Recent content by Mkubwa Jalala

  1. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Ukipewa Fursa ya Kumshauri Mh Zitto Kipindi Hiki Utamwambia Nini?

    Ninamshauri asihame chama kwakua alipokua anajiunga na chama hakua na cheo chochote ila alikipenda na kuendeleza harakati katika chama na kazi zake za kikamati. TAIFA KWANZA CHAMA BAADAE na pia ajue watanzania wengi bado tupo nyuma yake na ukweli utazidi kufichuka. CHADEMA SI YA MTU MMOJA IPO...
  2. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Polisi wa usalama barabarani(traffic police) wahubiri Injili wakiwa kazini.

    Laiti hili lingefanywa na waisilamu tungesikia kua ni udini lakini kwa upande wakristo si udini na ni jambo bora mpaka tunatamani na sisi watanzania litokee kwetu, polisi wetu nao watangaze injiri wakiwa kazini.
  3. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Maserati Grand turismo ya Davis Mosha

    Hivi nipo jamii forum au FB. Naana fb nilihama zamani na leo ninafungua bila kujua.
  4. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

    je hujui kua machafuko nchi zenye waisilam wengi nyuma yake kuna mataifa ya magharibi? Kuhusu waumini kua majanga sio dini hii tu na ndio maana kunaviongozi wa dini nyingine mashoga na wengine wanakesi za ubakaji, je hayo si majanga?
  5. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Asante mkuu kwa ushauri ngoja nijimilikishe Galaxy S2 maana zote ninauziwa kwa bei zinazo lingana.
  6. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Naomba ushauri nataka kununua simu ipi ni bora Kati ya NOKIA N9 na SAMSUNG GALAX S2.
  7. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya Mshahara wa Mwalimu vp? Aliouona waraka jaman, atujuze.

    Ninavyo jua mimi laiti nyongeza ingekua kubwa basi ingetangazwa wazizi na kurudiwarudiwa kwa mbwembwe bila kuwa na sentensi za kukanganya wafanyakazi ila tukiona tunasoma waraka halafu unaona nyongeza 45%, 65% nk. ila mfanyakazi wa serikali hajijui yupo wapi? Sidhani kama nyongeza itafika 20%.
  8. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi vya Azam kuanza kusambaa karibuni...

    Mpaka leo sijanunua kutokana na usumbufu wanaoupata ndugu na marafiki zangu, labda hicho cha lambalamba kitanifaa.
  9. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Tano Bora ya wabunge wazalendo kwa taifa letu!

    Naunga mkono hoja yako.
  10. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nile nini ili ninenepe?

  11. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Utaalamu kumuona mchawi usiku!

    Sina uhakika kama mimi ndio nimekosea jukwaa nililo fungua au mwenzangu kakosea sehemu husika ya mada yake au pia huenda yupo sahihi labda kapata tetesi kuna teknology ya kuona wachawi katika jukwaa hili. Simanishi nimedharau shida yako ila uhusiano wa jukwaaa mmmh!
  12. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wizara ya Elimu istandardize matokeo ya kidato cha 4 wakati tume haijamaliza kazi?

    Kweli kabisa mawazo ya warekebishaji wa matokeo na wanafunz waliofanya mitihani ni sawa. Maana wote wanatumia same brain. Nahisi waliofanya mtihan wanamchango wao juu ya njia ya kutatua tatizo.
  13. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Kizazaa Baada ya Jamaa Kukatiza na Kanzu Karibu na Kanisa Leo

    Ingekua vyema kama wange kimbia baada ya kuona bajaji na deleva kavaa rozali. Maana Ambrose hakuvaa kanzu.
  14. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Kanitapikia akanilipa

    hiii kali mkuu.
  15. Mkubwa Jalala

    JamiiForums Tanzania Mi naona kila mtu agawanyiwe

    Mimi nipewe pundamilia wa 2, swala wa2, benki 2. Wengine wahini kabla havijaisha ukija ukapewa nyoka wa 2, na chura wa 2, shauri yako.
Back
Top Bottom