Recent content by mkumbamasaka

  1. M

    natafuta desktop yenye specification hizo hapo chini...interested seller PM me tafadhali

    Kama uko Dar fika mtaa wa kongo na uhuru maduka ya wasomali utapata dell studio 9100 lakini utoboke mfuko 1.3mgarantee ni mwaka mmoja. naomba kuwasilisha
  2. M

    Gharama ya kutengeneza kisima Dar

    Wachangiaji wote wako sawa, nami ni mmoja wa wapenda maendeleo nilipata kuwasiliana na jamaa mwenye namba 0787292917 wao gharama za kuchimba ni Tshs 2,500,000 wanakukabidhi kisima kilicho tayari, lakini wanakushauri kwanza ufanye survey ya kuhakiki kama sehemu uliyokusudia ina maji katika umbali...
  3. M

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Ndugu zangu this is for the great thinkers lakini mbona tunafanya vitu kama vya watoto wa std 1, hebu angalieni vema quote ya para ya pili Rostam amejivua nyadhifa zote za kisiasa pamoja na Ubunge wa jimbo la Igunga. hebu tuwe makini katika issues kwa kuzisoma na kuzielewa vema. natumaini...
  4. M

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    ndugu zangu nataka kuwa habarisha ya kuwa uchawi si kwa afrika au bongo tu kama mtoa mada alivyo ainisha utafiti wake lakini nilikuwa na wazo kiduchu tu, ni mwaka jana au mwaka juzi kulitangazwa nafasi ya mchawi mkuu masikani Uingereza na sifa zake zilitangazwa ili kushindana na wengine kutoka...
  5. M

    Mashine ya kukamulia alizeti nipate wapi wakuu?

    wasiliana na jamaa huyu aliagiza toka China anazo mbili namba yake ni 0713 331721 atakuhabarisha zaidi
  6. M

    Sababu za wanaume kupenda nyumba ndogo.

    Huwa ni tamaa na uroho wa kuonja onja na ukisha zoea huwezi kuacha inakuwa hulka na tabia mbaya tu, kwani ukiweza kumtunza na kuweka mazinguira rafiki mahali unapoishi kwa maana nyumba au chumba chako kiwe kizuri na mahali pa kulala pawe pazuri na hata mwenza wako uliyeamua kuwa naye bila...
  7. M

    DOWANS wawasha Mitambo yao

    Hii inamaanisha kuna nini ndani yake, jana niliripoti mtambo namba 3 pale Songas ulishika moto, na leo Dowans wako hewani.............tafakari na tuzame zaidi ili kujua kulikoni ndani yake? hivi ni hujuma, usaliti, uroho au nini jamani..............nashindwa kupata jibu
  8. M

    Ubungo Songas engine no. 3 inawaka moto

    Ndugu zangu mi ndo na alee, naenda jipumzisha, nasubiri taarifa za habari jioni, tuko pamoja but "me and you we are all responsible in safeguarding the countries interests"
  9. M

    Ubungo Songas engine no. 3 inawaka moto

    Nchi ni yetu sote wewe na mimi lazima tuwe na uchungu nayo, na haki ya kupata habari ni muhimu ili tujue na tuwe na mahali pa kuanzia
  10. M

    Ubungo Songas engine no. 3 inawaka moto

    tafadhali mlio karibu mtujuze zaidi,
  11. M

    Ubungo Songas engine no. 3 inawaka moto

    Jamani utani na ukweli uwe mbali tujadili vitu na kupashana mambo kwa njia iliyo chanya, inasemekana mpaka sasa wameudhibiti kwa kiasi fulani usilete madhara makubwa kwani umeme ungekatika kwa muda mrefu kama ilivyokuwa 2004 yalipoungua matenki ya mafuta jet A1 hapo hapo yaliyokuwa yakihifadhiwa...
  12. M

    Ubungo Songas engine no. 3 inawaka moto

    Jamani habari nilizozipata ni kuwa injini namba 3 pale SONGAS imepata hitilafu na inawaka tafadhali mtujuze mlio karibu. =========================== UPDATES: (Maxence) Ni kweli moto ulitokea mwendo wa saa 9 kasoro lakini ulidhibitiwa kabla hali haijawa mbaya. No serious damages Kwa mujibu wa...
  13. M

    Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

    Mungu wangu, nilipoziona picha hizi wakati wa matukio ITV nilipatwa na mstuko kiasi cha kujiuliza kwa muungwana anayeguswa na ubinadamu na ambaye yuko katika moja ya vyombo vinavyosimamia na kuratibu usalama wetu ni bora kupumzika na kuachia nafasi wengine nao waweze kuleta mabadiliko, ule...
  14. M

    Re; hodi wadau

    Ahsante kiungwana, kwa ukaribisho mwanana, good guy inamaana, shukrani kwa wingi natoa, pamoja daima tutakuwa, thanks all ov u, i'm happy to be one ov u, :target:
  15. M

    Re; hodi wadau

    Hodi wadau wapendwa, kilingeni naingia, mgeni katika jamvi, pasi na hofu yoyote, kuwa mmoja kati yenu, mawazo kuchangia, ustawi wa jamii kuneemeka. Mkumbamasaka jina langu, kukokotoa yalojificha, hadharani kuyaanika, uozo kuufichua, nyuma kamwe kutorudi, ni mimi wenu katika jamii
Back
Top Bottom