Dawa ya kuongeza size ya uume! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kuongeza size ya uume!

Discussion in 'JF Doctor' started by weed, Sep 29, 2012.

 1. weed

  weed JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 1,686
  Likes Received: 1,530
  Trophy Points: 280
  Wapi ntapata hii dawa kwa hapa dar..na gharama yake inaweza kua sh ngapi?nimeona niulize kuliko kupalamia hawa waganga wa jadi ambao wamejaa kila kona ya dar,na cdhani kama ni wa kweli.
   
 2. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  kuna aina nying ya upungufu wa nyuvu za kiume!........aisimami kabsaa, unawai kumwaga au?
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mwenzio anazungumzia SIZE wewe unazungumzia NGUVU, wapi na wapi!!!!
   
 4. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,056
  Likes Received: 7,084
  Trophy Points: 280
  Mkuu! Huitaji kuyapa maini kazi ya kuchuja sumu inayotokana na madawa.
  Wewe google maneno yafuatayo physiotherapy&penis enlargement utajifunza mengi na mwanaume atanyumbulika mwenyewe bila msaada wa dawa. Kumbuka pamoja na vitu vingine ile kitu imeumbwa kwa misuli. Misuli ambayo ikitunishwa ina tuna kikwelikweli.
   
 5. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Unawasiwasi na size ya KITENDEA KAZI? Jiulize kwanza kwa ulichonacho unakutumia kifanisi? Maana usijekuwa unalalamikia size kumbe taabu ni matumizi ya ULICHONACHO!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Size haina shida maadam ujue namna ya kuitumia.
   
 7. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Agiza mkongoraa wanaouza wamasai toka arusha,kula kila siku baada ya mwezi we mwenyewe utafurahi
   
 8. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hapo chacha,kongosho ana mawazo ya kitandan kitandani lol,au ndo wikendi?
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280

  Kwani una size gani? Ebu weka hapa tujue kama unahitaji izo dawa au la?
   
 10. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  size mbona zinawatesa hivyo?mie yangu ndogo lakini ndiyo nimeridhika nayo na wife wangu..watu wanajua kucheza akili ya watu..hakuna utamu wa ngono unaosababishwa na maumbile makubwa au madogo..utandu ndiyo unaotakiwa hapo ..
   
 11. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  haya majanga sijui yataisha lini!!ridhika na ulichopewa,ili mradi unapata raha thats all
  unataka ya mandingo,itakugharimu ooh
   
 12. rom

  rom Senior Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  zipo za kichina usijali ila inaweza kuburuta chini.....
   
 13. mkerwaji

  mkerwaji Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Umenichekesha sana kwani nalo ni janga?
   
 14. S

  Submissive Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mleta mada mbona hajibu maswali anayoulizwa?
   
 15. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  umejuaje kama size yako ndogo? Unajilinganisha na nani? Inawezekana size ni sawa ila wanawake unaokutana nao "mbunye" zao ndo kubwa. Tambua kumridhisha mwanamke sio ukubwa wa mzakali bali utundu na maujanja yako tu!
   
 16. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,491
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  hii kali
   
 17. c

  chachu Senior Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hilo sio tatizo' kama uliye nae alikubali ukiwa na umbile tulia nae. kama hujaoa
   
 18. D

  Dine Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nakupa pole sana kwa kushindwa kutumia maumbile uliyonayo
   
 19. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  mkuu kwa nini usingeweka uzi kutafuta mwanamke anaehitaji size ya maumbile ulonayo kuliko kutafuta kurefusha?kuna balaa unatafuta wewe
   
 20. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Huyu mwenzetu anahitaji counselling.
   
Loading...