Mwisho wa CCM waja: Wameanza kuweweseka!

1.wanategemea kuiba kura na kutoa rushwa
2. Hawahofu maisha ya vizazi vijavyo wanajali matumbo yao, hi ni dalili ya kukata tamaa ya maisha.
3. Hawamwamini mtu asiye mtoto wa aliyewahi kuwa kiongoz, hi inadhihirisha dhana ya "like father like son". Lengo ni kuchungana.
Acha ife wala hakuna wa kulaumiwa maana kifo chake ndo ukombozi wa taifa hili, kwani nani aweza kuomboleza kifo cha mkoloni?
 
Ona sasa eti viongozi wa CCM wameondoka Arumeru usiku wa manane. Ndg Nape, eti wamehujumiwa...Hizo ni dalili za kukata tamaa na kuweweseka kiukweli. Big up CDM!

Wamehujumiwa na nani wakati wao pekee ndio wanamiliki AK 47.
 
Acha ife wala hakuna wa kulaumiwa maana kifo chake ndo ukombozi wa taifa hili, kwani nani aweza kuomboleza kifo cha mkoloni?

Kweli mkuu tusije mwishowe tukajikuta tunaomboleza kifo cha panya.
 
WanaJF

Niaonavyo mimi, mwisho wa CCM umewadia. Baadhi ya viashilia ni:

1. Wameanza kuweweseka
2. Wanagombana wenyewe kwa wenyewe
3. Wanapeana sumu
4. Wameanza kutumia mapanga
5. Hawana hoja mbele ya umma
6. Endeleza list.........

Nakuunga mkono kwani wew si wa kwanza kuwa na hayo mawazo kuna hata wale waliopo ndani ya ccm nawo
wanasema hivyo hivyomf(KITIME,BUTIKU,KADUMA)
 
Uzuri ni kwamba wanaiua wenyewe viongozi wa chama na serikali kwa mikono yao, ufisadi wao, ubabe wao, na kushindwa kuwatumikia wananchi bali kutumikia matumbo yao.
 
Ahahahahhahahahahaha, hiki ni kicheko cha ushindi, dalili ingine ya CCM kufa ni kuishiwa sera na kuamua kutumia matusi kwenye kampeni zake.
 
Mi nakumbuka wakati wa Kampeni Kuna Mchungaji sina kumbukumbu na jina lake alihongwa pesa eti anatabilia CCM ushindi wa kishindo mpaka akazitaja 80%,sasa sijui waumini wake wataendelea tena kumuamini kuwa ni nabii au atajificha wapi?
Mkapa,Lowasa Masatu a.k.a Tyson nyuso zao watazipeleka wapi?
 
Mungu wetu ni mwaminifu na anawainua waamifu. ushindi wa CDM siyo wa bahati mbaya, wakati umefika lazima uzandiki utajitenga tu. Huwezi kudanganya siku zote,
 
Back
Top Bottom