Recent content by mkerwaji

  1. mkerwaji

    Makapi ya CCM yanapokuwa ngano kwa CHADEMA

    Anyway sijui mtazamo wa mleta hoja..lakini nachoamini ni kuwa makapi hupitia mchakato au chujio na ni mchakato huo ndio huwa unaleta makapi hayo, ubora wa mchakato hufanya hata ubora wa makapi uwe katika hali bora, na mchakato mzuri utafanya makapi yakose sifa kabisa ya kuwa na kitu muhimu...
  2. mkerwaji

    Dawa ya kuongeza size ya uume!

    Umenichekesha sana kwani nalo ni janga?
  3. mkerwaji

    Je hili ni tatizo....

    Habari ndugu zangu wa jf.... mimi nina swali kuhusu afya yangu....nikiwa kitato cha tano na cha sita miaka kumi iliyopita nilikuwa mwembamba sana kutokana na maisha ya shule lakini nilikuwa na kilo 80,...na baadae nikaenda chuo kikuu nikaishi miaka mitatu na kumaliza na kilo 90, na tangu mwaka...
  4. mkerwaji

    *mwanamke wa kitanzania....njoo uwe wangu nani niwe wako*

    mkirua...sio kosa kosa .....but thanks for the the courage to air out your thoughts...watu kama ninyi mkikosekana kwenye dunia kama hii hakutakuwa na ukamilifu wa jamii..nakutakia wakati mzuri.....
  5. mkerwaji

    *mwanamke wa kitanzania....njoo uwe wangu nani niwe wako*

    HELLO TANZANIAN WOMEN MIMI NAHITAJI MWANAMKE WA KITANZANIA MWENYE UMRI WA MIAKA 25-30 ILI AWE MKE WANGU, NINA MIAKA 33,...NAISHI DODOMA. MWANAMKE MREFU ASIE MNENE SANA, MWENYE KAZI AU BIASHARA YAKE BINAFSI, NA ANAEHITAJI MWANAUME WA KUISHI NAE NA KUZAA WATOTO WASIOZIDI WATATU, ANAWEZA KUWA MKE...
  6. mkerwaji

    We binti njoo tuishi pamoja sasa hivi...uje na begi lako tu!

    sikuwa na maana hiyo..nilimaanisha kuwa asije akaanza kujipanga na kuchukua muda mrefu, so nilikuwa namrahisishia mambo...
  7. mkerwaji

    We binti njoo tuishi pamoja sasa hivi...uje na begi lako tu!

    nakusubili.....fanya haraka...........
  8. mkerwaji

    We binti njoo tuishi pamoja sasa hivi...uje na begi lako tu!

    HELLO' Naanza kwa sifa, awe na umri usiozidi miaka 30, awe na umbo la kawaida tu but usiwe mnene, pia usiwe na watoto ulikwisha kuzaa.sio mweupe sana ila awe natural....uwe na kazi yoyote tu ili mradi asubuhi wote tunakuwa busy......mi ni mkristo, kwa hiyo kama uko tayari kuslim kwenda kwenye...
  9. mkerwaji

    Natafuta mume jaman

    mi meshawishika...natamani tufahamiane sasa.....kama vp hebu nenda kwa fb, tafuta mtu mwenye jina hili, boniface rose afu muadd then hapo tunaanzia
  10. mkerwaji

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    hapo kwenye kitambi ndio mnatuondoa wengi...kila la kheri
  11. mkerwaji

    GE2010 Jamani Lyatonga Mrema kapatwa na ugonjwa gani?

    ukistaajabu ya lyatonga kaa tayari kusikia ya slaa!...mi nafikiri sio njaa ila anajaribu kuwachanganya zaidi wananchi wa tanzania ili wajue maana nyingine ya upinzani!.....labda ifikie mahala watanzania wengi wakajua upinzani sio maana yake kupinga kila kitu cha chama tawala, na kujumuika na...
  12. mkerwaji

    University of Dodoma - Photos !

    natamani uzuri wa nje wa majengo hayo ungekuwa sawa na ubora wa majengo ya chuo kikuu cha dar es salaam!.....kuna siku watu watakumbuka comments yangu hii niliyoiandika leo!.........tuyape miake mitano afu tutasema kuhusu ubora wake!
  13. mkerwaji

    Kijana atangaza kumng'oa Malecela Mtera

    kaaazi kweli kweli!...infwakitiii mi nimebahatika kuishi kijiji ambapo muheshimiwa malechela amezaliwa na ambapo ni ngome yake katika jimbo la mtera na pia kijana lusinde alipozaliwa!.. ...kwa maoni mengi ya wananchi wa jimbo hili wanaonekana kuwa tayari kwa mabadiliko na kumpa kipaumbele...
Back
Top Bottom