Tizama mazoezi ya wanajeshi wa North korea

Tizama mazoezi ya wanajeshi wa North korea

Siku ya uhuru wa bongo huwa wanaonyesha kama haya.
 
Vita ya siku hzi ni technology zaid na si man to man..hope wako viizuri pia kitechnology
 
Hao Undertaker au Kane anashika wote kwa pamoja na kuwa chokeslam. Au anashika watano huku na watano huku kisha anawapiga double chokeslam.

Hao marekani hana shida ya kupeleka jeshi, anapeleka watu 3 tu, Undertaker, Kane na Big show. Wanawakusanya pamoja kama furushi la mahindi na kuwapiga triple chokeslam kwisha habari yao.
 
Dikteta hapo linajihisi kama mungu hapo lilipo! Anaona nchi na vilivyomo vyote including wananchi ni kama mali yake vile. By the way, sijaona zoezi lolote la maana hapo. Hata enzi zetu skauti tulifanya "wonders" kuliko kinachofanyika hapo.
 
Hao Undertaker au Kane anashika wote kwa pamoja na kuwa chokeslam. Au anashika watano huku na watano huku kisha anawapiga double chokeslam.

Hao marekani hana shida ya kupeleka jeshi, anapeleka watu 3 tu, Undertaker, Kane na Big show. Wanawakusanya pamoja kama furushi la mahindi na kuwapiga triple chokeslam kwisha habari yao.
Hakika albadili imeanza kufanya kazi kwako.
 
Hakika albadili imeanza kufanya kazi kwako.
Sasa hao andunje watampiga nani, mtu analingana na mbooo urefu ampige nani?

Hao mimi tu sina mazoezi hata 10 hawanipigi. Unashika kamoja kamoja unapiga kwenzi hadi unatoboa kichwa.
 
ed875a9cf714d7d070989039ad707cff.jpg
[emoji4]
 
Back
Top Bottom