Hii tabia haijakoma siku 5 leo kaka yangu kafatwa kwake, kachukulia na polisi tumeangaika kila kitu hayupo na wakati shemeji alipigia simu siku iyo iyo kaambiwa kweli yupo centro polisi mwanza.. Aki ya Mungu naapa kisasi kitalipwa iwe kwa njia yoyote ile iwe kwa njia yoyote ile kisasi...
Hawa Liverkuku ifike hatua tusiwacheke aisee wanasikitisha sana, kabla hatujacheza na Nyekesto zilikua zinapigwa hesabu kua tukifungwa tu basi mbizo za ubingwa ndo basi tena,, leo wana gape na mateso makubwa sana, tuwaombee tu maana inahuzunisha mno
Sio kwamba hawajui wanachokifanya, na hata wao wanajua wanahitaji Top CF, deal la madueke limekamilika na dili ya Gyokeres litakamilika kwan kati yetu anajua Bajet ya Arsenal msimu huu ni kiasi gani???.
Kuna mtu aliwahi kusema mwaka jana km sikosei kua Kenge Summer ukienda unajichotea tu wachezaji maana wanakontena la wachezaji naona sasa yameanza kutokea
Ishu ya Rodrigo sioni km tumeichangamkia kiivyo naona kama tupo nje ya.. Wala sijaona kuna timu zmeonyesha nia ya kumuhitaji may be muda bado ama ni bei yake kubwa
a a
Kwa jinsi ilivyo unaamin sesko alikua ni option A na Gyokeres ilikua ni Option B??? Siamin kama ni kwel ila nachoamin ni kilichotekea january kwa sesko ni kama kilichotokea kwa Caicedo january alf baada ya hapo summer kikatokea na Rice
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.