Nauliza kuhusu Lyamungo Sec

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Wakuu mwenye kufahamu kama Lyamungo High School kuna combination ya PCM anijulishe tafadhali.

Kuna dogo kapangwa huko PCB ila yeye anataka PCM nimemuahidi kumtafutia taarifa.

Natanguliza shukrani.
 
Fungua code mzee umekaza mno.
Kulikuwa na utamaduni kwamba form five wakifika wanakaribishwa na form six kwa kuogeshwa kwa lazima usiku kwenye maji ya baridi yanayo tiririka kutoka mlima Kilimanjaro usiku wa saa sita,kwamba wanatoka stage ya tadpoles kwenda kuwa chura, wenyewe wanaita kukata mkia
 
balaa hili.
 
Vijana mmekuja kuwaje aisee? Wakati unachagua hiyo kombi hukuwa umejiandaa kusoma? Huu upuuzi wa kuanzisha nyuzi kama hizi unakera sana. Kama umechaguliwa NENDA KASOME ACHA UJINGA.
 
Vijana mmekuja kuwaje aisee? Wakati unachagua hiyo kombi hukuwa umejiandaa kusoma? Huu upuuzi wa kuanzisha nyuzi kama hizi unakera sana. Kama umechaguliwa NENDA KASOME ACHA UJINGA.
Hivi watu kama wewe huwa mnakuwa na kutu kwenye ubongo au ni dalili za madeni yaliyokithiri?

Huu uzi una tatizo gani? Jambo kama huelewi au linakukera achana nalo kuliko kukwaza wengne.

Wewe ni nani humu JF umekuwa Melo wewe?

Idiot
 
Ipo, ila lishule libaya sana japo ni shule kongwe. PCM ni kombi ya kibabe sana kama ataweza aingie tu mkuu
 
Back
Top Bottom