Maserati Grand turismo ya Davis Mosha

Maserati Grand turismo ya Davis Mosha

Comment ya kijinga kabisa.. basi tungekua tunavaa sanda kila sehemu tuzikwe nazo

Fikra za kichawi chawi

Ha ha ha ha ha.
Kazi kweli kweli humu jamvini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi nipo jamii forum au FB. Naana fb nilihama zamani na leo ninafungua bila kujua.

Mkuu tatizo lile lile limejirudia. Watoto wa FB wamehamia humu. Natamani moderators waweke strong rules za watu kujiandikisha humu. Below 25 wote piga chini. Inawezekana kama mods wataanza kupitia utumbo mmoja baada ya mwingine na kufutilia mbali account mbofu mbofu. Watoto wengi washaharibu hata ile sifa ya GREAT THINKERS humu. Mods nao wameipoteza hiyo dira

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
495296878.jpg
 
ni kweli tatizo limejirudia. kwani watu wa FB wakoje? Me siwaelewagi kabisa nyie mnaosema 'msilete mambo ya FB humu'
 
Aaah watu mna vituko,mnatuchekesha tulionuna hapa..Mi namshauri ingekuwa vizur badala ya kujitangaza kwa kununua xpensive cars,basi angekuwa anatoa sadaka kwa vituo vya watoto yatima ili Mungu amkumbuke katka ufalme wake..dini iliyo safi ni kusaidia wajane na yatima; na pia amkumbukae masikini...wasomaji wa Zaburi mtanisaidia kumalizia
Kwani nani kakwambia hatoi sadaka,last year alitoa mil 60 kanisani kwao Moshi alipokua ana kipaimara ya mwanae.Jamani mtu akipata pesa haimaanishi haendi katika ufalme wa Mungu,tusikipe moyo kwamba kwa vile hatuna mali kama fulani basi tutapata rehema ya Mungu,Mungu yeye ndio anajua walio wake.
 
:help::help::help::help::help:

Command those who are rich in this present world not to be arrogant nor to put their hope in wealth, which is so uncertain, but to put their hope in God, who richly provides us with everything for our enjoyment. Command them to do good, to be rich in good deeds, and to be generous and willing to share. In this way they will lay up treasure for themselves as a firm foundation for the coming age, so that they may take hold of the life that is truly life. (NIV, 1 Timothy 6:17-19)
 
Well done bro! nikumbuke na mimi ata kwa ka Toyota voltz nakapenda ila ntafanya nini mie....mie nakuombea ufanikiwe zaid na zaid na ututoe tongotongo sie waTz ambao tumepamba mapicha vyumbani mwetu uku tukiyaangalia aya magari kwenye mapicha ya 50cent, Jayz na baadhi ya wachezaji wa mipira wa Ulaya...natanguliza shukurani km ombi langu la ka Voltz litatekelezwa!
 
I agree with you Safari and Timothy the disciple,what I don't like is for some people to connect poverty with the Kindgom of God.:nono:
 
ni kweli tatizo limejirudia. kwani watu wa FB wakoje? Me siwaelewagi kabisa nyie mnaosema 'msilete mambo ya FB humu'

FB utoto mwingi. Na ukiangalia sana FB hakunaga habari za maana zinazojadiliwa ingawa wapo wanaotumia platform hiyo kuelimisha na kujenga hoja za msingi. Population kubwa FB ni wanafunzi wa form four na six kuanzia form one ambao hawasomi vya shuleni ila kutumia FB kwa ajili ya kuanika picha zao tu na kuandika upuuzi.
 
Mnababaika na gari? Anasa za dunia zitawasaidia nini kuuona ufalme wa Mungu?
 
Ikatokea una toyota vitz yako halafu ukamparua huyu jamaa kwa bahati mbaya na gari yake hiyo lazima unyooshe maelezo! Unaweza kujikuta unapigwa na vitu vyenye ncha kali.
 
wewe ndio mjinga sio point
Hata usemeje ni point ya kijinga.... Ishi kaburini kabisa huna haja ya nyumba....

cha maana ni kujiuliza je amechuma kihalali, au analipa kodi, au anasaidiaje jamii n.k. Haya ya kuzikwa nayo etc. ni end of thinking capacity and malice za kichawi... Period
 
TCleverly unaona.watu wanatKa kutoana macho yaaani hii thread inaoneakana y kitoto kwa baadhi ya watu!!!!

Umuhimu wa forum ya magari unaongezeka!!!!!

Cc CYBERTEQ
 
Back
Top Bottom