Nini cha kufanya endapo kirusi ameficha kazi yako iliyokuwa kwenye flash??

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20

Girlfriend wangu alijikuta mnyonge baada ya kukuta mafile yake yote ya Final year project yaliyokuwa kwenye flash hayapo.Alimshika shati rafiki yake akidhani pengine aliyafuta......

Baada ya kucheck kwa makini,niligundua kuwa yale mafile yapo ila yamefichwa na kirusi.Basi nikamwambie,bibie kuwa mpole,vitu vyako vyote vipo.Nipe dakika moja kila kitu kitakuwa poa.......
UNGANA NAMI TUELEKEZANE NAMNA YA KURUDISHA MAFILES YAKO << BOFYA HAPA>>
 
Mbona kila nikifanya hivyo naambiwa path not found? More assistance please
 
Mbona kila nikifanya hivyo naambiwa path not found? More assistance please

My girlfriend was panicked when she found out her Final Year Project files were missing from her thumb drive(USB FLASH). She thought the files were already gone by a virus attack or were accidentally deleted by her friends.

After I did some analysis, I found out the files are still there but a virus had modified the file properties to ‘Hidden’ and hide all files in the thumb drive.

Although she tried to “Show Hidden Files” but the virus does not allow her to view them. Luckily, she has a very intelligent and clever boyfriend who guides her on how to overcome this problem.
[h=3]The Solution[/h]1. Insert the thumb drive(USB FLASH) to an empty USB slot. Take note the drive letter. For an example, F:.
2. Press Windows + R, and type “cmd“. Ok.

3. Enter this command,
attrib -s -h -r f:/*.* /s /d
4. Press Enter and wait for the command to execute.
5. Open the thumb drive and you should see the files that were hidden by the virus.
[h=3]Conclusion[/h]Hopefully with this guide she can help her friends to solve the same problem. And yes, I also hope this guide will solve your files hidden by virus problem too. Believe me, university is the best place for virus to spread!

Haya KAZI NI KWAKO!:rockon::rockon:
 
Girlfriend wangu alijikuta mnyonge baada ya kukuta mafile yake yote ya Final year project yaliyokuwa kwenye flash hayapo.Alimshika shati rafiki yake akidhani pengine aliyafuta......

Baada ya kucheck kwa makini,niligundua kuwa yale mafile yapo ila yamefichwa na kirusi.Basi nikamwambie,bibie kuwa mpole,vitu vyako vyote vipo.Nipe dakika moja kila kitu kitakuwa poa.......
UNGANA NAMI TUELEKEZANE NAMNA YA KURUDISHA MAFILES YAKO << BOFYA HAPA>>

Inakuwaje kweye blog yako kuna onyo hili
2MGUSO.COM. Articles cannot be reproduced without permission from the author.

Na wakati hata wewe mwenyewe habari nzima bila hata kuondoa nukta umechomoa katika blog kadhaa moja wapo ni hii hapa . Bora hata ungetafsiri habari nzima kwa kiswahili
 
mnavofanya sio fair watu wengi wana blogs zao ila hawatangazi kihivo, kama unataka share na watu kitu andika humu humu,

Forums nyingi zilizoendelea huruhusiwi kupost link na hii inasababishwa na watu kama nyinyi inafika wakati una kiitu cha muhimu ila link huwez kueka.

Jirekebisheni
 
Kaka umenikata maini nami nilikua na lengo lakuweka link ya blog ya asasi yetu ... ila baada ya kusoma post yako nimeamua nijirekebishe, ila litakapopatikana jambo ambalo ni lazima niweke link ya blog yetu tafanya ivyo, vinginevyo takua naweka habari kamili... Asante kwa mchango wako atakayekua hajaskia basi huyo ni mkkaidi
 
Kama hujapata ufumbuzi wa kuziona hizo file ,fanya hivi ila sijui unatumia Windows gani kama Xp fungua hiyo flash nenda kwenye menyu bofya Tools,then folder option,itakuja menyu ya folder option chagua view then utaona advance seting chini yake kuna option nyingi utaona moja inaitwa Show hidden files and folders utaiwekea tick
chini yake utaona nyingine inaitwa Hide extensions for known file type na Hide protected operating system zitakuwa na tick toa hizi tick mbili utaona inakuuliza click ok file folder zako zote utaziona lakini ile rangi ya folder ya njano itakuwa imefifia
 
Kama hujapata ufumbuzi wa kuziona hizo file ,fanya hivi ila sijui unatumia Windows gani kama Xp fungua hiyo flash nenda kwenye menyu bofya Tools,then folder option,itakuja menyu ya folder option chagua view then utaona advance seting chini yake kuna option nyingi utaona moja inaitwa Show hidden files and folders utaiwekea tick
chini yake utaona nyingine inaitwa Hide extensions for known file type na Hide protected operating system zitakuwa na tick toa hizi tick mbili utaona inakuuliza click ok file folder zako zote utaziona lakini ile rangi ya folder ya njano itakuwa imefifia[/QU Love this. It works
 
Back
Top Bottom