*mwanamke wa kitanzania....njoo uwe wangu nani niwe wako*

mkerwaji

Member
Feb 9, 2010
27
3
HELLO TANZANIAN WOMEN
MIMI
NAHITAJI MWANAMKE WA KITANZANIA MWENYE UMRI WA MIAKA 25-30 ILI AWE MKE WANGU, NINA MIAKA 33,...NAISHI DODOMA. MWANAMKE MREFU ASIE MNENE SANA, MWENYE KAZI AU BIASHARA YAKE BINAFSI, NA ANAEHITAJI MWANAUME WA KUISHI NAE NA KUZAA WATOTO WASIOZIDI WATATU, ANAWEZA KUWA MKE WANGU.

NINA KUHITAJI WEWE UWE KIPANDE KINGINE CHA MAISHA YANGU,...MIMI NI NUSU BILA WEWE, NAPENDA SANA WATOTO NA NIMECHELEWA SANA KUPATA WATOTO, NTAFURAHI SANA KAMA UKO TAYARI KUZAA HARAKA IWEZEKANAVYO NA NTAFURAHI ZAID KAMA UTAWEZA KUJA NA KUANZA KUISHI NA MM WAKATI MICHAKATO YA NDOA TUNAIFANYA PAMOJA....

KAMA UKO SERIOUS NA UNAAMINI KUWA NAWEZA KUWA YOUR OTHER HALF THEN NICHEKI KWA 0754453316, AU EMAIL ADRESS laseko.jr@gmail.com.......au tembelea facebook na utafute mtu mwenye jina la boniface Rose, ndio mimi, alafu unaweza kuangalia picha ili kujiridhisha.
NASUBIRI MSG YAKO KWENYE SIMU NA EMAIL...

*SERIOUS WOMEN ONLY CAN CONTACT ME*
 
Me nina vigezo vyoote ila sina kazi.
Je, nitaweza kuunganishana na kipande chako ili tuwe kitu kizima.
 
mkirua...sio kosa kosa .....but thanks for the the courage to air out your thoughts...watu kama ninyi mkikosekana kwenye dunia kama hii hakutakuwa na ukamilifu wa jamii..nakutakia wakati mzuri.....
 
Tehe aje aishi akisubiri michakato ya ndoa..ok utampata..mwanamke mrefu!!imwenye kazi au biashara...ww nawe n mrf,?una kazi au biashara?kuwa wazi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom