Msaada tutani: Mwenye mkataba wa biashara ya Bodaboda

Nashukuru biashara inakwenda vizuri sana kwasababu kijana niliyempa anajitambua na anajua kazi yake anafanya service kila week kwa hesabu yake na anafuata sheria zote za usalama barabarani na chombo kina vibali na document zote kwa mujibu wa sheria.Ni jambo la kumshukuru Mungu sana.
it is desemba today leta tena mrejesho
 
Nashukuru biashara inakwenda vizuri sana kwasababu kijana niliyempa anajitambua na anajua kazi yake anafanya service kila week kwa hesabu yake na anafuata sheria zote za usalama barabarani na chombo kina vibali na document zote kwa mujibu wa sheria.Ni jambo la kumshukuru Mungu sana.
kiongozi nipe mwongozo ni documents zipi zinahitajika na gharama zake....nitashukuru kiongozi...napenda kuanzia biashara hii!!
 
mkuu nimekutumia sampe PM. angalia kama inaweza kukufaa

Habar best. Namimi nina changamoto ya kuandika mkataba wa kumkabidhi boda boda plz naomba sample niipitie nahisi kuna jambo la kujifunza
 
Wadau habarini,
Kuna ndugu anahitaji kununua pikipiki kwa ajili ya biashara na ni mara ya kwanza kufanya hiyo biashara lakini katika uchunguzi wake amegundua kuna aina tatu ndani ya biashara ya bodaboda
Kwanza ni mwenye bodaboda kuendesha mwenyewe pikipiki kibiashara
Pili kuna mkataba wa mwenye pikipiki na dereva wa bodaboda kwa kukusanya mauzo kwa wiki na dereva kumpa mwenye pikipiki bila muda maalum kama vile daladala kupeleka hesabu kwa mmiliki
Tatu kuna mkataba wa muda maalum wa malipo kwa mwenye pikipiki na dereva na baada ya muda huo wa malipo kukamilika then pikipiki unabadilishwa umiliki na kukabidhiwa dereva moj kwa moja
Sasa maombi kwenu ni kupata mkataba huu wa tatu yaani muda maalumu wa malipo then pikipiki inabadilishwa umiliki wake baada ya muda huo

Nashukuru kwa ushirikiano wenu wadau

Naomba nam unitumie huo mkataba pia PM
 
Inategemea na uliye mpa mbona siku hizi ndio njia inayotumika sana!!kuliko ile ya hesabu kila siku?kwa mfano kwa dar
kwa hili sio kweli kwani ndio njia bora inayotumika sana siku hizi!!mfano dar kila siku anakuletea shilingi 10,000!!kwa muda wa miezi kumi,pikipiki inakuwa yake na lazima aitunze kwani anajua baadaye itakuwa mali yake!!

Mkuu ni pikipiki ya aina yoyote au ni boxer tu ,, ?
 
Nashukuru biashara inakwenda vizuri sana kwasababu kijana niliyempa anajitambua na anajua kazi yake anafanya service kila week kwa hesabu yake na anafuata sheria zote za usalama barabarani na chombo kina vibali na document zote kwa mujibu wa sheria.Ni jambo la kumshukuru Mungu sana.

Kumbe ni kweli ni wewe mwenyewe ulikuwa unataka msaada na si ndugu yako kama ulivyosema mwanzo!
 
Back
Top Bottom