Nashukuru sana nimesha register PayPal bahati nzuri Card yangu ya CRDB ni MasterCard na niliisha register kwa huduma za internet Banking,nimeshaanza na kununua Software online.
Usihofu kuuliza sio ujinga,labda tu nikuulize swali je kazi zako unazi save?kama unasave una save wapi,lakini unapobonyeza tu save as document yako inakwenda direct kwenye My Document,isipokuwa wewe mwenyewe unaweza kubadilisha ni wapi u save kazi zako
Wakuu,salama
Nilitumiwa Blackberry na rafiki yangu yuko USA,nimejaribu kuweka line za hapa bongo bdo inaniambia ni insert Sim Card
Nifanyeje niweze kuitumia
watalam wa mobile Phone naomba msada wenu.
Mtu yeyote mwenye shida na Bios password ktk Dell aina zote na Hp Compaq aina zote awasiliane na mimi kama yupo nitampa mawsiliano nitahitaji kwanza vithibitisho kama laptop ni ya kwako,badae utanitumia tag Number hata kwa simu na mimi nitakutumia Master password kwa simu,ya kwanza nitakufanyia...
Hiyo hard disk yako ina Virus wanaosababisha file hasa folder kuwa hiden,niambie unatumia Windows aina gani nikupe maelekezo ya namna ya kuziona tena folders zako.
Naomba msada watalaam,
nimedesign website kwa kutumia Frontpage nimeenda ku host lakini picha hazidesplay,siku zote natumia Dreamweaver
lakini zamu hii nikataka kuijaribu frontpage sasa picha hazitokei
Naomba msada labda nimekosea wapi?katika ku upload file.
Nashukuru
Sijui wengine mnakaa mikoa gani?maana hapa Mwanza ni jana tu nilienda kuulizia hizo modem za ofa nikaambiwa mpaka june ndo zitakuwepo lakini za kawaida za 53000 wanazo,nikawashauri matangazo wayatoe kwanza mpaka zitakapokuwepo,wakaniambia watalifanyia kazi kwa ujumla hawa Airtel wezi wakubwa.
Kama hujapata ufumbuzi wa kuziona hizo file ,fanya hivi ila sijui unatumia Windows gani kama Xp fungua hiyo flash nenda kwenye menyu bofya Tools,then folder option,itakuja menyu ya folder option chagua view then utaona advance seting chini yake kuna option nyingi utaona moja inaitwa Show hidden...
Mi nakumbuka wakati wa Kampeni Kuna Mchungaji sina kumbukumbu na jina lake alihongwa pesa eti anatabilia CCM ushindi wa kishindo mpaka akazitaja 80%,sasa sijui waumini wake wataendelea tena kumuamini kuwa ni nabii au atajificha wapi?
Mkapa,Lowasa Masatu a.k.a Tyson nyuso zao watazipeleka wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.