Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Mimi siku moja nilishangaa nikasema toka lini Usalama wa Taifa wanajitangaza? Nikaja gundua kuwa kumbe ni Uhamiaji Tanzania loh
Mwenyewe siku ya kwanza nakutana nalo nikajiuliza hii plate namba ya wapi nikajua basi ni Usalama Tanzania. Siku nimeenda ofisi ta uhamiaji ndo nikaja kujua kuwa ni uhamiaji.
 
Back
Top Bottom