Hongera mheshimiwa Jakaya Kikwete kwa uamuzi mgumu, sasa wapinzani hawana cha kuongea!

Jk wa pili na CCM yao, wamevua gamba au wameongeza matatizo? We unadhani Rostam, Lowassa na Vijisent watamuacha? Jk ameanzisha vita ndani ya chama chake na hii atarajie pigo kubwa sana ndani ya CCM, kwa kuwa sasa amechokoza nyuki kwenye mzinga, anawasaliti waliomuingiza madarakani kwa takrima na uchakachuaji, kwa mwenye akili timamu lazima CCM ataipuuza tu kwa utendaji wake mbovu. Wamefanya nini cha zaidi? Haya ndio maisha bora?
 
nipende kuuangana na watanzania wenzangu kukupongeza kwa uamuzi mgumu uliouchukua wa kusafisha chama cha mapinduzi,kwa mtu yoyote aliyekomaa kisiasa na mwenye busara hawezi kushindwa kutoa pongezi zake kwani ni viongozi wachache sana katika dunia hii wanaoweza kusafisha chama tena kwa kuondoa viongozi wa juu kabisa,hili liwe fundisho kwa wapinzani hapa nchini kwamba mabadiliko ndani ya chama yanawezekana ikiwa tuu watatumia busara.
sisi vijana wako tuko pamoja katika ujenzi wa nchi hii,Mungu akubariki na akulinde siku zote.

Mkuu acha uongo ww, mbona yeye bado yupo??
 
CDM sasa wanatapa tapa hawana cha kuongea,coz CCM is now moving to another step,baada ya kuunda safu nzuri sasa tunaelekeza nguvu zetu katika kuwafanyia kazi watanzania

Mkuu, hakuna safu yoyote nzuri iliyoundwa. kilichofanyika ni kutafuta THE LEAST MAYAI VIZA kuliko mengine yote na kuyapachika hapo...!
 
nipende kuuangana na watanzania wenzangu kukupongeza kwa uamuzi mgumu uliouchukua wa kusafisha chama cha mapinduzi,kwa mtu yoyote aliyekomaa kisiasa na mwenye busara hawezi kushindwa kutoa pongezi zake kwani ni viongozi wachache sana katika dunia hii wanaoweza kusafisha chama tena kwa kuondoa viongozi wa juu kabisa,hili liwe fundisho kwa wapinzani hapa nchini kwamba mabadiliko ndani ya chama yanawezekana ikiwa tuu watatumia busara.
sisi vijana wako tuko pamoja katika ujenzi wa nchi hii,Mungu akubariki na akulinde siku zote.
NYOKA AKIVUA GAMBA ANAGEUKA MAMBA AU KENGE? CHAMA CHA MAGAMBA{CCM}.WEWE UNAZANI NI NANI ASIYEJUA MAOVU YENU,WADANGANYENI WAZUNGU WABONGO WAMESHASHITUKA. Au WEWE NI MZUNGU NINI?
 
Mmh!! Mie simpi hongera maana alichofanya JK ni sawa na kumwondoa Ben Ally lakini sera zake bado zinaendelea hivyo amani hakuna na watunisia bado wako mitaani. Tusubiri tuone mwisho wake ndio tutampongeza.
 
NYOKA AKIVUA GAMBA ANAGEUKA MAMBA AU KENGE? CHAMA CHA MAGAMBA{CCM}.WEWE UNAZANI NI NANI ASIYEJUA MAOVU YENU,WADANGANYENI WAZUNGU WABONGO WAMESHASHITUKA. Au WEWE NI MZUNGU NINI?

pumba za karne hizo
 
Back
Top Bottom