Hivi Kilango ni nani?

Mhhh Mbona Mnamnanga hivyo muheshimuni jamani, mwana mama huyu, katusaidia sana kuwajua vizuri mafsadi papa wa CCM , wakati akipambana nao mbona haya hamkuyasema, Kumuita Mnafiki mnakosea sana Acheni kumwita "MBAKAJI" wa wazee, yaani Kumbaka mzee Malecela kwa kuwa alivutiwa naye na Kumita Dume la Mbegu ingawaje mpaka sasa hana mtoto naye, sijui mbegu hiz za John zinahitaji kwenda kwa Babu zikarutubishwe!!!!!lol

wewe sasa ivi babu yako na bibi yako wakizaa utafurahi?
 
Hiki kimama ni opportunist. Kinabwabwaja bungeni kwa sauti kali as if kweli kina uchungu na watanzania kumbe kinalenga kujinufaisha binafsi. Ndiyo maana kilishindwa kuishi na mume aliyekizalisha. Mzee wa watu Malecela ni mpole ndiyo maana wanaendelea kuishi. Inasemekana hela ndiyo mungu wake. Ndiyo maana Patel alifanikiwa kufanya mambo yake kupitia mikono ya hicho kimama. Sikipendiiiii yaaaani basi tuuu.

kiliachwa kwa umalaya na mzee mmoja anaitwa Charles Nyange km sijakosea.
 
Inaonekana unamjua sana huyu mama mpambanaji kama anvyojiita, kwanini usitoe wasifu wake mzuri ili wote unawaona wazushi wakae kimya?

anatetea asichokijua, kazi kukosoa toa, mimi ni mpiga kura wake japo sikumchagua yeye, kura yangu nilimpa mama kaboyoka CDM.
 
Inaonekana unamjua sana huyu mama mpambanaji kama anvyojiita, kwanini usitoe wasifu wake mzuri ili wote unawaona wazushi wakae kimya?
nenda kasome post namba 28
mkuu amini hivyo, alikuwa kaolewa na mzee NYANGE wakaachana, asaiv ni maadui wakubwa japo watoto wanawaunganisha.
watu wakiachana inamaanisha kuwa mwanamke ndio anakuwaga malaya? kwa nini isiwe virse versa? acha ushabiki hapa
anatetea asichokijua, kazi kukosoa toa, mimi ni mpiga kura wake japo sikumchagua yeye, kura yangu nilimpa mama kaboyoka CDM.
heicho udunganya iti ureho mwenye aha?Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! changia JF

annakilangomalecela_500x446.jpg

The United States Chargé d'Affaires Larry André (right) presents a certificate to Member of Parliament for Same East constituency in Kilimanjaro Region, the Honorable Anne Kilango Malecela, (left) who was selected as the 2009 Tanzanian Woman of Courage.

U.S. Embassy Recognizes Mama Kilango Malecela as 2009 Tanzanian Woman of Courage

March 26, 2009
The United States Chargé d'Affaires Larry André today presented a certificate to Member of Parliament for Same East constituency in Kilimanjaro Region, the Honorable Anne Kilango Malecela, who was selected as the 2009 Tanzanian Woman of Courage by the U.S. Embassy in Dar es Salaam.

According to a statement from the U.S. Embassy, the annual award was established to recognize women who have shown exceptional courage and leadership.

The U.S. Mission in Tanzania also nominated Ms. Malecela as this year's candidate for the 2009 International Women of Courage Award for distinguishing herself by challenging the leadership in her own party to confront the question of corruption. In doing so, she broke from the political custom despite facing personal threats to her own safety. She persevered in her determination to fight corruption and asked tough questions that contributed to advance efforts of transparency and good governance within the ruling party.

Presenting the certificate to Ms. Malecela at a luncheon in her honor and in recognition of Women's History Month, Mr. Andre said, "Achieving the United States' mission of advancing democracy, prosperity and security worldwide is not possible without the empowerment of women. If women cannot participate in the political process, there can be no real democracy. If women are deprived of economic opportunity, development is crippled. If women are not educated, they cannot pass knowledge to their children and there is no true security for the next generation. Through this annual award the United States honors the courage of extraordinary women who have played transformative roles in their societies."

