Napenda majipu yatumbuliwe lakini Mimi naona huyu mama kaonewa.najaribu kufikiria ndio mimi umenikuta Nina ajira yangu inanilipa mil 35 halafu ukaniahidi utanilipa mil 18. Kukubali tu kushuka ni uzalendo wa hali ya juu na unyenyekevu. Lakini nilipotaka kuanza kazi ukasema unanilipa mil 5 ...
Ungejua ni lini upinzani umeanza na harakati za kupambana na mafidadi na wizi wa nchi hii usingesema hivo. Hivi jiulize tu hii nchi bila mltipartism tungewezaje kujua wezi wa nchi hii . uliwahi kuona wapi nyani anampelekea ngedere kesi
Na serikali inayokubali kukosolewa ina sifa ya kufanya vizuri katika kuwatumikia wananchi. MTU asiyekubali kukosolewa hawezi kujifunza kipya anadumaa hatimae anachokwa. N miaka mingi mno wapinzani wamekuwa wakiikosoa serikali lakini waliwabeza na kuwatusi .lakini sahv jpm anajitahidi kufanyia...
Huwa sipendi sana tabia ya mtu kutafuta sababu ya kuhalalisha jambo kwasababu eti na mtu mwingine anafanya hivo .Nape akisema eti nchi nyingi za jumuia ya madola zina bunge studio , kwahiyo kama zina huo utaratibu kwanini haukuwepo zamani .na je hizo nchi zikianza kurusha live mtaanza na nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.