Dr.Slaa,
Mkuu wangu hna saabu ya kujibishana na watu ambao hawataki kusikia ukweli. Swala la container la makaratasi ya kura ninathibitishwa na kuwepo kwa kura haramu ndani ya nchi. Ingawa CCM na serikali walikataa kuwepo kwa container hilo bado polisi waliweza kukamata baadhi ya makaratasi feki ndani ya nchi hivyo kuthibitisha kuwepo kwa hizo karatasi..
Hata tunapoona noti feki nchini zinatumika ina maana zimechapishwa kinyume cha sheria, sasa ni maajabu sana tunapokataa kuingizwa kwa noti hizo nchini wakati zipo nchini ili mradi kukana tukio la kuingizwa nchini wakati noti hizo feki zipo nchini na zinatumika.. Ujinga gani huu jamani!
Binafsi naamini kabisa kukana kwa serikali kuingia kwa container hilo kunaifanya serikali yenyewe kuwa mshirika mkubwa wa kuingiza container hilo, otherwise sioni sababu kwa nini walikana pasipo kufanya uchunguzi?