Anaejua Ufumbuzi wa Tatizo Hili Anisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anaejua Ufumbuzi wa Tatizo Hili Anisaidie

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mawaiba, May 26, 2012.

 1. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana-Jf. Keyboard ya laptop yangu inatatizo ambalo nimeshindwa kulirekebisha; aina ni Compaq. Keyboard yake ina vitufe vya namba ambavyo viko kwa mpangilio kama ule wa culculator kwa upande wa kulia. Tatizo ambalo limejitokeza kama siku tatu zilizopita ni kwamba ninapotaka ku-type namba kwa kutumia vitufe hivi namba hizo hazitokei kwenye screen, kama vile inavyokuwa unapo-click number lock. Naomba mtu anaejua ufumbuzi anisaidie mawazo. Natumia Window 7. Asanteni.
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kama ungetaja ni aina gani ya compaq ingekuwa rahisi zaidi lakini maranyingi ktk hizi compaq ukiingia ktk bios setup kuna setting imeadikwa USB keyboards on start up, hakikisha iwe disabled ikiwa enable inasubua sana keyboad na kama iko disable basi update your bios tatizo linaweza kwisha
   
 3. a

  alikhalef JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 707
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Unauhakika haipo number locked? Jaribu kutumia external keyboard
   
 4. Isaac Chikoma

  Isaac Chikoma JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  turn off numerical lock,itafanya kazi, ni fn+numlock au numlock.
   
 5. Mkolon

  Mkolon Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo keyboar yako ina numberlock sema ina mandishi madogomadogo so kuipata ni lazima ubonyeze na key iliyoandikwa fn langi ya blue jilani na Ctrl key
   
Loading...