mnaweza kumlaumu bure huyu jamaa ila huyu c mzima kabisa laana ya kuiba mke wa mtu c mchezo nyie subirini tu iko siku nchi hii tutaongozwa na matahira.......
Hivi karibuni ccm wamejivua gamba na wametangaza rasmi vita zidi ya mafisadi ndani ya chama chao kitu ambacho kinachonifanya nione mtaji wa rafiki yetu slaa ccm wameuchukua
suala la ccm kutangaza vita zidi ya mafisadi litawafanya wanachama wao wengi ambao walikuwa wamepoteza imani na chama...
mzee huwezi kubisha juu ya udini wa chadema cz hao wanaolalamika kuwa chadema ni chama cha kanisa wanaushahidi mzee na hata mimi nilishausoma na baadhi ya sehem za waraka huo mapadre wanawasisitiza waumini wao kuwa chama chao ni CHADEMA na mipango yote imekamilika juu ya nini kitafata baada ya...
kiukweli waislam waliosoma ndo ambao sasa wanawafungua macho hao wenzao ambao walikuwa hawajui kilichotokea kabla na baada ya uhuru....ambao walikuwa hawajui mfumo kristu ni kitu gani na muda si mrefu waislam wote watajua kilicho na kinachoendelea
mi naona tuache ushabiki na tufikie wakati tuliangalie hili kwa undani.kuacha kujisafisha juu ya hizi tuhuma ni balaa na itapunguza imani ya watu na hasa wale ambao walikuwa njiani kuelekea ktk peoples power.
Habari za jioni wana jf.jana nilibahatika kuwa ktk mkutano wa Dkt Slaa.
Katika viwanja vya chipukizi hapa tabora na kusikia listi mpya ya mafisadi wamalizao nchi yetu.
Wakati dkt akiendelea na mada zake hadhira nayo ilikuwa na yake..nilikuwa nimekaa na kundi fulani la watu ambao siwajui na...
tunamsubiri kwa hamu rais mtarajiwa vijana huku tupo imara sana kwa ajili ya ukombozi
nazani listi ya leo na NAPE pamoja na MAKAMBA wapo sasa sijui watajivua tena gamba?????
kiukweli swala la udini linazungumzwa sana hata mimi kunawakati linaniumiza na hata sijui hawa ndugu zangu waislamu wamelishwa vipi hii zana inafikia hata wakikujua na wewe ni chadema inakuwa ishu...labda jamaa ana point viongozi waliangalie hili ili na sisi tukae na amani tuikomboe nchi yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.