Kumbe wewe jamaa ni mjinga kiasi hiki. Mpende binadamu mwenzako utakavyo lakini huwezi kujuwa matendo yake anayofanya kwa siri. Inawezekana kweli mema yake ni 100,000 na mabaya yake ni kumi lakini kila jema lina mizani yake na mabaya ni hivyo hivyo. Inawezekana hayo mabaya ingawa kidogo lakini...
Kumbe unapenda ushindani tu hiyo ya juu na ya chini ina tofauti gani. Tizama garden na hizo arch za milango na madirisha utaoa kuwa ni nyumba hiyo hiyo. Ikulu Zanzibar ilifanyiwa matengenezo na kubadilishwa hayo madirisha na kuyaweka ya mbao bila ya rangi. Hizi Ikulu za Dar na Zanzibar...
ni dhahiri kuwa fedha hazijatolewa kwani hiyo ngonjera ya ujenzi wa hiyo miradi ni zaidi ya miaka 3 sasa. Kwa kuwa mna hasira naye huyo Rais mnatafuta kila upenyo kumkandia. Endeleeni tu. Hata angekuwepo Magu hiyo miradi isinge anza mpaka leo.
Kinachotakiwa kufanyika kwa mujibu wa Sheria ni kuwasimamisha kazi waliotuhumiwa na kupisha uchunguzi na hatimae kuwapeleka mahakamani. Unawafukuza watu halafu wanashinda kesi Serikali italazimika kulipa fidia kubwa zaidi.
Huu mchezo umenikumbusha Pemba tulikwenda kwenye sherehe kukawa na mchezo huo. Wanatengeneza majukwaa ya kiasili na watazamaji wanakaa juu na kutizama. Ng'ombe wanakuwa watatu. Wa kwanza anakuwa wa geresha hasa wanaocheza wanakuwa wa pili na watatu. Wenyewe wanasema ngombe hao huambatanishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.