyo jamii inapaswa kuacha kuamini story za kusadikika kua jela kuna Hio tabia sana!!

Ambao wameshawahi kutupwa ghetto nao watapita kutoa experience zao ila mi navyoelewa jela huo mchezo ni Moja ya vitu vinavyopigwa marufuku kupita kiasi!
 
Shida, waenezaji wakubwa hii dhana ni watu ambao hawajawai kukanyaga Gerezani.
Sehemu salama kabisa pasipo na insu ya ushoga ni gerezani, ni aslimia mia 1.hakuna ufirauni uko.
Wewe umezidisha chumvi,mtoa mada kakiri hayo yapo ,wanapigana kwa Siri na hiari ya mtu,na usiombe ukamatwe,unaingizwa kwenye chumba kinaitwa selo,mateso yake hautarudi huo upuuzi
 
Back
Top Bottom