Balaa lingine lamwangukia Dr Slaa

MZEE I DOUBT YOUR INDICES!! but tushaona wengi wa dizaini yako,wee utapita na wengine watakuja tuu that is politics,ila jua CDM wankutumia vibaya,kwani CDM huko peke yako?? kwanini wakupe mzigo wa kutaja majina kila siku kitu ambacho kingeweza hata kutajwa na katibu mwenezi wenu au unahisi ukitaja majina ndio unajiongezea umaharufu?? kimsingi watanzania wanataka mengi zaidi ya kuwatajia majina ambayo kimsingi huna nguvu yoyote ya kuwashughulikia! change strategy mzee

You posted the thread with a motive behind asking our contribution. We contribute, Dr. Slaa contributes, you pretend HE IS BEING USED by CDM he will pass as if you and others will remain. Most of know about now, we would like to make changes now, we would like an disgraced exit of MAFIDI now. Dr Slaa is living now he has to do what he can do now as you are confusing us now.

The worst thing you always pretend to write on behalf of Tanzanians, I am a Tanzanian and appreciate Dr. Slaa's effort to expose MAFIDA, in the air he has unwavered support except for you syphathy. Mafisadi watajwe sasa, waondoke sasa pamoja na ccm yao iondoke sasa pamoja na wapambe wake wa ufisadi.

WHAT DR. SLAA AND CDM DOES NOW DETERMINES OUR TOMORROW.
 
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

“Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke,” alisema Nnauye.

Alisema, “Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.”

Naona mkuu wewe si mfuatiliaji wa habar. Chadema wameshajibu kupitia ofisa wa oganisation na kumwambia Nape ataje hayo majina ya mafisadi wanaomtumia dr Slaa. Tunasubiri jibu toka kwa Nape. CCM bado wanatapatapa na anguko lao ni dhahiri kwani pamoja na kujigamba, bado wanawaogopa sana mafisadi.
 
mi naona tuache ushabiki na tufikie wakati tuliangalie hili kwa undani.kuacha kujisafisha juu ya hizi tuhuma ni balaa na itapunguza imani ya watu na hasa wale ambao walikuwa njiani kuelekea ktk peoples power.
 
Angalia Nape kusemasema bila ya vitendo si kuzuri na vyema chama kikafanya kilichoazimiwa pale Dom kwenda kwenye majukwaa na kuanza kuwasema watu ambao tayari mlikwisha kuwahukumu si pouwa.
 
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

“Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke,” alisema Nnauye.

Alisema, “Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.”
Pumba tupuuuuuuu!!!!!!!
Unampa Mtuhumiwa miezi 3 halafu bado unajigamba mbele ya watu wenye akili timamu?!!!!, mmechoka kisiasa na kifikra!!!!, Slaa hawezi kujibu pumba zenu, ila nyie ndiyo mko busy kutekeleza anayowasuta,,,mtavua magamba mpaka mtachubuka
 
Nape mziki wa Dr wa ukweli hauwezi, yeye atabakia na magamba aliyoambiwa abebe tu. Kama Nape ana ubavu, ataje hadharani mafisadi wote wanaotakiwa kutoka ndani ya chama cha magamba, ndani ya hizo siku zao 90! Ubavu huo, si yeye wala ccm hawana. Slaa yeye aliwataja wote hadhani tangu mwaka 2007 na juzi kaongeza wengine, mbona huyo nape ameshindwa hata kutaja japo majina 3 tu! Ushauri wa bure, Nape rudi darasani kasome, la sivyo utaishia kuwa kituko kama tembe hizo!
 
Back
Top Bottom