Security Notice: Fanyeni haya Kujilinda!

Security Notice: Fanyeni haya Kujilinda!

Hakuna chochote ni upumbavu tu, si kila mtu unayempangia mission unaweza kukamilisha mission yako salama, mara nyengine utakumbana na vikwazo vikubwa tofauti na ulivyotarajia.

Ukiona Mafia / Jasusi amekumbana na Vikwazo hata missions zake jua ya kwamba huyo hajafuzu na kuna uwezekano hata Mkufunzi wake akatiliwa shaka uwezo wake. Narudia tena kukuambia kuwa Mafia / Jasusi yoyote aliyefunzwa, kapikwa na kapikika ipasavyo huwa hafeli missions zake na ndiyo maana hata moja ya Sifa zao kubwa ni kuwa na uwezo mkubwa mno wa Kufikiri kwani ukiwa na maarifa mengi utaweza kila mara kuwa ahead of potential target wako hivyo kufanikisha kile unachokikusudia Kwake.

Siku zote Wapumbavu mliojazana kama nyie lazima tu mtakurupuka kubisha. Yaani kabisa Mtu wa MOSSAD au CIA au MI5 na MI6 apange mission yake Kwako halafu akukose?
 
Jamani mueleweni mtoa hoja amesema inapunguza risk. Kama kungekuwa na cctv kwenye gari la Lissu ingesaidia kiwajua kwa urahisi hao ma mafia waliomdhuru
Hahahaha anafanya makusudi tu
 
Jichanganye nao basi halafu uone ' Shughuli ' yao.
Unajuaje kama sijawahi kuwakabili?
Hao unaowasifia ni binadamu tu nikuulize swali majasusi wa kimarekani CIA nk wakishirikiana na washirika wao walishindwa kumuua Fidel Castro zaidi ya mara 500, kama majasusi hawashindwi kuua hapo ilikuaje walisanda?
Tena siyo kusanda tu na walipata kibano juu pale ilipostahili kumbuka the bay of pigs, Cuban missile crisis.
 
Kwa ' Mafia ' na ' Majasusi ' waliobobea na kutukuka hakuna ambalo litaweza kuwazuia Wao kutekeleza walitakalo kulingana na hayo maelekezo yote ya ' Kiusalama / Kiulinzi ' uliyoyatoa hapo. Usijidanganye wakikutaka wanakupata muda wowote, mahala popote na siku yoyote. Kila la kheri.
Read thoroughly, you are a human being not chicken
 
Kwa ' Mafia ' na ' Majasusi ' waliobobea na kutukuka hakuna ambalo litaweza kuwazuia Wao kutekeleza walitakalo kulingana na hayo maelekezo yote ya ' Kiusalama / Kiulinzi ' uliyoyatoa hapo. Usijidanganye wakikutaka wanakupata muda wowote, mahala popote na siku yoyote. Kila la kheri.
Uyasemayo ni kweli, lakini kuchukua tahadhari siyo vibaya...umeongelea majususi wabobezi,lakini wapo waharifu wa kawaida ambao kwa kuchukua hatua tajwa utakuwa umejikinga nao!
 
Uyasemayo ni kweli, lakini kuchukua tahadhari siyo vibaya...umeongelea majususi wabobezi,lakini wapo waharifu wa kawaida ambao kwa kuchukua hatua tajwa utakuwa umejikinga nao!
Ananaeleza kuwa mafi, majasusi hawashindwi siyo kweli, ni Mungu pekee ambaye hashindwi kitu ila binadamu ni kiumbe dhaifu mwenye mapungufu mengi sana ingawa ana akili lakini zinazidiana sana.
Ndiyo maana anaweza akasomea kitu mfano kuua lakini katika kutekeleza adhma yake hiyo akakutana na mwingine anajua mbinu za kujilinda zaidi na akabaki salama.
 
Ukiona Mafia / Jasusi amekumbana na Vikwazo hata missions zake jua ya kwamba huyo hajafuzu na kuna uwezekano hata Mkufunzi wake akatiliwa shaka uwezo wake. Narudia tena kukuambia kuwa Mafia / Jasusi yoyote aliyefunzwa, kapikwa na kapikika ipasavyo huwa hafeli missions zake na ndiyo maana hata moja ya Sifa zao kubwa ni kuwa na uwezo mkubwa mno wa Kufikiri kwani ukiwa na maarifa mengi utaweza kila mara kuwa ahead of potential target wako hivyo kufanikisha kile unachokikusudia Kwake.

