..Kwa uzoefu mdogo nilionao mpaka sasa na kwa capital hiyo, nadhan ununue mchele kwenye machine kwa sababu kwa mchele angalau unaweza kuona ubora wake (rangi, unyoofu-kwa maana utaona haujakatikakatika). Lakini kununua mpunga ambao utakuletea mchele bora inahitaji uzoefu na utaalam sana. Pia...
Very true, mie nimeifanya kwa msimu mmoja na changamoto ndo kama alivyosema Swahiba. Yabidi mtu ujipange haswa na uwe na mtaji wa kutosha ili uweze ona faida yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.