The 2009 International Woman of Courage Award for Africa went to Ms. Hadizatou Mani of Niger, who was sold into slavery at the age of 12 for the equivalent of $500. Ms. Mani, one of the many heroes fighting to end the vestiges of modern day slavery, persevered in gaining her independence and is now helping pave the way for others trapped in similar circumstances to seek justice, civil liberties, and freedom.

On the occasion of International Women's Day 2009, U.S. President Barack Obama said, "From the global challenge of climate change, to a world that is not yet free from poverty and conflict, our challenges are many. Women are vital to the solutions to these problems, and we will not sow the seeds for a brighter future or reap the benefits of the change we need without the full and active participation of women around the world. Worldwide, women play leadership roles in the health and education of our families, in our fields, our factories, our classrooms, our laboratories, and our boardrooms. With or without awards or acknowledgement, women have taught us about hope, about courage, and about opportunity. The United States is filled with great hope that our daughters, and the daughters of all nations, will continue to serve as leaders in the pursuit of our collective well-being and have the opportunity to achieve their full potential. Today, Michelle and I remember, celebrate, and honor the sacrifices, talents and leadership of women around the world.

The first Tanzanian Woman of Courage Award was given in 2008 to Helen Kijo-Bisimba, from the Legal and Human Rights Centre for her work in supporting and strengthening Women's Rights.

Kiraka umepata jibu?
any more qns?
 
.. kuingia kwenye SIASA kwa kutumia migongo ya wanaume...Aliwahi kuwa na mapenzi ya kingono na Kitwana Kondo lengo likiwa atumie
Hii naona haijakanushwa, kumbe Anna Kilango alimpa raha Kitwana Kondo? Ina maana lile beef la Anna na Sophia ni love triangle au? Maana Sophia nae keshabanwa mbavu na Kitwana Kondo wakati huo Kitwana Kondo ana mke. Duu, ukiweka na Malecela hapo ni inakuwa love pentagon, triangle haitoshi.
 
sipendi watu waongo na wazushi hata nikikuambia uthibitishe haya maneno yako hutoweza, unajaribu tu kuunganisha dots, kitu ambacho hakina mantiki na tija yoyote, mtu asipokuwa kwenye chama chako kwa nini unamponda?
Tumia utu na jaribu kushirikisha ubongo wako na mikono yako wakati wa ku type, vipe hivi vitu ushirikiano.na watu watathamini mchango wako kijana.
 
sipendi watu waongo na wazushi hata nikikuambia uthibitishe haya maneno yako hutoweza, unajaribu tu kuunganisha dot, kitu ambacho hakina mantiki na tija yoyote, mtu asipokuwa kwenye chama chako kwa nini unamponda?
Tumia utu na jaribu kushirikisha ubongo wako na mikono yako wakati wa ku type, vipe hivi vitu ushirikiano.na watu watathamini mchango wako kijana.

mkuu lazima ww umfuasi wake mzuri, nimecheki jinsi ulivyomtetea kweli napata shaka, na huyu mama kwenye jimbo lake anapenda zaidi na watu wa milimani kama MAMBA MIAMBA, IVUGA, na kwingineko, lakini hapo nyumbani kwao KIHURIO na maeneo mengine ya tambarare hawamtaki kabisa huyu mama.
 
kwa taarifa yako mimi sitokei hayo maeneo na sasa ivi updates ni kuwa huyu mama sasa hivi hakubaliki baada ya kuwadanganya watu kuhusu kiwanda cha Tangawizi,kwa nini chadema hawajajijenga vizuri kwenye hili jimbo maskini sana kuliko yote Tanzania?usafiri chali, shule zote chali .....ni kweli huyu mama hajafanya chochote cha maana lakini wamuweke nana sasa? mimi ninachopinga hapa ni huku kumshambulia matusi ya nguoni
 
nafikiri sasa nimekuelewa, niliingia mkenge kumshambulia chumbani: ni jimbo lenye wasomi wengi na hapo kwenye red mkuu sio kweli, mama Kaboyoka alishindwa mbinu tu na huyu mama lakini mama Kaboyoka wa CDM anapendwa na wengi, yule bwana wa APPT_ Maendeleo ubinafsi ndo utamuua kisiasa, amejaribu mara nyingi kashindwa hadi akaamua kugombea urais japo kajitahd hadi kuwa nafasi ya 4.
 
