Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

Hizo sifa ulizotaka zipo. ukikosa bahati ya kukubalika humu ingia mtaani ili umtafute ana kwa ana.
 
Wewe yani hujui kuwa vitambi ndio mtama kwa watoto, haya bwana! nishakuwa disqualified
 
weka picha yako,mi ninazo hzo sifa lakini mpaka nkuone unaweza ukawa kimeo bure
 
Kama huna bikra basi huwezi kuwa na haki au ubavu wa kuchagua mume, serious nakwambia, labda uwe tajiri sana !
 
Hivi kweli wewe dada upo serious kutafuta mwanaume wa kukuoa? mbona masharti yako magumu, na wakati kuna watu wanatafuta wenza kama wewe lakini bado hawajafanikiwa huoni wewe kuweka vigezo vyako hivyo utakosa na huta pata mwenye vigezo vyote unavyohitaji ww? ni bora ungeweka picha ili m2 awe anajua anachat na nani, sio unatoa vigezo wakati pengine wewe ni mbibi huoni kama utakuwa unapoteza muda wa watu wngne? kwa hiyo jaribu kuboresha njia yakumtafuta mwenza sio kirahisi rahisi hivyo, so funguka zaidi
 
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!

mamy me too nipo serios but cna kazi ila mipango ya kupata kaz hipo ma age ni 28. So plz call me
Ma 4n ;0659442420
 
Nina sifa zoote,tena ya mwisho nimeikamilisha juzi juzi tu.
Nikirudi kwako-Lazima uwe na Kazi pia.
Kama umekalisha basi sisi ni PMs...
 
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!
namba 4 imenishinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom