Msaada: Window 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Window 7

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ARV, May 30, 2012.

 1. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,317
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wataalamu naomba mnisaidie hili, hapa ofisini mi natumia computer HP with window 7,shida yangu ni kupata recent documents za WORD ambazo nimezifanyia kazi karibuni, labda jana tu jioni. Sasa nikienda hapa kwenye start then Microsoft Excel kuna ka-arrow kwa mbele nikipeleka hapo cursor naziona recent docs za excel, Shida yangu nikienda kwenye Microsoft word napo kuna ka-arrow kwa mbele lakini nikipeleka hapo cursor haileti hizo recent docs, ndivyo ilivyo hii window 7 au ni computer yangu ina shida?
  Wakati natumia XP niliuwa naziona zote(za excel na word). nisaidieni mi sio mtaalam sana msinicheke, yaani sitegemei majibu mabaya.
   
 2. Mkolon

  Mkolon Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usihofu kuuliza sio ujinga,labda tu nikuulize swali je kazi zako unazi save?kama unasave una save wapi,lakini unapobonyeza tu save as document yako inakwenda direct kwenye My Document,isipokuwa wewe mwenyewe unaweza kubadilisha ni wapi u save kazi zako
   
 3. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,317
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Huwa nazisave zote ziko kwenye computer, mi nilichokuwa nataka ni kuzipata kwa haraka bila kwenda kuzitafuta sana ndani. kwa mfano nikifika asubuhi ofisini kazi ya WORD niliyokuwa naifanya jana jioni, niende tu kwenye recent document niipate. za EXCEL hazina shida maana nikienda tu hapo zinakuja zote.

   
Loading...