hapo kwenye red hapo now ya talking like a great thinker
dk. Peter Kuga Mziray ni kweli yule jamaa ubinafsi ndio utammaliza /ulimmaliza na alishika nafasi ya nne kitaifa kwa sababu kwenye karatasi ya kupigia kura jina lake ndio lilikuwa la kwanza kama sikosei.na kama sio la mwisho unaweza kuniambia kuna kitu gani ccha kujivunia pale? kuna barabara yoyote nzuri katika lile jimbo? hawana mmbunge hawa na nina uhakika wanaendelea kuichagua ccm kwa sababu ya lack of information na hawajui what is going on around Tanzania na hawajajua kuwa nia haki yao kupata maendeleo

quote_icon.png
Originally Posted by Mwafrika wa Kike
Mama Malecela,

I have seen and read about the anger and hatred that mafisadi in Tanzania are constantly making to getting into what you do in the parliament. I have just got a complete picture of how Serukamba and his sore losers tried to demonize you and your work in the last ccm NEC. It has been leaked to me that mafisadi in the ruling party are planning a hit job on you. It has (by the name of who... I dunno) just been handed to me - a confidential but crazy plan to wipe out your political career.

Mama Malecela, this is just the time for you to know that I (and everybody I know) am with you on everything you do. Your work is outstanding and our country is very proud to have you mama. We all love you and are constantly praying for you.

This is for you Mama Anne Kilango Malecela.
May GOD and all the gods bless your work and protect your soul.

Amen!
 
Kilango ni mwanamke jasiri nina imani hakuna mbunge mwanamke ambaye anafanya anayoyafanya kilango same mashariki. sio kama masista duu kama vicky kamata,ester bulaya au wamaza kama ritha mlaki nk. mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Jimboni kwake amefanya mazuri tena mazuri kuliko hata Mohd Dewji na fedha zake,rostam na fedha zake,Shukuru kawambwa na kiherehere chake, yaani ni HOT SPEAR OF THE MAFISADI. Pia ni mshirikishaji wa wananchi katika kujitafutia maendeleo. Nenda same mashariki ipo juu kuliko hata same magharibi yenye makao makuu ya wilaya.
 
Wewe unaongea pumba , pale same kila mtu anapajua , kuna kitu gani cha kujivunia pale? acha kuleta ushabiki hapa ongea ukweli wako kijana, kuanzia matokea ya secondari zao pale hasa za milimanni matokea yao ni chali.. barabara ndio kabisa hakuna kitu .. mradi wa kulima mpunga ndio umekufa wananchi wengi wao wanakimbia wanaenda mjini .hizi porojo zako hazina mantiki
 
quote_icon.png
Originally Posted by Mwafrika wa Kike
Mama Malecela,

I have seen and read about the anger and hatred that mafisadi in Tanzania are constantly making to getting into what you do in the parliament. I have just got a complete picture of how Serukamba and his sore losers tried to demonize you and your work in the last ccm NEC. It has been leaked to me that mafisadi in the ruling party are planning a hit job on you. It has (by the name of who... I dunno) just been handed to me - a confidential but crazy plan to wipe out your political career.

Mama Malecela, this is just the time for you to know that I (and everybody I know) am with you on everything you do. Your work is outstanding and our country is very proud to have you mama. We all love you and are constantly praying for you.

This is for you Mama Anne Kilango Malecela.
May GOD and all the gods bless your work and protect your soul.

Amen!

haya yashapita
 
Back
Top Bottom