Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

Naomba ushauri nataka kununua simu ipi ni bora Kati ya NOKIA N9 na SAMSUNG GALAX S2.
 
Bible apps gani inafaa kwa Samsung Galaxy Tab 2 ukiwa kanisani?
 
Download "tweet caster" ni nouma kuliko tweeter app uliyozoea
 
Bible apps gani inafaa kwa Samsung Galaxy Tab 2 ukiwa kanisani?

Youversion Bible, ni nzuri ina offline version ila ukidownloa inakuwa english by default baadae wewe unapo download offline version ndio unaweza kuchagua kiswahili au lugha nyingine, advantage nyingine ni
-kama kukupatia masomo ya kila siku
-kuweza ku mark mahali ulipoishia kusoma au kutunza kumbukumbu
-ku share somo la siku au kufungu chochote na watu ktk mitandao ya kijamii. n.k!
 
Swahili Bible yaani Biblia ya kiswahili ipo na mm naitumia kila cku na hata kanisani naenda na Galaxy Tab yangu na kutumia soft copy ya Biblia yangu ya kiswahili. Biblia za kiingereza za kumwaga.
 
Swahili Bible yaani Biblia ya kiswahili ipo na mm naitumia kila cku na hata kanisani naenda na Galaxy Tab yangu na kutumia soft copy ya Biblia yangu ya kiswahili. Biblia za kiingereza za kumwaga.

Mkuu ukichunguza utaona kuwa hiyo biblia uliyo nayo kwenye hio tablet yako sio original bible!
Usidhani natoa kashfa mkuu bali nakupa wazo tu! Usije anza kutoa matusi!

Kama wewe ni mtu anaependa dini yake basi tizama agano la kale utaona tofauti kubwa!
Usipo fanya hivyo maaana yake ni kuwa hujali!
 
Youversion Bible, ni nzuri ina offline version ila ukidownloa inakuwa english by default baadae wewe unapo download offline version ndio unaweza kuchagua kiswahili au lugha nyingine, advantage nyingine ni
-kama kukupatia masomo ya kila siku
-kuweza ku mark mahali ulipoishia kusoma au kutunza kumbukumbu
-ku share somo la siku au kufungu chochote na watu ktk mitandao ya kijamii. n.k!

Hiyo ni free? si unajua Tanzania online malipo ni issue! samahani nitumie link, utakuwa umetenda vyema machoni pa Bwana.Ubarikiwe.
 
Kama tujuavyo Apple wamebana na kufunga sana simu zao kulimit watumiaji wao watumie wanavyotaka wao tu
Nyingi ya Apps nitakazo zitaja zinataka iPhone yako iwe jailbrake ili uweze kufaidi ladha halisi ya iPhone,ipod au ipad

3g Unrestrictor -
Apple wameibana iphone kudownload file mwisho Mb kadhaa kwa kutumia 3G network na unlimited kwa WIFI,Sasa Hii itafanya iphone yako iweze kuvuka kizingiti cha kudownload kwa kufake inadownload kwenye WIFi hata kama upo kwenye 3g au EDGE so unashusha mzigo kwa kadiri yako

AnyRing;
Ringtone kwa iphone urefu ni sekunde 40 na lazima iwe kwenye m4r format. Sasa Hapa utaweza kufanya wimbo wowote full kuwa ringtone yako bila kujali urefu wala format

XbackUp;
Apps zote kutoka App Store zinakuwa backed up kwenye iTune na Iclouds, sasa Apps zote kutoka nje ya Apps Store(Cydia) utaweza kuzibackup kwa kutumia apps

SummerBoad, WinterBoard
hapa ni kwaajili ya kucustomize simu yako iwe kwenye muonekane tofauti zaidi

iFile; Kwa kawaida Apple wamebana sana huwezi kuona chochote kwenye iphone zaidi ya kutumia apps zao tu, sasa iFile itakuwezesha kuperuzi kila kitu kwenye iphone yako ikiwemo kuaccess mafaili yako yote utakayo download

Shazam;
kwaajili ya kutambua muziki kama umeusikia na huujui jina, sogeza iphone yaribu ya spika acha Shazam isikie kisha itatuma kwenye darabase yake kisha itakupa full details(nyimbo za kibongo hakuna, hawajazisajili wahusika)

MyContactBackup;
unaweza kuset ikawa inabackup contact zako kwa email yako kila baada ya muda fulani, hata ukiibiwa au kudelete inakuwa rahisi zaidi kupata

BiteSMS;
Ina futures nyingi zaidi ya default ya ipone

Bridge -
Itawezesha iphone yako ku add muziki na videos kwenye ipod ya simu yako bila itune, ukimaliza kudownload video/audio kwa safari browser yenye download manager kwa iphone basi unascan kwa kutumia hii app nayo ita add automatic video/audio yako kwenye ipod player

iBlacklist –
kwaajili ya kublock calls na sms kwa wale wasumbufu, nzuri zaidi ya dont disturb me

Protube
Kwa kuDownload YouTube videos and audio

TetherMe - kuifanya iphone yako itumike kama modem kwenye Pc yako via cable or bluetooth

Safari Download Manager -
Itawezesha simu yako kudownload chochote kwa kutumia safari browser ya iphone yako, kisha kwakutumia iFile utaweza kuona na kufanyia kazi file lako

SBSettings -
Itawezesha iphone yako kuwa na short cut ya kuaccess mambo kibao kwa single click badaya ya kwenda Settings etc, etc

English Pro Dictionary(Apps Store)
Bonge moja la dictionary

Fake Location
Kwawale wanaopenda kufake location zao hii Apps inawafaa sana, Mtu yupo Tandale kwa mtogole anatupia Status kwa FB inasomeka eti yupo Samaki Samaki Mlimani City

Bible Society o Tanzania(Apps store)
Bibilia ina karibu makabila yote Tanzania kuanzia text hadi audio, unapata injili kwa Kihaya, kisambaa, kinyiramba nk nk

VLC
Apple wameibana sana iphone inaplay format chache sana, eti hata av haiplay. sasa hii app itamaliza matatizo it can play almost aina zote za video

5dWifi
Hii ni kiboko kwenye ku bypass wifi connection, ukifika mahali kuna wifi inataka password just apply this app ita crack password unakuwa connected

Battery Doctor Pro
Hii ni nzuri sana na ina futures nyingi, inakufanya uwe aware na bettery, kadri chaji inavyopungua basi unaiseti inaanza kufunga apps zotte zinazo kula sana charge na kufanya simu ikae zaidi na chaji

Apps zote hizo utazipata bure kabisa Cyidia au kama Ded file na Ipa file kwenye mitandao tofauti, just google
 
Pia kuna DROID VPN ukiilipia inakupa Unlimited Internet kwenye Tablet yako
Check My footer for more details
 
Nantong hiyo gogole latitude nime download lakini unaitumiaje kumlocati mtu mana naona kila napoifungua inaniijia setting wala sijailewa naomba ufafanuzi na taka kuitumia kwa ajili ya watoto
 
Unatakiwa Huyo Mtu awe na acc google na wewe uwe na acc pia baada ya hapo unaingiza jina lake Kama friend then Ana accept mnakua na connection hapo unaweza kujua wapi alipo!! Hii trend imekua siku nyingi hadi niliisahau!!
 
Back
Top Bottom