Msaada wa Kurudisha file zangu kwenye extnal Hard Disk

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,446
6,308
Mambo Vipi wakuu? Hard disk yangu ilipata virus sasa Baada ya kuscan inaonesha iko full but nikifungua Kuna only 2 songs.......... Msaada Please
 
Hiyo hard disk yako ina Virus wanaosababisha file hasa folder kuwa hiden,niambie unatumia Windows aina gani nikupe maelekezo ya namna ya kuziona tena folders zako.
 
FUATA HATUA HIZI HATUA
1. Click Organise
2. Select Folder and Search Options
3. View Tab

Tazama Capture
1.
Capture1.PNG
2.
Capture.2.PNG
3.
Capture3.PNG

KISHA RUDI KWENYE HIYO EXTERNAL HDD.

TENGENEZA NEW FOLDER

KISHA CUT FAILI ZAKO TOKA KWENYE FOLDER ZOTE ZA ZAMANI BAADA YA KUZINGUA

NA KUPASTE KWENYE NEW FOLDER.

DELETE EMPTY FOLDER ZOTE ZA ZAMANI BAADA YA KUA UMEHAMISHA FAILI ZAKO KWENYE NEW FOLDER.a

Lete feedback ukifanikiwa
 
FUATA HATUA HIZI HATUA
1. Click Organise
2. Select Folder and Search Options
3. View Tab

Tazama Capture
1.
View attachment 54846
2.
View attachment 54847
3.
View attachment 54848

KISHA RUDI KWENYE HIYO EXTERNAL HDD.

TENGENEZA NEW FOLDER

KISHA CUT FAILI ZAKO TOKA KWENYE FOLDER ZOTE ZA ZAMANI BAADA YA KUZINGUA

NA KUPASTE KWENYE NEW FOLDER.

DELETE EMPTY FOLDER ZOTE ZA ZAMANI BAADA YA KUA UMEHAMISHA FAILI ZAKO KWENYE NEW FOLDER.a

Lete feedback ukifanikiwa

Yap hii ndiyo solution ya folder zako
 
Mambo Vipi wakuu? Hard disk yangu ilipata virus sasa Baada ya kuscan inaonesha iko full but nikifungua Kuna only 2 songs.......... Msaada Please

1. Angalia drive letter ya disk yako (E or F)

2. Click windows logo + R (run command)

3. Type cmd (open dos)

4. ikifunguka type cd\ (go to the root)

5. type attrib -h -s f:\*.* /s /d (where f is the drive letter)

It will save your time..
 
Mkolon and tcoal9

Salaam wakuu na wengineo ambao watakua na utaalam wa tatizo langu.

Nina externa Hard disk, kila ninapoiweka kwa laptop inadai BitLocker password.
Nimehangaika sana katika net kutafuta solution sijapata zaidi ya kutakiwa either niwe na hiyo password au Password ID recovery key.

Kwa kumbukumbu zangu sijawahi ku-activate hiyo BitLocker na ilijitokeza baada ya rafiki yangu kuichukua ili akacopy movies na alipoiweka kwa pc yake ikamdai password, since then hata nilipoiweka tena kwa laptop yangu ikaanza kudai hiyo password. Nimejaribu njia nyingi za kui-disable hiyo BitLocker lakini kwa hiyo hard disk inataka password kwanza niifungue.

Sasa hata sijajua chanzo cha hilo tatizo maana mie sijawahi ku-activete hiyo kitu. Mie natumia window 7, nikiiweka kwenye window nyingine kama vista inanidai software ya ku-install hiyo hard disk.

Naomba msaada kwa anaefaham solution ya hii kitu!

Natanguliza shukrani!
 
Back
Top Bottom