Tano Bora ya wabunge wazalendo kwa taifa letu!

Tano Bora ya wabunge wazalendo kwa taifa letu!

Godbless Jonathan Lema is my favourite......

Oooh God bless Lema
 
Lema awemo pia na hata ZZK ingawa ni kigeugeu na kama pandikizi vile!ana report kwa JK moja kwa moja labda kama miaka 2 hii wamepingana kwenye mitazamo!

Huyu izalendo wake ume expire anatetea mafisadi sana. Hatuna imani nae tena. Mzee wa DOWANS mirahaba...
 
Mawazo yenu ya kibavicha mnakuja kutuwekea hapa kwanini msikutane huko mkapeana pongezi zenu kuliko kuchafua jukwaa letu?

we gamba, magufuli akikuskia unasema hili ni jukwaa lenu atakugeuza lami na hapo ndio utakuwa mwisho wa posho yako ya buku saba.jiangalie wewe!
 
1: G. LEMA, 2: T. LISU, 3: J MNYIKA, 4: F MBOWE, 5: K LUGOLA 6: ESTER BULAYA, 7: H MDEE, 8:MSIGWA 9😀 FILIKUNJOMBE, 10: E WENJE. Hiyo ndo ten best. Nahisi mtahoji kwa nini cja muinclude Z KABWE?.Sababu ni kwamba huyu jamaa ananunulika kirahisi mno, kwa hiyo cyo mtu wa kumuamini.ILA AKIJILEKEBISHA ANAWEZA KUWA MTETEZI MZURI WA WATANZANIA.

Any evidence on Z Z Kabwe please or is just a rumor?
 
Nakuunga mköno, lakini naona namba 1 na 2 wangekuwa namba 3 na 4, zaidi ya hapo, namba tano ungeweza kumpa Ester bulaya, any way nadhani umejitaidi kuangalia kwa umakini!

Nafikiri angekuwekea na Livingstone Lusinde na Mzee wa Ugaidi ungefarijika sana
 
Ni kweli kwamba uliowataja wanafaa kwenye top 5. Lakini Godbless Lema angetakiwa kuwa mzalendo namba moja, ni kiongozi ambaye ameonyesha kwa vitendo kuwatetea wanyonge. Amedhiriki hata kuyaweka rehani maisha yake kwa ajili ya wanyonge, amewekwa ndani kwa kuonewa, lakini hajakata tamaa.

Upo sahihi kabisa nami nakuunga mkono!!

The nation that destroys its destroys itself.
 
Habarini wana jf, kwa hali ya mambo inayoendelea katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, ni wazi kuwa wabunge wengi wamepoteza sifa ya uwakilishi kwa wananchi katika jengo lile la bunge mjini dodoma, wabunge wengi wameonekana kuwa wasemaji wa serikali na si wa wananchi! Kufuatia hali hiyo kwa uchunguzi wangu usio rasmi, nimegundua wako baadhi ya wabunge wachache bado wana moyo wa uzalendo kwa wananchi na taifa lao kiujumla! Wafuatao ni wabunge watano bora kwa uzalendo na utumishi uliotukuka kwa wananchi wao waliowatuma bungeni:

1. Mh. Tundu Lissu(chadema)-singida mashariki.
2. Mh. John Mnyika(chadema)- Ubungo.
3. Mh. Deo Filikunjombe(ccm)-Ludewa
4. Mh. Kangi Lugora(ccm)-Mwibara.
5. Mh. Halima mdee(chadema)-kawe!

Pongezi ziende kwa wananchi waliotuchagulia wabunge hao, pia pongeze ziende kwa waheshimiwa wahusika! Mungu awalinde na kuwapa baraka zake! Nawasilisha.

Mkuu Wabunge wanaofanya vyema ni wengi,hii thread ikiwa inaendelea ifanyie marekebisho iwe top 10 badala ya 5

The nation that destroys its destroys itself.
 
Thibitisha kama mi ni Bavicha, pili muda wote usiwaze masuala ya vyama tu, pia wazia na uzalendo katika taifa letu, tatizo watanzania wengi wamelewa uvyama kiasi kwamba umoja,mshikamano wa taifa letu unawekwa rehani! Ndugu tanzania kwanza, mengine baadae!


Mkuu usibishane nae huyo wakati wewe unatumia akili na kichwa kuleta mwazo yako hapa kuna wengine kama huyo alikujibu wanatumia masaburi kufikiria kwa hiyo atakusumbua huyu mbulula mkuu!
 
Mawazo yenu ya kibavicha mnakuja kutuwekea hapa kwanini msikutane huko mkapeana pongezi zenu kuliko kuchafua jukwaa letu?

JF si ya lumumba,JF ni ya jamii nzima hata na wasiokuwemo humu wanafaidika pia.aliyekuita uchangie ni nani?wapi palipochafuliwa? Au umeamua tu kukidhi mahitaji ya mdomo?

The nation that destroys its destroys itself.
 
Tano bora ya wabunge[wajao] 1.chris lukosi, 2.ritz,3.zemoploco 4...... 5.......
 
Hapaktk hii post kunamijitu tayari nimihanga yafisadi ndio maana mitazamo yao yooote imekaa kilumumba tuu.
 
Habarini wana jf, kwa hali ya mambo inayoendelea katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, ni wazi kuwa wabunge wengi wamepoteza sifa ya uwakilishi kwa wananchi katika jengo lile la bunge mjini dodoma, wabunge wengi wameonekana kuwa wasemaji wa serikali na si wa wananchi! Kufuatia hali hiyo kwa uchunguzi wangu usio rasmi, nimegundua wako baadhi ya wabunge wachache bado wana moyo wa uzalendo kwa wananchi na taifa lao kiujumla! Wafuatao ni wabunge watano bora kwa uzalendo na utumishi uliotukuka kwa wananchi wao waliowatuma bungeni:

1. Mh. Tundu Lissu(chadema)-singida mashariki.
2. Mh. John Mnyika(chadema)- Ubungo.
3. Mh. Deo Filikunjombe(ccm)-Ludewa
4. Mh. Kangi Lugora(ccm)-Mwibara.
5. Mh. Halima mdee(chadema)-kawe!

Pongezi ziende kwa wananchi waliotuchagulia wabunge hao, pia pongeze ziende kwa waheshimiwa wahusika! Mungu awalinde na kuwapa baraka zake! Nawasilisha.

Nadhan ukitafuta watano tu,hutaweza kuwa fair sababu wapo zaid ya watano na wote ni wazuri sana na wataifa.
 
naongezea tu wabunge wengi (99%) wa CDM ni makini isipokuwa mmoja au wawili tu. lakini upande wa ccm ni watatu mpaka wanne ambao wako makini katika kuisimamia serikali upande wa ccm ni kage lugora, Filikunjombe, Ally Keisy na kidogo sana Bulaya
 
ungetoa uwanja mpana ili nae DR SLAA tumtambue. Hata sisi CCM tunamkubali sana na akisimama tu, tunampa kura zote. hata sisi tumejichoka ila tunaogopa kusema kwa sauti kubwa maana ndimo ulimo (kwa sasa tu lakini baadae tutawaunga mkono makamanda)....Sasa turudi kwenye masalia bora, wasaliti bora na wazandiki halisi.. ni mawazo tu
 
Back
Top Bottom