Nampenda mume wangu lakini haniridhishi tukiwa faragha

Mi naona ni kama wewe ndo hujielewi, kwa njinsi ulivoeleza usikute hata yeye anamawazo kama yako na labda ameshaanza kutafuta mchepuko wa kujipoozea,

We mwanamke gani ambae kila siku unasubiria eti mumeo ndo akuanze kila siku hivo hivo tu! Eti umemchoka mumeo! Nae kachoka, amini usiamini yeye alichoamua ni kufanya kujiridhisha yeye tu, we endelea na ujinga wako, na ujue unavofanya hivo unashusha kabisa uwezo wake wa kufanya mapenzi na na wewe, akienda kwa mwingine atajiona yuko vzr zaidi kitandani kuliko akiwa na wewe ( ambae hujielewi)
Mwanamme anakuwa na nguvu kwa hisia tu, stimu zikikata (kama wewe zilivokata) uume wala hausimami, atakuona kama mwanamme mwenzake tu,

Wanawake mnaharibu ndoa zenu kwa kukosa akili"
 
Habari Jamii! kwa kweli nimekuwa humu ndani miaka mingi ila sijawahi kufikiria ntaanzisha mada hapa. but all in all you guys rock! well...mkasa wangu mie jamani...

Nampenda sana mume wangu lakini nimeboreka nae! in the bedroom ndio hata usiseme! yaani hata nikikaa mwezi hatujakutana siku ikitokea mechi najua kabisa anaanzia wapi atafanya nini, hayuko creative kabisa.

Najaribu kufanya changes try new positions ila yeye wala. Inaniboa! yaani I can only dream mechi za stori za Lara1 hahaha! ana mashine nzuri lakini utaalam ziro. mpaka nimenunua kitabu flani cha positions hakya nani.

Hayo yote sijawahi kucheat...ivi kuna unyago for men? nakiri kwa kweli niko shy kidogo kumpa somo, jinsi ya kuhandle mwanamke. nifanyeje?
Mwambie mumeo aje inbox nimsaidie.....
 
Ukiona hana utundu mtangulize chini kisha umpe mambo sawasawa nadhani akija kukupandilia atajua jinsi ya kutumia vizuri hiyo gobore jina yake.
Unajua yeye anaweza akawa anaogopa kukuumiza, mkalie hadi asweti tena itapendezea ukiwa bonge kama ma mama maimba taarabu yale.
 
karibu mkuu
Umeanza tena?
KAMA unampenda Mume wako ondoa neno LAKINI.
ZIDISHA UPENDO ZAIDI , TATIZO SIO LAKE TATIZO NI DUNIA YETU, WANAWAKE SIO NA MAUNGO YAO SIO SIRI TENA, UKITOKA KUENDA KAZINI UNAKUTANA NA WANAWAKE WANAOTEMBEA UCHI ZAIDI YA LAKI TATU (300,000) TENA WA AINA TOFAUTI TOFAUTI , UKIREJEA NYUMBANI UKIMUONA MKEO HAUWWZI TENA KUSTUKA MAANA MACHO YAMESHINDA MCHANA WOTE WANAONA SAMPULI MBALIMBALI ZA WANAWAKE ,
NASHAURI TU ,SIO VYEMA HATA KIDOGO KWA WALIO KATIKA MAHUSIANO KUTOA MAPUNGUFU YA MWENZIE NJE, DINI ZOTE ZINAPINGA.
AKINAMAMA NYIE NDIO VIWANDA KWA MUJIBU WA MUNGU MNAOTENGENEZA WATOTO KTK MATUMBO YENU.PUNGUZENI KUTEMBEA UCHI !
KWA DUNIA YA SASA "MVULANA MWENYE KUWA NA WANAWAKE WWNGI ANAONEKANA NDIO MJANJA, NA MWANAMKE ALIYEKOSA AIBU NDIO ANAITWA MREMBO" DINI ZIPO WAP?
Mkuu,ni wewe pekee jukwaani uliotoa ushauri na nasaha yenye manitiki,ubarikiwe mkuu.
 
Wakati mnaanza yaan siku ya kwnza ilikua ni tofauti na sasa? Kama ndio, na wakati huo alikua akikupa roho inapnd mpka ukaamua kuimilik kabisa mb+++oo! Iwe mali yko now kabadilika bac ujue ww ndo tatizo, so kuna mchepuko mtundu kukuzd..kwko anatimiza wajb tu..! Na kama alikua hivyo toka mwanzo basi ukilalamika utakua unakoses sna.
 
Habari Jamii! kwa kweli nimekuwa humu ndani miaka mingi ila sijawahi kufikiria ntaanzisha mada hapa. but all in all you guys rock! well...mkasa wangu mie jamani...

Nampenda sana mume wangu lakini nimeboreka nae! in the bedroom ndio hata usiseme! yaani hata nikikaa mwezi hatujakutana siku ikitokea mechi najua kabisa anaanzia wapi atafanya nini, hayuko creative kabisa.

Najaribu kufanya changes try new positions ila yeye wala. Inaniboa! yaani I can only dream mechi za stori za Lara1 hahaha! ana mashine nzuri lakini utaalam ziro. mpaka nimenunua kitabu flani cha positions hakya nani.

Hayo yote sijawahi kucheat...ivi kuna unyago for men? nakiri kwa kweli niko shy kidogo kumpa somo, jinsi ya kuhandle mwanamke. nifanyeje?
Nipe namba yake nimfundishe
 
Hukujiachia free toka mwanzo kumuonyesha njia zipi za kupita kufika Dodoma asi kariri Moro Gairo Dom. Tell him slowly day after day ata gain momentum
 
halafu akiwa ameikalia ajue kubana uke na kuachia huku anatoa mpaka pale kwenye kichwa anarudisha mbona atajiongeza kama haweza yeye awe anampa mambo .. kuna staili fulani mnalala wote upande mnaangaliana miguu inapisha aiseee ile mwanaume lazima akatikiamo .. . khee leo jumatatu
miss chagga utanifanya nigombane na wife
 
wanawake wa dot.com shida sana eti hana creativity ww umemlinganisha na nani hadi useme hana cretivity,huku ww ni mke wa mtu na wapi hizo style uliziona au uliambiwa kuna style za kufanya mapenzi!.
 
Kuna ile mastarbation ya kusugua k kwenye ncha ya meza sijui bado inatumika nchini.
 
Back
Top Bottom