Siku zote Wapumbavu mliojazana kama nyie lazima tu mtakurupuka kubisha. Yaani kabisa Mtu wa MOSSAD au CIA au MI5 na MI6 apange mission yake Kwako halafu akukose?
Kuna sehemu inazalisha majasusi kama Marekani?... Mbona jitihada za kumuua Fidel Castro ziligonga mwamba.... Majaribio mengi yalifanyika ya kutaka kumuua... Lakini yote yalishindikana.

Kijana mdogo wa kirusi Vassil aliweza kuwa shujaa kuikomboa urusi, hakuwahi kupata mafunzo yoyote ya kijeshi, lakini alikuwa na umahiri wa hali ya juu wa kulenga shabaha (Sniper) na kuweza kuwadhibiti wajerumani, ni kisa cha kweli 'enermy at the gate'.

Si kila shambulio unalolipanga ukaliona jepesi machoni mwako na kwenye fikra zako litafanikiwa kirahisi, na hata hao majasusi zipo mission zao nyingi tu zinafeli.
 
Kwa ' Mafia ' na ' Majasusi ' waliobobea na kutukuka hakuna ambalo litaweza kuwazuia Wao kutekeleza walitakalo kulingana na hayo maelekezo yote ya ' Kiusalama / Kiulinzi ' uliyoyatoa hapo. Usijidanganye wakikutaka wanakupata muda wowote, mahala popote na siku yoyote. Kila la kheri.
Sasaumeandika nini wewee?
 
Ukiona Mafia / Jasusi amekumbana na Vikwazo hata missions zake jua ya kwamba huyo hajafuzu na kuna uwezekano hata Mkufunzi wake akatiliwa shaka uwezo wake. Narudia tena kukuambia kuwa Mafia / Jasusi yoyote aliyefunzwa, kapikwa na kapikika ipasavyo huwa hafeli missions zake na ndiyo maana hata moja ya Sifa zao kubwa ni kuwa na uwezo mkubwa mno wa Kufikiri kwani ukiwa na maarifa mengi utaweza kila mara kuwa ahead of potential target wako hivyo kufanikisha kile unachokikusudia Kwake.

Siku zote Wapumbavu mliojazana kama nyie lazima tu mtakurupuka kubisha. Yaani kabisa Mtu wa MOSSAD au CIA au MI5 na MI6 apange mission yake Kwako halafu akukose?
Mosad awepo hapa?
Wewe kweli bwege. Rais wa Marekani kaja hapa Dar ikulu mmemwachia yeye na walinzi wake, hao wa hapa walikuwa wapi?

Alipoenda Nairobi aliachiwa ikulu ilindwe na walinzi wake?

Hao wa hapa wanachojua ni utekaji na mauaji holela kwa watz tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nakubaliana na wewe yaani from no where mtu huna udugu wala chochote nae anakutamani tu kukufuatilia unakoenda ni wapi ?unaishi maeneo gani? Kazi unayofanya ajue hawa ndiyo maadui namba moja kukuwekea hata maganda ya risasi kwenye gari au kufanya chochote yuko tayari kwa nini mtu usijilinde?mm sinaga rafiki ,rafiki yangu mkubwa ni Mwenyezi mungu na familia yangu.
Wakuu, Nakumbuka niliwahi kuandika kitu kama hiki iwakati wa Uchaguzi uliopita lakini kwa bahati mbaya sana sana Ndugu yangu, Rafiki yangu Mohamedi Mtoi alipata ajali siku chache baadae, ajali ambayo haikuacha jereha mwili mwake ilikua mwezi wa tisa mwaka 2015. Pumzika kwa amani Kaka Chabebi.

