Sababu za wanaume kupenda nyumba ndogo.

Ukila ujue nawe utaliwa au siyo?Afadhali wewe umeamua kukaa kimya maana bwana sijui watu tunafagilia nini haya mabalaa ya nyumba ndogo!

Mkuu.
Jaribu Itakupunguzia stress za kazini na nyumbani.
 
In short kuoa au kuolewa sio mwisho wa ''kupiga'' au ''kupigwa'' nje ya ndoa.......okey ''siencourage'' uzinzi lakini 95% wanafanya hivyo na wasiofanya hivyo mbingu ni yao wakati sisi wengine toba ndiyo inayotuoka.

''nitaiona mbingu kwa msaada wa toba tu''
 
1- wanajua kwenda na wakati. Hili jambo ni nadra sana wadada walioolewa kwani wengi wao hujisahau sana.
2-wanajua mapenzi. vimada wengi wanajuwa sana mapenz wawapo kitandani ni wa2ndu sana.
3-wanajua sana kudekeza na kuwajali wapenz wao.
4-wanavutia na wamekaa kinyegenyege.
5-wanatoa stress unazopatapa nyumbani.
Hizo ni baadhi tu, kama zipo za ziada ziweke hapa.
My take:- mke wa mtu sumu.
hizi ndoa za siku hizi? sasa kwa nini usimwambie mkeo na yeye awe anaenda na wakati,ajitahidi kukudekeza n the rest? tatizo lenu mnapenda kutendewa je wewe unafanya nini kumfanya mkeo aende na wakati/ nini mchango wako? unamgaramia?au hiyo hela ya kula ndio unataka aendeee saluni na kununua viwalo hapo hapo? kimada kujinyegesha ndio mtaji wake asipofanya hivyo vits yake haina mafuta! thats is a game man n wat u have just listed here r the rules kimada has to play for her to servive!!!

my take; alwyz use condom ili userve nyumba kubwa!
 
....Baadhi ya...Wanawake mlioolewa ...punguzeni UVUVUZELA jamani ,mtakosa mwana na maji ya moto....
 
Wanawake mlioolewa mnaipata hiyo? Mnasemaje? Swali langu kwa mtoa mada ni je ina maana kwamba hata mwanamke aliyeolewa nae akitoka nje anakuwa mchezaji mzuri!?
Inawezekana hata walioolewa nao huwa wazuri wanapotoka nje, tupeni uzoefu mnaotoka na wake za watu.
 
Hili swali limekuwa linanitatiza sana.

Hivi ni kweli hicho ndo kinachowafanya wanume kutafuta small house?? SIDHANI.

Mimi nafikiri ni tamaa na kuchokana tu. Maana unakuta sometimes mwanamke/mwaume anamboa mwenzake mpaka anatafuta mpango wa nje. Unakuta mwanamke/mwanaume anaanza ulikuwa wapi kwanini umechelewa kutoka kazini amesahau wewe ni muhudumu lazima uwe wa mwisho kufunga milango yote ya ofisi baada ya kila mtu kuondoka. Sasa uanjikuta hata saa nyingine unafikiri hivi kwanini nisifanye kweli maana hii sasa ni kero jamaa limekusumbua unasema twende zetu tukajivinjari ha ha ha ha ukifika huko unabembelezwa kama ile siku baada ya ndo ulivyofanyiwa basi raha mstarehe utakumbuka home saa ngapi jamani msinukuu tafadhali maana hamchelewi.

Will be back
 
Halafu wakuu pia msisahau hawa dada zetu nao kama ni wa magomeni au tandale kwa mtogole au kinondoni pia si wachoyo,,,,mitandao yote unapata bila wasiwasi......wakati ukiwa nyumbani mitandao kama ya tigo network zinakua hazipatikani.
 
