Recent content by Mjusi Kenge Kila Kona

  1. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Rich Mavoko

    Ni bonge la wimboo. Kwa wanaojua mziki wanaupa mia mia, kwa wale wengine wa usiniseme kama napenda kula wataishia kuponda
  2. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Karata anazochezewa Rais Magufuli ni hatari kwa nchi yetu

    Huyu jamaa kaandika kujibu tuhumaa, au kaandika kuainisha tuhuma ili sisi tuzifanyie kazi. Vijana wa lumumba bna
  3. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Team Janja janja, team kununua cheki ilivyowanunua Wazimbabwe

    Atakua mendez huyooo. Hahaaaa Hawatowezaaaa
  4. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Tigo na vigauni vyao mlimani city!!

    we nawe kusoma hujui,hata picha huoni. hahaaa au unataka hadi waje wakushike mkono.
  5. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Sikufahamu haya yote kwa mpenzi wangu

    uje inbox ulie, sometimes u need a shoulder to cry
  6. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mabasi ya Kampuni ya Kilimanjaro hayaingii Stendi ya Ubungo?

    kwa sababu hayakati kona yakifika pale stendi yananyoosha tu had pale mbele
  7. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Nampenda mume wangu lakini haniridhishi tukiwa faragha

    Hahaaa ndo bas tena, shamuumbua mmeo.ila pole sana, ukikosea ndoa umekosea kila kitu
  8. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wewe na dunia

    hili si kama lako tu mkuu,sema lako linatumika
  9. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Breaking Newz...

    wadau mnaonaje tuanzishe jamii milembe
  10. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wewe na dunia

    Oya umeongea sana, ila mi nauliza nalipataje hilo jicho la tatu mkuu
  11. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Don't try this at home!

    Daffuck
  12. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Zabuni za ununuzi wa ndege hutangazwa wapi?

    MTOA POST HAJUI KUWA SKUHIZ TUNA ZABUNI MKURUPUKO, hahaaaaaa
  13. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri vilaza huzalisha wasomi vilaza

    ELIMU YETU NI BOMU LILILOANZA KUTULIPUA WATANZANIA WA KARNE HII. KUNA CHUO KIPO KULEE SEHEM SEHEM KINATOA SHAHADA YA SHERIA ,KINA MALEKCHALA WATATU TU, TENA WENYEW NA TUTOLIO ASISTANTI. NA HAWAINGII DARASANI. NA WATU WANAGRADUETI TU KILA MWAKA.HAHAAAA KUNA TATIZO KWANI
  14. Mjusi Kenge Kila Kona

    JamiiForums Tanzania Kuwa Balozi ni lazima uwe kada wa chama tawala?

    Balozi ni kama muwakilishi sio tu wa nchi bali pia mtetezi wa sera ya serikali ya Nchi, . ana mamlaka ya kuisemea Nchi hukooo abroad. sasa kwa mfano unamteau LEMA kuwa Balozi wako umoja wa mataifa , halafu aulizwe kuhusu mchakato wa katiba.je atautetea msimamo na sera ya serikal yetu ambayo...
Back
Top Bottom