Nauza perfume original kwa bei sawa na bure

Nauza perfume original kwa bei sawa na bure

Habari yako Ozzy Isayah.. Hongera kwa ujasiriamali. Swali moja tu kwako, hizo picha ndo za perfume unazouza?
 
Kwa wale wapenda perfume original zinazonukiaa 24/7 na hawajui pa kuzipaata ninazo na nauza kwa bei ya punguzo kwa msimu huuwa sikukuu......
Utaletewa popote ulipo for only 40k

Perfume zilizopo ni

1.black opium
2.lavie est belle
3.Olympea
4.bombshell
5.poison girl Christina Dior
6.Gucci guilty
7.212sexy
8.Prada candy
9.miss Cherie
10.fantasy
11.ch prive woman
12.escada fiesta carioca
13.down town
14.good girl na n.k

For more info Text me through my PM Utaletewaa mpkaa mlangoni......View attachment 960497View attachment 960499View attachment 960500View attachment 960501

Mkuu ukinipatia Eternal Royal nitakuwa mteja wa kudumu
 
Nishazoea kutumia emotion pafyum hizo zingime kununu ni mpaka niisikie kwa mtu nikiipenda ndo naitafuta lakini kununua bila kuijua kwangu asee ni ngumu sana
 
Mkuu ebu weka picha sample ya wewe ulizo nazo sio hizo screenshot tuone bidhaa
 
Kwa wale wapenda perfume original zinazonukiaa 24/7 na hawajui pa kuzipaata ninazo na nauza kwa bei ya punguzo kwa msimu huuwa sikukuu......
Utaletewa popote ulipo for only 40k

Perfume zilizopo ni

1.black opium
2.lavie est belle
3.Olympea
4.bombshell
5.poison girl Christina Dior
6.Gucci guilty
7.212sexy
8.Prada candy
9.miss Cherie
10.fantasy
11.ch prive woman
12.escada fiesta carioca
13.down town
14.good girl na n.k

For more info Text me through my PM Utaletewaa mpkaa mlangoni......View attachment 960497View attachment 960499View attachment 960500View attachment 960501

Bei sawa na bule ila hakuna bei iliyowekwa, hii inamaana kua hiyo bei sawa na bule ni UONGO
 
Back
Top Bottom