Leo hii napenda tuangazie mambo mawili matatu ambayo huenda yakatusaidia kupunguza au at least kujiweka salama kidooogo kutokana na hali kuwa mbaya zaidi, si vibaya kuyaangalia kwa ufupi tu;
  • Hakikisha unapeleka gereji gari yako mahali ambapo ni salama, waweza kumtuma kijana wako wako akafanya usimamizi au mtu wa karibu sana ili kuhakikisha matengezo au service iliyokusudiwa unafanyika kwa usahihi, hii itapunguza uwezekano wa mambo mawili ya haraka haraka, MOJA, kulegezewa baadhi ya spare na hivyo kuongeza uwekezano wa kupata ajali ukiwa safarini, PILI, kupunguza uwezekano wa kufungiwa "Tracking device" na ukawa tracked kwenye mizunguko yako yote.
  • Hakikisha hupeleki gari service kisha ukasafiri muda huo huo yaani unatoka gereji unaingia barabarani na kuanza safari ndefu, at least jipe muda wa kuweza kui-monitor gari yako na ikiwezeakana ipeleke kwa mtu mwingine aikague pia.
  • Funga Camera, mbele na nyumba na hakikisha zinafanya kazi kwa kila wakati, niliwahi kuangalia kipindi kinaitwa "The Witness that never Lies" huyu shahidi ambaye sio muongo ni CCTV. inasaidia sana jitahidi sana kufunga iwe ni camera kwenye gari au mahali pako pa kazi au nyumbani.
  • Jitahidi kuwa na vifaa vidogo vidogo vya usalama kama kalamu zenye camera, saa, miwani n.k hivi vinasaidia sana sana kurekodi baadhi ya matukio, ni nani anajua lini kitatokea wapi na kwa jinsi gani??
  • Jitahidi sana sana kuitumia simu yako vizuri, kwa mfano baadhi ya Simu "Smartphone" zina ile huduma ya dharura ambayo ukiwa kwenye dharura unaweza kui-command let us say, una press One kwa sekunde kadhaa kisha inarekodi vidio na kuzituma kwa namba ambazo utakua umezihifadhi na kuomba msaada, hii inatakiwa pia uwe umeiwezesha GPS kwahio mtumiaji au rafiki yako atapata picha au vidio na GPS location ulipo kwa muda huo. Ina uwezo wa kutuma kwa kipindi kirefu tu. Hivyo simu inaweza kuwa kombozi pia
  • Je, unapenda kutembelea wapi? hakikisha eneo unalotembelea ni salam kwako, hakikisha unaweza kuangalia mazingira ambayo risk ni ndogo. Usiende kila mahali, usikubali kuitikia kila wito.
  • Je marafiki zako ni akina nani? mnahusianaje? Mna muda gani katika urafiki wenu? Ni kipi hasa kinawaunganisha? Hapa angalia sana sana unaweza kutengenezewa rafiki kwa miezi sita. Kwa mfano, mmekutana JF kwenye PM kisha faster faster urafiki usio na kichwa wala miguu unashamiri, mnapanga kuonana, kisha.....nani anayejua???
  • Mwisho, acha kumakinikia (Concentrate) kwenye simu au laptop ukiwa safarini; jitahidi sana kuangalia watu unaopishana nao njiani, nani anakufuata njiani, anakupitaje, speed yake ikoje? Kisha hakikisha kila mara uko suspicious
Get well Tundu Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nakubaliana na wewe yaani from no where mtu huna udugu wala chochote nae anakutamani tu kukufuatilia unakoenda ni wapi ?unaishi maeneo gani? Kazi unayofanya ajue hawa ndiyo maadui namba moja kukuwekea hata maganda ya risasi kwenye gari au kufanya chochote yuko tayari kwa nini mtu usijilinde?mm sinaga rafiki ,rafiki yangu mkubwa ni Mwenyezi mungu na familia yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen
 
Kwa ' Mafia ' na ' Majasusi ' waliobobea na kutukuka hakuna ambalo litaweza kuwazuia Wao kutekeleza walitakalo kulingana na hayo maelekezo yote ya ' Kiusalama / Kiulinzi ' uliyoyatoa hapo. Usijidanganye wakikutaka wanakupata muda wowote, mahala popote na siku yoyote. Kila la kheri.
Wakikukuta na wewe ni mafia na mbobezi jasusi basi huwa shida tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom