Ving'amuzi vya Azam kuanza kusambaa karibuni...

Ving'amuzi vya Azam kuanza kusambaa karibuni...

Itakuwa safi sana! Huyo anayesema atajaza channel za dini yake akimaanisha za Kiislam naona amevurugwa tu. Kama unaona zitakubana basi hulazimishwi na mtu,mbona Ting wamejaza ----- mtupu? Kama hutaki autaacha na uende unakotaka ,ala!
 
Hii diversification ya Bahressa kiboko, kila sector anazama? Nilipata sikia pia anampango wa kuingiza Tanzania buses kama 700 kwenda mikoani na within DSM city.
Hongera zake aisee.
 
Aliyepata kujua progress ya bakhresA kuja na kisimbuzi chake..........plz atupdate basi.
 
umenikumbusha rafiki yangu tulitoka job nkapita nae home mara moja
then tuende mishe mishe mingine nkamkaribisha wine si unajua tena glass hujazi
baadae nkaweka ile chupa mezani
akaifuata akajimiminia mara 3 akamaliza chupa nzima
nlibaki kinywa wazi.
kwa wale wenye shelf a vinywaji manyumbani mwao hawa ukiwakaribisha hatoki hadi alewe..
kwa bakhresa tunamkaribisha ulingoni,, vingamuzi vikiwa vingo bei zinashuka na ni faidia kwa sisi wateja
Umeaona mkuu eeh!! Eti kijamaa kinasema 13 bila hata chenga!!
 
azam tv.jpg

nadhani kaanza na antenna kabla ya kingamuzi
 
Full channel za uarabuni tu na movies. Baaaaaasssssss....
Matangazo ya maandazi chapati na ice cream kwa sanaaaaaa
 
Kwa picha hii nimepata uhakika kuwa jamaa anakuja.
 
Ajitahidi sana kuleta ushindani ili bei zishuke hawa dstv wanajiona wao miungu watu kwenye mipira 72$ kwa maisha yapi?akiweza anunue access abu dhabi tv tuone mipira bure kabisa...atauza sana wengine star media watajipanga upya!
 
Hivi yale mabasi 300 kashaleta??manake tetesi zimekua nyingi sasa!!
 
Jamaa wameanza ku-advertize ktk banda lao 77, inasemekana AzamTV itaanza mwezi ujao..Da, hawa jamaa hata ukiwachukia, kuna sehemu watakubamba tu!
 
Ni habari nliyoipata toka kwa bosi mmoja startimes ambao wametahadharishwa kuwa yamkini wakapigwa sana chini kimasoko kutokana na ujio huo.Hivyo wajiandae na ujio huo.

Startimes yani hata bila ya huyo Bakhresa wenyewe wanajifia natural death.
 
Ajitahidi sana kuleta ushindani ili bei zishuke hawa dstv wanajiona wao miungu watu kwenye mipira 72$ kwa maisha yapi?akiweza anunue access abu dhabi tv tuone mipira bure kabisa...atauza sana wengine star media watajipanga upya!

Kiukweli yeyote atakayeweza kucompete na DSTV kwenye sports atakuwa ametuokoa sana sie tusio na vijisenti
 
wenye mtizamo wa udini nendeni mkalale mwacheni mzee wetu atuletee ahueni, hawa wengine wameshindwa kazi
 
Back
Top Bottom