Mashine ya kukamulia alizeti nipate wapi wakuu?

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,537
6,458
Wajameni, habarini za mchana/asubuhi/usiku etc. Katika kipindi cha sabasaba nilishawahi kusikia kama kuna machine fulani za kichine za kukamulia mafuta ya alizeti, sijajua kama ni za kichina au zinatengenezwa hapahapa kwetu tz....nina uhitaji sana na machine ya aina hii, naomba kama kuna mtu mwenye fununu wa wapi na namna nitakavyoipata, aniambie wapi niipate please!

Natafuta ile ya small scale production ambayo haiwezi kuleta complications sana wakati wa kuitengeneza kama ikikorofisha, so iwe kidogo ile ndogo ambayo naweza kuweka nyumbani kwangu kwenye chumba kimoja au viwili na kufanya kazi....kwa mwenye fununu na hili, wapi wanauza etc, nitashukuru kama atanitaarifu kwa hapa....asanteni.
 
hawa jamaa wa injiniiaring hapo Dsm hawatengenezi kama hizi? wahindi hakuna hata mmoja mwenye duka la kuuza hapa Dsm kama agent wa makampuni ya nje? duka gani nitapata hap dar? au arusha.
 
Kama uko Dsm nenda SIDO watakusaidia sana,na kama unanafasi kidogo tembelea wakamuaji wazoefu wakupe abc za mashine zao ili ukifikia uamuzi wa kununua,basi uwe tayari unataarifa za kutoka Field kwenyewe.
 
thanks for your advice wajameni..siku dsm, lakini itabidi niende dsm...mara nyingi nikiwaambia wenye nazo, kwasababu ya ushindani wa soko hawataki kuniambia vizuri, na siawaamini ndio maana nilikuja hapa jf kwenye watu wanaojua pengine...
 
Wajameni, habarini za mchana/asubuhi/usiku etc. Katika kipindi cha sabasaba nilishawahi kusikia kama kuna machine fulani za kichine za kukamulia mafuta ya alizeti, sijajua kama ni za kichina au zinatengenezwa hapahapa kwetu tz....nina uhitaji sana na machine ya aina hii, naomba kama kuna mtu mwenye fununu wa wapi na namna nitakavyoipata, aniambie wapi niipate please!

Natafuta ile ya small scale production ambayo haiwezi kuleta complications sana wakati wa kuitengeneza kama ikikorofisha, so iwe kidogo ile ndogo ambayo naweza kuweka nyumbani kwangu kwenye chumba kimoja au viwili na kufanya kazi....kwa mwenye fununu na hili, wapi wanauza etc, nitashukuru kama atanitaarifu kwa hapa....asanteni.

hute me npo arusha kampuni ya utafiti wa mitambo hapa TEMDO kwetu tunatengeneza mashine mbalimbali ikiwemo hiyo unayoitaka garanti miaka 3o ianze kusumbua tuwasiliane kwa no0756060008 poa
 
TEMDO Arusha wanatengeneza hizo mashine bei ni kama m6 hivi
 
hute me npo arusha kampuni ya utafiti wa mitambo hapa kwetu tunatengeneza mashine mbalimbali ikiwemo hiyo unayoitaka garanti miaka 3o ianze kusumbua tuwasiliane kwa no0756060008 poa

Bei zenu ni kubwa cjui huwa target mkt yenu ni nani, cause siyo mkulima wa kawaida.
 
Bei zenu ni kubwa cjui huwa target mkt yenu ni nani, cause siyo mkulima wa kawaida.

hapana mkuu ubora kumbuka zakwetu ni chuma za china ni cast /udongo inaweza kuvunjika muda wowote ndo mana tuna gerent na wateja pia kumbuka temdo ni taasisi ya serikali hakuna usanii hapo umenipata
 
hapana mkuu ubora kumbuka zakwetu ni chuma za china ni cast /udongo inaweza kuvunjika muda wowote ndo mana tuna gerent na wateja pia kumbuka temdo ni taasisi ya serikali hakuna usanii hapo umenipata

Sasa unaonaje mkijitangaza zaidi maana si unaona kuna prospective customers ambao hata hawajui uwepo wenu.
Ichukulie kama changamoto kwa sasa.
 
Sasa unaonaje mkijitangaza zaidi maana si unaona kuna prospective customers ambao hata hawajui uwepo wenu.
Ichukulie kama changamoto kwa sasa.

tushajitangaza sana kwemye tv tbc gazeti la mwananchi na pia wadau wote wa mecanicalwanajua sana tena sasa tuna project ya kutengeneza incenerator mc/machine za kuchoma takataka za hosp ,mashulen na nk karibu tupo njiro mwisho wa lamao zamani stend men
 
asanteni sana kwa msaada wenu, nafikiri huyo jamaa wa temdo arusha ni wa kuwasiliana naye...thanks for all your contributions...
 
Back
Top Bottom