We maisha wewe acha dharau mie naisihi kinondoni na hiyo mitandao yako ya tigo sijawahi na sitawahi kuitoa ushindwe na ulegee katika jina la yesu mwone vile kwanza. Kuishi sehemu si kila mtu anakuwa na tabia hizo. Ukinitafuta njoo pale studio mtaa wa kisutu nyumba namba KN/KS/7081 unione nilivyomstaarabu acha hizo bana
 
Ni tamaa tu zinasumbua
hizo sababu hazina msingi hata kidogo.
Hivi wewe kama unaujua huo utundu kwa nn usishee na wife ,.
 
ngoja kwanza!! Yani hapa vyote vipo, ukweli na uongo pia. Ngoja nipime uzito, I'll b back
 
Ila jamani madada wa benki walioolewa wanatoa penzi taam sana nje ya ndoa, mliokula mnasemaje?
 
Huwa ni tamaa na uroho wa kuonja onja na ukisha zoea huwezi kuacha inakuwa hulka na tabia mbaya tu, kwani ukiweza kumtunza na kuweka mazinguira rafiki mahali unapoishi kwa maana nyumba au chumba chako kiwe kizuri na mahali pa kulala pawe pazuri na hata mwenza wako uliyeamua kuwa naye bila kulazimishwa umpende na kumtunza kwa unavyotaka vya nje hutavitamani. ila kama ni mroho toka kitambo utaendelea vivyo hivyo mpaka kiamani. heshimu utu wako unathamani na si kila mtu auone usiri wako(nyeti zako)
 
na nyumba ndogo zinajua kuchuna sana,pia mke wa mtu akitoka nje huwa anajituma sana halafu mtaaaam usisiskiee
 
1- wanajua kwenda na wakati. Hili jambo ni nadra sana wadada walioolewa kwani wengi wao hujisahau sana.
2-wanajua mapenzi. vimada wengi wanajuwa sana mapenz wawapo kitandani ni wa2ndu sana.
3-wanajua sana kudekeza na kuwajali wapenz wao.
4-wanavutia na wamekaa kinyegenyege.
5-wanatoa stress unazopatapa nyumbani.
Hizo ni baadhi tu, kama zipo za ziada ziweke hapa.
My take:- mke wa mtu sumu.
Hapo nakuunga mkono. wanatamanisha
 
hizi ndoa za siku hizi? sasa kwa nini usimwambie mkeo na yeye awe anaenda na wakati,ajitahidi kukudekeza n the rest? tatizo lenu mnapenda kutendewa je wewe unafanya nini kumfanya mkeo aende na wakati/ nini mchango wako? unamgaramia?au hiyo hela ya kula ndio unataka aendeee saluni na kununua viwalo hapo hapo? kimada kujinyegesha ndio mtaji wake asipofanya hivyo vits yake haina mafuta! thats is a game man n wat u have just listed here r the rules kimada has to play for her to servive!!!

my take; alwyz use condom ili userve nyumba kubwa!

Mkuu,
Juhudi na maufundi yale aliokuwa anaonyesha 2lipokuwa katika relationship inabidi viendelee 2wapo kwenye ndoa. Lol
 
In short kuoa au kuolewa sio mwisho wa ''kupiga'' au ''kupigwa'' nje ya ndoa.......okey ''siencourage'' uzinzi lakini 95% wanafanya hivyo na wasiofanya hivyo mbingu ni yao wakati sisi wengine toba ndiyo inayotuoka.

''nitaiona mbingu kwa msaada wa toba tu''

Mkuu, umenena. Lol
 
hizi ndoa za siku hizi? sasa kwa nini usimwambie mkeo na yeye awe anaenda na wakati,ajitahidi kukudekeza n the rest? tatizo lenu mnapenda kutendewa je wewe unafanya nini kumfanya mkeo aende na wakati/ nini mchango wako? unamgaramia?au hiyo hela ya kula ndio unataka aendeee saluni na kununua viwalo hapo hapo? kimada kujinyegesha ndio mtaji wake asipofanya hivyo vits yake haina mafuta! thats is a game man n wat u have just listed here r the rules kimada has to play for her to servive!!!

my take; alwyz use condom ili userve nyumba kubwa!

Asante mkuu,
Kondom ndo mpango mzima
 
Back
Top Bottom